Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Nilikuwa naamini mtu utakayedo nae mara ya kwanza ndie mtaoana.
hee! Naona hayo mambo wengi mmeyajulia utotoni.
Nilikuwa naamini mtu utakayedo nae mara ya kwanza ndie mtaoana.
ila sahivi hulii ndio unafurahia!! ...... Halafu si waoaji kweli.
MP.
kwani upendi kuolewa??ntafanyaje sasa?
Nilikuwa naamini mtu utakayedo nae mara ya kwanza ndie mtaoana.
Nilikuwa naamini uki-do na mdada mwenye matege u-u-m-e utavimba! Ilinisaidia sana hiii kutokuwa dunga dunga wa hovyo hovyo ila leo duh! hahahahaha!
nilikuwa na penda sana jina MAREHEMU; nakumbuka mdogo wang wa kike nilikuwa namuita MAMA MAREHEMU na YEYE ANANIITA BABA MAREHEMU!!
si kama wetu tu huyu mkuu...
hee! Naona hayo mambo wengi mmeyajulia utotoni.
Yaonyesha wewe bado mtoto. Angalia No. 4. TRUE !!!!!!!
nilikuwa na penda sana jina MAREHEMU; nakumbuka mdogo wang wa kike nilikuwa namuita MAMA MAREHEMU na YEYE ANANIITA BABA MAREHEMU!!
sasa naona mnaleta story za ukubwa aisee...mwenzenu alisema akiwa mtoto...
sasa ww hadi category za wadada ulikua unazijua aise
yup tena?dakitari ama?
niliaminigi rambo anadundaga kiukweli!