Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,402
- 7,567
Okay Fanya ulinganifu wa superiority ya Arusha na Mwanza from their recent cities budget in comparison.
Mwanza
Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la MWANZA limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017
Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz
Arusha
bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya jiji la Arusha hatimaye jambo hilo limewekwa hadharani ambapo kiasi cha shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza mipango ya kimaendeleo.
CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS
Sasa nikupa range ya cash budget deposits in hand ya hizo halmashauri mbili unaweza kuhama Mwanza .
mkuu haps kwenye bajeti hit Ni ya willya ya nyamagana pekee huwa Kuna Kosa la uchapaji kwa waandishi wetu.