mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,270
- 36,627
Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli.
Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri hivyo nilitaka kuona wanafiki watoa mada watajadili nini.
Ukumbi ulikuwa umesheheni na watu walipangwa kulingana na umuhimu wao,wanafunzi na baadhi ya staff members,academic and non academic staff walikaa sehemu ya juu.
Sehemu ya chini ikuwa kwa VIP only, nikiwa ndani ya suti yangu bila kualikwa na nikiwa sio staff wa UDSM wala mtumishi wa Umma nilikaa VIP mtari wa tatu nyuma ya makamanda wa vikosi vya ulinzi ba usalama wa nchi hii namaanisha director TISS,IGP,CDF,Bosi uhamiaji,magereza nk.
Nilikaa comfortably bila kustukiwa na yeyote mpaka mwisho wa kongamano,Sikuwa na nia mbaya ila nilitaka kujua kana zile mbinu za Carlos the Jackal zinafanya kazi.
Jana nilitaka kujipenyeza uwanjani kwa mkapa VIP nikakwama mbinu zilifeli nkaishia kukaa mzunguko na suti yangu nyeusi.
Itaebdelea.