Niliambiwa ila sikusikia now najuta

Wewe imeandikwa Amtegemae mwana damu amelaaniwa, mapenzi usiyachukulie serious saanaaa a ni pasua kichwa we take easy tu yaaan
 
Mapenzi ya mbali unaweza kuta unahudumia mke wa mtu! Akili zao wanazijua wenyewe hao...
 
Mapenz ya mbali siyo mapenz bali ni kudanganyana tu hata kama mtaoana huo ndiyo ukweli, japo ya kwa wachache sana tena sana wanaojitambua penz hili linaweza kufanya kazi
 
sio kweri, ni nyie tu mmekosa upendo wa kweri. nimekuwa nakaa mbali na mpenzi wangu mara kadhaa tu na tulidumu na tumedumu hadi sasa.

jichunguzeni vijana.
sio kweri...upendo wa kweri........ndio lugha gani mkuuuu....????
 
Samahan ni nje ya mada
Hiv huwez kuweka Apps mbili za JF kwenye simu moja
 
Habari zenu wana jf
Daah watu walisema mapenzi ya mbali hayadumu ni kweli bana Leo ndo nimeamini daaah

Nilikua mbishi walivyokua wananiambia hvoo ila now nimeamini

Mapenzi ya mbali hayadumu usidanganyikee.
Pole kwa yaliyokukuta mkuu. Huo mtazamo wako tu. Wengine tulifanikiwa, sema ulikosea kuchagua.
 
Back
Top Bottom