Old guard
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,499
- 2,760
na sikuiz kuna styl nyingn hii hasa wanatumiaga kwa wadada kuwapiga anafika anajifnya kuazima cm ampigie mtu kuwa simu yake imezima na yeye ni mgen hapa jijin wanavizia sehem zenye msongamano meng wa magar ukimpa tu anavunga kupiga cm alaf anavuka road chap....hapo jua imeishaAmini mwanangu madawa yapo, mimi sikuwahi kuwaza kama nitakuja kupigwa kifala hivi, hatimaye leo nilitoa kila nilichokuwa nacho