Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 816
- 2,122
Wasitupangie. Kama wanataka hivyo wafanye kwa bajeti zao. Hilo kanisa katoliki linaingilia suala la Nyerere kama nani?
Wao si wanamuombea atawazwe kuwa Mtakatifu Nyerere? Basi waendelee.
Nyerere ndiye muasisi wa Mwenge wa Uhuru na hakuna ubaya wowote kuzimwa siku aliyokufa. Ni ishara tosha mwanga unazimika, ni kumbukumbu ya kifo chake.