Nilipokuwa mtoto nili.....

Mimi niliamini kale kamchezo ka kujificha kataendelea tu hata tukiwa wakubwa, aaaah wapi hata mmoja sijui alipo.
 
Nilikuwa naamini uki-do na mdada mwenye matege u-u-m-e utavimba! Ilinisaidia sana hiii kutokuwa dunga dunga wa hovyo hovyo ila leo duh! hahahahaha!
 
nilikuwa na penda sana jina MAREHEMU; nakumbuka mdogo wang wa kike nilikuwa namuita MAMA MAREHEMU na YEYE ANANIITA BABA MAREHEMU!!
 
Nilikuwa naamini uki-do na mdada mwenye matege u-u-m-e utavimba! Ilinisaidia sana hiii kutokuwa dunga dunga wa hovyo hovyo ila leo duh! hahahahaha!

sasa naona mnaleta story za ukubwa aisee...mwenzenu alisema akiwa mtoto...
sasa ww hadi category za wadada ulikua unazijua aise
 
haka kauzi kameshakomazwa...
haya mambo mnayosema niyaukubwani atiii...
aloo mnachakachua...
pananukia naniii ya kike na naniii ya kiume tu humu kwenye huu uzi...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom