Niliibiwa naona...

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
455
Nilianza urafiki naye akiwa darasa la saba, akamaliza form four hakutaka kunipa kwa minajiri eti hataki mpaka amalize form six, nikavumilia kwa vile nilimpenda sana, nikaomba tena mchezo akiwa form six lakini akakataa madai yake yuko BIKIRA akianza atazoea hivyo kuathiri masomo yake nikamwamini na kumuacha asome, alipomalizza form six akabana tena, tukakorofishana kidogo eti mie nataka kumharibia maisha yake, baada ya kurudiana akanipa bila shida WAKUU kulia kushoto hamna UKUTA, nikamuuliza kwa ustaarabu tu BIBIE VIPI BIKIRA IMEENDA WAPI? Jibu lake eti tulipokorofishana alikutana na mkaka akambikiri...NILIISUBIRIA kwa hamu hiyo BIKIRA lakini sikuiona..
 
Wewe mwenyewe Muharibifu tu na uliiba mara ngapi leo utake BIKIRA wakati wewe hukutunza ?Inamaana alipokuwa anakutosa nawe ulikuwa unachakachua maeno sasa kama lengo lango kukuta Bikira umeumbuka.
Ulianza mapema sana Darasa la 7?
 
Hivi inakuwaje mwanaume anakula nje halafu akihisi mke/mpenzi anaenda nje anakuwa mkali. Sijui tunakuwaje..........

AAAh kumbe mkuki kwa nguruwe...
 
Duh! jamaa una subira kama Kikwete?(alisubiri urais miaka 10) miaka 7 unaomba tu kwani waliisha mtaani kwenu ?
 
Mungu akusamehe kwa kuhatarisha bikira ya mtoto wa watu.:embarrassed:
 
Sikuchakachua mkuu, alipokuwa la saba mie nilikuwa form two mkuu, tulianza kama marafiki tu maana tulikuwa tunakaa jirani hivyo isichukuliwe kama mapenzi mkuu...Nilikuwa mcha mungu sana mzee
 
Sijasema nilikula nje mkuu, nilimwamini yeye tu ila tulipoachana akaona mwanya kunidanganya maana alikuwa kila siku akinambia yeye bikira...Ni maneno yake sasa ukali unatoka wapi?
 
Duh! jamaa una subira kama Kikwete?(alisubiri urais miaka 10) miaka 7 unaomba tu kwani waliisha mtaani kwenu ?

nilipenda mzee acha, hata angesema miaka 30 ningengoja tu, lkn alinambia yeye bikira nikazidi kuingoja wewe acha wengine hujitoa mhanga kwa ahadi za 72 bikiras...
 
Poa kaka kama ulikuwa mcha Mungu Mbona umechakachua kabla ya ndoa Mzee? Si ungisubiri Ndoa kabisa? Ndio uchakachue?
Sikuchakachua mkuu, alipokuwa la saba mie nilikuwa form two mkuu, tulianza kama marafiki tu maana tulikuwa tunakaa jirani hivyo isichukuliwe kama mapenzi mkuu...Nilikuwa mcha mungu sana mzee
 
Mungu akusamehe kwa kuhatarisha bikira ya mtoto wa watu.:embarrassed:

Sikuihatarisha mzee, hakuwa nayo huyo mdada na ilikuwa gear tu kuwa kukorofishana two weeks ikatolewa, alikuwa yule mmmmmmeeeeeeeeeee kwenye gunia mzee acha mzee nivute subira...
 
Kama hukuhatarisha kwanini ulikuwa unaitafuta muda wote huo toka darasa la saba. Ulitakiwa kusimamia hadi siku mfunge ndoa. (au ndio kutest b4)
 
cheeeeeeeeekaaaaa weeeeeeeee,mmmh na hizi bikira nazo.wasichana wengine wajanja.kama unampenda endelea nae,bikira sio issue,issue muelewane
 
Kwi kwi kwi kwi!!!umekula kwa macho LOL!

usiombe mzee nilisubiria weeeeeeeeee, siku eti ananipa tena bila hata kuuliza, heeeee utadhani naingia bwawa la mtera, eti Mkaka alimtamanisha akaibinjua...
 
baada ya kurudiana akanipa bila shida WAKUU kulia kushoto hamna UKUTA, nikamuuliza kwa ustaarabu tu BIBIE VIPI BIKIRA IMEENDA WAPI? Jibu lake eti tulipokorofishana alikutana na mkaka akambikiri...

Aisee huo ni unyanyasaji ambao haustahili kuvumuliwa....
Wee Bana kama vipi mpeleke mahakamani, mimi nitajitolea kuwa wakili wako mpaka haki itendeke...
Haiwezekani muda wote huo ulikuwa unasubiri uje uambulie patupu...
Kwa kuzingatia haki za Binaadam huyo mdada ana kesi ya kujibu....

Dah! Nimesikitika kama nimetendwa mimi vile....:A S-alert1:
 
Kama hukuhatarisha kwanini ulikuwa unaitafuta muda wote huo toka darasa la saba. Ulitakiwa kusimamia hadi siku mfunge ndoa. (au ndio kutest b4)

halafu wewe tabutupu, nimeshasema nilivumilia sana lkn aliponipa hata mie nilishangazwa sana bila hata husuda, yeye ndo alinichekechua maana mie nilidhamiria kusubiri hadi mwisho wake, alikuwa akipekechuliwa before huyo, hivi mwenye bikira huwa anasemaga? tena sidhani kama kuna msichana anapenda awe na bikira...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom