Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

Amini mwanangu madawa yapo, mimi sikuwahi kuwaza kama nitakuja kupigwa kifala hivi, hatimaye leo nilitoa kila nilichokuwa nacho
na sikuiz kuna styl nyingn hii hasa wanatumiaga kwa wadada kuwapiga anafika anajifnya kuazima cm ampigie mtu kuwa simu yake imezima na yeye ni mgen hapa jijin wanavizia sehem zenye msongamano meng wa magar ukimpa tu anavunga kupiga cm alaf anavuka road chap....hapo jua imeisha
 
Mkuu sikucheki hii kitu ilinitokea miaka kama sita iliyopita,kwa style kama yako walifanikiwa kuondoka na laptop yangu
 
Maelezo yote hayo umeshindwa ku summarize na unataka kuja na muendelezo?
 
Hii kitu nilikutana nayo songea mwaka majuzi huko.

Nashukuru Mungu ,sikuwa natamaa ya hela sababu nlikua na hela na yule Mzee nilikua na Nia ya dhati ya kumsaidia ....

Shida tulishindwana hapo pa kusema nipe vitu vyako nishike ......nikashangaa ,nikasema inakuaje ashike vitu vyangu wakati Mimi nataka kumsaidia yeye auze mzigo wake arudi mtwara huko alikosema anatokea? ... Nikawa nasita sana .....akili kama inasema mbona mwenzako kampa ,we mpe tu .....nikitaka kutoa ,mkono na moyo vinakua vizito .....

Halafu kwanini analazimisha kusema yule mwenzangu hamuamini anaona kama anaweza kumwibia mzigo wake kwamba ananiamini Mimi pekee! ......

Nikawaambia Mimi Sina chochote Cha kuweka ...siwezi weka simu yangu Wala hela Sina ....ila asiwe na shaka alete mzigo niupeleke pale sheli (kwa mnunuzi) ....

Kale kazee kakajifanya kukasirika kwamba sisi sio waaminifu , tunataka kukaibia .....mm nikasema mpe mzigo huyu mwenzangu ,namuamini na asiwe na hofu Mimi ni kijana wa dini na sipo kwa ajili ya kumdhulumu na Wala akiuza sihitaji mgao wowote labda tu kama ikimpendeza mwenyewe......

Akasusa akawa anaondoka ,Dili likavunjika.

Nilikuja kugundua baadae kama masaa mawili mbele kwamba wale walikua wahuni ....kazee na yule kijana na nashkuru Mungu halikunipata maana mpaka kesho naamini ni Mungu tu aliniokoa pale na sio ujanja binafsi....🙏
 
Aiseee nimecjeka kifala,nimewahi kukutwa na hiii kitu,Hadi nilitaka kupiga simu kwa my nimkope ili nimpe Yule jamaa mwenye madini ili atumie km nauli ili aondoke zake aende mbeya,lkn mwenzake akanizuia.walichikua cm na 200,000,niliondoka na like fake dini naenda nyumbani nimelificha ili watu wasilione,nimefika nikapitiliza chumbani bila kumwambia mtu,kufungua nakuta Betty ndogo za radio,ikabidi nowasimulie tu
 
LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA,

SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU.

Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe, nikachukua zangu tsh 30,000/= nikaweka mfukoni nikabeba begi langu nimenunua juzi buku 23 nikaliweka mgongoni, wakati nataka nitoke nikaiona simu yangu nayo haina hata wiki samsung galaxy note 10+ 5g ya Gb 512 ram Gb 12 nilinunua 450,000 dar na kadi ya benki nilitaka nikatoe kama laki moja hivi maana nilikuwa sina balance ndani.

Nikawaza nikasema ngoja simu kubwa niiache na kadi ya benki pia nayo niiache, niondoke tu na 30k pamoja na begi la mgongoni na kiswaswadu.

Nimefika kabwe nikanunua boxer za 15k, karanga za kutafuna za 1,700 na mche wa sabuni wa buku 3. Nikabakiwa na 10k na shilingi mia nane maana nilitoka na buku la nauli home.

Sasa wakati natoka mle sido naitafuta bajaji nikakutana na fala mmoja hivi akanisalimia nikamjibu akawa ananiulizia ofisi za TMC zilipo, mi nikamjibu kuwa sijui, palepe akatokea jama mwingine naye akamuuliza wapi zipo ofisi za TMC, akawa anamuuliza huku anamuonesha kipakiti kidogo kina madini ya dhahabu kwamba anataka ayapeleke ili akayauze yeye hapajui.

Jamaa wa kile kimadini nitamuita hassani, na jamaa huyu mwingine aliyeulizwa pamoja na mimi nitamuita kessy, (majina ya kufikirika ili kurahisisha usimuliaji).

Basi bhana kessy akawa anamfokea hassan kwamba inakuaje anakuwa mpumbavu anauliza na kuonyesha mali hovyo hovyo, vipi akikutana na watu wenye nia ovu wakamuibia?,

Kile kipakiti kilichokuwa na dhahabu kilikuwa kimeandikwa "Dhahabu grade A, yenye thamani ya milioni 30".

Kessy akaendelea kumfokea hassan, "wewe umetoka wapi?, umebeba mali kiasi hiki na hata hujielewi", "kwanza ofisi za TMC hazipo hapa", aliendelea kessy.

"Dogo unamuelewa huyu?, hana akili hata kidogo" kessy alikuwa akiongea huku ananiangalia mimi,.

Kisha kessy akaanza kumuuliza hassan,
kessy: "vipi kama tukikusaidia kukupeleka ukauza mzigo wako sisi utatupatia shingapi ngapi?
Hassan: "mimi nitawapa tuu hata makumi mawili mawili nitawapa",
Kessy: "we fala nini?, sisi tunataka tukusaidie afu utupe elfu ishirini ishirini?, utatupatia hata 200k kila mtu",
Hassan: "nyie nisaidieni kwanza mengine tutaangalia".
Kessy: "dogo twende tumpeleke kwa mama mchungaji tukamsaidie kuuza" kessy akaniambia mimi huku akionyesha kuanza safari, Bad enough nikakubali kujoin the troop, hapo ndipo nikaenda kupigwa.

Tukaanza safari ya kuelekea kuuza "mzigo" ili tupige hela, tukiwa njiani hassan alionesha kuwa na mashaka sana akihofia kwamba tutaenda kumpiga mzigo wake.

"Mimi hapa nimeagizwa majembe ya kulimia na machepe nataka niuze haraka niwahi chunya, kwanza hapa tupo wapi?, nionyesheni njia ya stendi mimi nirudi chunya" alikuwa anaongea hassan huku akionyesha hofu ya kuibiwa.

Mimi na kessy tukawa tunafanya kazi kubwa sana ya kumpunguza wenge hassan ili asiachane nasi tusije tukakosa hela.

"Sasa nyie tangulieni mimi mniache nyuma msije mkanikaba mniibie, mimi nawafuata" aliongea hassan na sisi tukawa tunafanya kama anavyosema ili kumtoa hofu.

Tukiwa tumetangulia mbele mimi na kessy tukawa tunaambiana kwamba hapa hili ni dili letu wawili, tunapiga hela na yeye (hassan) tunampa hela kidogo maaana anaonekana haelewi chochote, nami nikawa namuunga mkono kessy huku wote tukiwa tunageuka geuka kumuangalia hassan kama anaendelea kutufuata.

Tukafika sasa hapo karibu na sehemu ya kuuza mzigo.

Kessy akasema sasa dogo wewe tulia hapa na haasan mimi naenda kucheki mazingira ya kuuza mzigo, mimi nikasema sawa, hilo halina shida, nikabaki na hassan huku nikiendelea kumpanga kuwa atulize wenge.

Baada ya dakika chache kessy akaja akiwa ameshika karatasi ndogo mfano wa zile zinazokuwa ndani ya pakiti ya sigara zinazofanana na aluminium foil, akampa hassan huku akimuambia "mnunuzi amesema weka mzigo humu ukiuacha wazi utaharibika", hassan akachukua akaweka mzigo ndani ya karatasi.

"Sasa mnunuzi kasema atanunua kwa 29.7m maana 300k anataka alipie ushuru, kasema tuende NMB bank soweto yeye ametangulia na gari", alisema kessy.

Hassan akawa anauliza ni wapi huko?, tukaanza tena kazi ya kumuelekeza.

Hassan akasema sawa twende ila wewe sikuamini(kessy), hivyo ili msije mkanikaba, nipeni vitu vyenu nishike mimi, kessy kwa haraka akatoa wallet yake na kumpa hassan ili amuamini huku akisisitiza kuwa wallet ina 240k ndani, nami nikasema hapa nisibaki nyuma, nikatoa kisimu changu kidogo nikampa ashike pamoja na ile 10k iliyobaki, hassan akawa anakataa akisema kwamba tumempa vitu vidogo, tumuongeze hela.

Mimi nikarudisha vitu vyangu mfukoni na kessy akachukua wallet yake, tukamwambia hassan kuwa aendelee kubaki na mzigo huku tukienda benki tukifika ndio atautoa.

Hassan akabaki na mzigo huku tukianza kuifuata benki ya NMB ili tukutane na mnunua madini tumalize biashara, sheria ikawa ni ileile, kuwa mimi na kessy tunatangulia mbele na hassan anatufuata.

Baada ya hatua kazaa hassan akasimama na kuanza kurudi nyuma, kessy akasema "dogo hebu tumuwahi tumpange twende benki, hatuwezi kuikosa hii hela" nami nikasema kuwa ni wazo zuri kabisa. Tukaanza kumfuata hassan taratibu bila kumkimbiza ili asiingiwe na mashaka akaogopa na kutemana nasisi.

Tukamkuta na kuanza tena kumshawishi, tukaanza tena kumpa vitu ashike ili atuamini, mimi nikamuongezea na begi langu likiwa pamoja na vile vitu nilivyonunua ma kunipa mimi mzigo niushike.

Mimi nikapokea na kuuweka mfukoni, hassan akasema kuwa mimi ndio nibaki na mzigo na sio kessy, maana kessy anaonekana jambazi, mimi nikaona sio shida nikabaki na mzigo huku nikitangulia mbele ili tukifika pale banki mimi ndio niongee na mnunuzi, tulivyozidi kusonga mbele kessy akaja akaniambia kuwa mimi niende pale nmb nikawasubiri, yule mnunuzi yupo na gari nyeusi, nikawasubiri pale na huku akisisitiza kuwa nisije nikawatoroka.

Mimi nikafata kama walivyosema, nikaelekea benki, na nikawa nageuka nyuma kuona kama wananifuta, na kweli wakawa wananifuata, nikafika pacha ya kuelekea benki nikageuka nyuma niwaone, ni kweli wakawa wanakuja ila gap kati yangu na yao lilikuwa kubwa sana, nikasema sio shida ngoja niendelee kwenda benki.

baada ya kama hatua 20 nageuka nyuma wale jamaa siwaoni, nikasema wacha nicheki mzigo kwanza, nikaangalia hivi OMG ni mchangaa. Dah!. Nikacheka sana huku nikiwaza kadi yangu ya benki na Note 10 yangu, vipi kama ningevibeba?,.

Kiukweli nilijiona mjinga sana huku nikitabasamu na nikiwa sina hata mia ya nauli,. Ikabidi nianze safari ya kurjea home kwa mguu. Huku nikiwa nishapigwa tukio tayari. Kiukweli niliona gheto ni mbali sana huku nikiwaza ujinga nilioufanya na kukumbuka kuwa kuna jamaa humu jf huwa anasema "when the deal is too good, think twice", lakini nikajipa moyo kwa kurefer kitabu cha Dale carnegie "how to win friends and influence people" kwamba moja ya chapter zake ni "do not condemn, criticise, or complain", huku nikiendelea kurudi home kwa mguu😁😁😁.

IT'S ALL OVER.
Umepigwa wizi wa zamani sana.
Any way pole
 
Hapo kitu ambacho kingeniokoa ni kuingia kwenye ratiba ya huyo muuza madini. Nina tatizo la kupenda kuwa in control hivyo ukitaka kunitapeli kirahisi fanya namna nione nipo in control.

Mfano, hapo ingekuwa namfahamu mnunuzi wa hayo madini, nimewasiliana nae nikamwambia kuna mzigo akaniambia njoo hapo sawa akitafuta namna anaweza nitapeli. Ila kama sipo in control akili itakataa.
 
Dhahabu iko kwenye kiberiti ndy iuzwe mln 29 😄

Utapeli huoo wa kizamani sana hivi bado upo tu na watu mnapigwa

Ova

Yaani kabisa umeongea ,huu utapeli nakumbuka jamaa yetu alitapeliwa nafikiri ilikuwa 1996 ,ni utapeli wa kizamani sana ,kweli wajinga hawaishi......Pia kulikuwa na utapeli wa kukupa pipi kumbe imewekwa dawa za kulevya....Kuuziwa mche wa sabuni kama simu au kuuziwa mawe kama viatu ni utapeli wa zamani sana late 80s to early 90s lakini mpaka sasa 2024 watu wanapigwa tu.
 
LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA,

SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU.

Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe, nikachukua zangu tsh 30,000/= nikaweka mfukoni nikabeba begi langu nimenunua juzi buku 23 nikaliweka mgongoni, wakati nataka nitoke nikaiona simu yangu nayo haina hata wiki samsung galaxy note 10+ 5g ya Gb 512 ram Gb 12 nilinunua 450,000 dar na kadi ya benki nilitaka nikatoe kama laki moja hivi maana nilikuwa sina balance ndani.

Nikawaza nikasema ngoja simu kubwa niiache na kadi ya benki pia nayo niiache, niondoke tu na 30k pamoja na begi la mgongoni na kiswaswadu.

Nimefika kabwe nikanunua boxer za 15k, karanga za kutafuna za 1,700 na mche wa sabuni wa buku 3. Nikabakiwa na 10k na shilingi mia nane maana nilitoka na buku la nauli home.

Sasa wakati natoka mle sido naitafuta bajaji nikakutana na fala mmoja hivi akanisalimia nikamjibu akawa ananiulizia ofisi za TMC zilipo, mi nikamjibu kuwa sijui, palepe akatokea jama mwingine naye akamuuliza wapi zipo ofisi za TMC, akawa anamuuliza huku anamuonesha kipakiti kidogo kina madini ya dhahabu kwamba anataka ayapeleke ili akayauze yeye hapajui.

Jamaa wa kile kimadini nitamuita hassani, na jamaa huyu mwingine aliyeulizwa pamoja na mimi nitamuita kessy, (majina ya kufikirika ili kurahisisha usimuliaji).

Basi bhana kessy akawa anamfokea hassan kwamba inakuaje anakuwa mpumbavu anauliza na kuonyesha mali hovyo hovyo, vipi akikutana na watu wenye nia ovu wakamuibia?,

Kile kipakiti kilichokuwa na dhahabu kilikuwa kimeandikwa "Dhahabu grade A, yenye thamani ya milioni 30".

Kessy akaendelea kumfokea hassan, "wewe umetoka wapi?, umebeba mali kiasi hiki na hata hujielewi", "kwanza ofisi za TMC hazipo hapa", aliendelea kessy.

"Dogo unamuelewa huyu?, hana akili hata kidogo" kessy alikuwa akiongea huku ananiangalia mimi,.

Kisha kessy akaanza kumuuliza hassan,
kessy: "vipi kama tukikusaidia kukupeleka ukauza mzigo wako sisi utatupatia shingapi ngapi?
Hassan: "mimi nitawapa tuu hata makumi mawili mawili nitawapa",
Kessy: "we fala nini?, sisi tunataka tukusaidie afu utupe elfu ishirini ishirini?, utatupatia hata 200k kila mtu",
Hassan: "nyie nisaidieni kwanza mengine tutaangalia".
Kessy: "dogo twende tumpeleke kwa mama mchungaji tukamsaidie kuuza" kessy akaniambia mimi huku akionyesha kuanza safari, Bad enough nikakubali kujoin the troop, hapo ndipo nikaenda kupigwa.

Tukaanza safari ya kuelekea kuuza "mzigo" ili tupige hela, tukiwa njiani hassan alionesha kuwa na mashaka sana akihofia kwamba tutaenda kumpiga mzigo wake.

"Mimi hapa nimeagizwa majembe ya kulimia na machepe nataka niuze haraka niwahi chunya, kwanza hapa tupo wapi?, nionyesheni njia ya stendi mimi nirudi chunya" alikuwa anaongea hassan huku akionyesha hofu ya kuibiwa.

Mimi na kessy tukawa tunafanya kazi kubwa sana ya kumpunguza wenge hassan ili asiachane nasi tusije tukakosa hela.

"Sasa nyie tangulieni mimi mniache nyuma msije mkanikaba mniibie, mimi nawafuata" aliongea hassan na sisi tukawa tunafanya kama anavyosema ili kumtoa hofu.

Tukiwa tumetangulia mbele mimi na kessy tukawa tunaambiana kwamba hapa hili ni dili letu wawili, tunapiga hela na yeye (hassan) tunampa hela kidogo maaana anaonekana haelewi chochote, nami nikawa namuunga mkono kessy huku wote tukiwa tunageuka geuka kumuangalia hassan kama anaendelea kutufuata.

Tukafika sasa hapo karibu na sehemu ya kuuza mzigo.

Kessy akasema sasa dogo wewe tulia hapa na haasan mimi naenda kucheki mazingira ya kuuza mzigo, mimi nikasema sawa, hilo halina shida, nikabaki na hassan huku nikiendelea kumpanga kuwa atulize wenge.

Baada ya dakika chache kessy akaja akiwa ameshika karatasi ndogo mfano wa zile zinazokuwa ndani ya pakiti ya sigara zinazofanana na aluminium foil, akampa hassan huku akimuambia "mnunuzi amesema weka mzigo humu ukiuacha wazi utaharibika", hassan akachukua akaweka mzigo ndani ya karatasi.

"Sasa mnunuzi kasema atanunua kwa 29.7m maana 300k anataka alipie ushuru, kasema tuende NMB bank soweto yeye ametangulia na gari", alisema kessy.

Hassan akawa anauliza ni wapi huko?, tukaanza tena kazi ya kumuelekeza.

Hassan akasema sawa twende ila wewe sikuamini(kessy), hivyo ili msije mkanikaba, nipeni vitu vyenu nishike mimi, kessy kwa haraka akatoa wallet yake na kumpa hassan ili amuamini huku akisisitiza kuwa wallet ina 240k ndani, nami nikasema hapa nisibaki nyuma, nikatoa kisimu changu kidogo nikampa ashike pamoja na ile 10k iliyobaki, hassan akawa anakataa akisema kwamba tumempa vitu vidogo, tumuongeze hela.

Mimi nikarudisha vitu vyangu mfukoni na kessy akachukua wallet yake, tukamwambia hassan kuwa aendelee kubaki na mzigo huku tukienda benki tukifika ndio atautoa.

Hassan akabaki na mzigo huku tukianza kuifuata benki ya NMB ili tukutane na mnunua madini tumalize biashara, sheria ikawa ni ileile, kuwa mimi na kessy tunatangulia mbele na hassan anatufuata.

Baada ya hatua kazaa hassan akasimama na kuanza kurudi nyuma, kessy akasema "dogo hebu tumuwahi tumpange twende benki, hatuwezi kuikosa hii hela" nami nikasema kuwa ni wazo zuri kabisa. Tukaanza kumfuata hassan taratibu bila kumkimbiza ili asiingiwe na mashaka akaogopa na kutemana nasisi.

Tukamkuta na kuanza tena kumshawishi, tukaanza tena kumpa vitu ashike ili atuamini, mimi nikamuongezea na begi langu likiwa pamoja na vile vitu nilivyonunua ma kunipa mimi mzigo niushike.

Mimi nikapokea na kuuweka mfukoni, hassan akasema kuwa mimi ndio nibaki na mzigo na sio kessy, maana kessy anaonekana jambazi, mimi nikaona sio shida nikabaki na mzigo huku nikitangulia mbele ili tukifika pale banki mimi ndio niongee na mnunuzi, tulivyozidi kusonga mbele kessy akaja akaniambia kuwa mimi niende pale nmb nikawasubiri, yule mnunuzi yupo na gari nyeusi, nikawasubiri pale na huku akisisitiza kuwa nisije nikawatoroka.

Mimi nikafata kama walivyosema, nikaelekea benki, na nikawa nageuka nyuma kuona kama wananifuta, na kweli wakawa wananifuata, nikafika pacha ya kuelekea benki nikageuka nyuma niwaone, ni kweli wakawa wanakuja ila gap kati yangu na yao lilikuwa kubwa sana, nikasema sio shida ngoja niendelee kwenda benki.

baada ya kama hatua 20 nageuka nyuma wale jamaa siwaoni, nikasema wacha nicheki mzigo kwanza, nikaangalia hivi OMG ni mchangaa. Dah!. Nikacheka sana huku nikiwaza kadi yangu ya benki na Note 10 yangu, vipi kama ningevibeba?,.

Kiukweli nilijiona mjinga sana huku nikitabasamu na nikiwa sina hata mia ya nauli,. Ikabidi nianze safari ya kurjea home kwa mguu. Huku nikiwa nishapigwa tukio tayari. Kiukweli niliona gheto ni mbali sana huku nikiwaza ujinga nilioufanya na kukumbuka kuwa kuna jamaa humu jf huwa anasema "when the deal is too good, think twice", lakini nikajipa moyo kwa kurefer kitabu cha Dale carnegie "how to win friends and influence people" kwamba moja ya chapter zake ni "do not condemn, criticise, or complain", huku nikiendelea kurudi home kwa mguu😁😁😁.

IT'S ALL OVER.
Asante kwa fundisho hili litasaidia sana kuokoa watu watakaoweza kutapeliwa kwa njia hii huku, na pole pia.

Siyo mara ya kwanza kwa aina hii ya utapeli kuelezwa humu, ni bahati mbaya tu hujawhi kukutana na nyuzi kama hizo. Hata hivyo huu utapeli ni common sana na unafahamika kitambo sana. Nimeshangaa we unajiita kabisa mtoto wa mjini lakini hukuwa ukifahamu kuhusu aina hii ya utapeli.
 
Hizo mbinu za zaman sana buddah wew itakuwa mpya humu jF zimeshaelezwa sana miaka iyo. watu washahama uko wanaiba kwa mazingara saivi na wanawatumia zaidi hawa akinadada
 
"Karanga za 1700 na mche wa sabuni"
 
Haha ulitoka pale NMB mpaka wapi na kupaona mbali mkuu? 🤣🤣
Utapeli hauna mjanja na ili usiwe manipulated na maneno yao ni palepale mwanzoni unapaswa uwakatae no matter how sweet the deal is
 
Back
Top Bottom