Nesi mkunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 701
- 1,847
Yule aliyesema ajira ni uti wa mgongo aisee hakukosea hata kidogo na kiukweli kilimo nitakiheshimu na nitazidi kukiheshimu kusema za ukweli ukubali au ukatae
Baaada ya kuachana na ajira niliingia kwenye kilimo maeneo ya Mpanda mkoani Katavi.Nilienda kufanya kilimo cha mpunga.
Aisee kilimo kilinipa pesa mpaka nikaanza kujilaumu kwanini nilichelewa kuingia huku.
Wakuu msimu uliopita tu nimelima hekari 20 nikapata gunia 150 plus za kununua kama 150 jumla nikawa na gunia mia tatu nikauza kwa 2500 mkoani singida na nilipata kilo 24000 piga mahesabu ni kama milioni 60 na ukitoa gharama zote faida niliyopata aiseee ningeweza kufanya kazi miaka kadhaa nisingepata hiyo.
Na sio mpunga tu, nililima maharage na mahindi mkoani Chunya faida niliyoipata wewe uliyepo kwenye ajira hauwezi kuipata hata kidogo na pia nililima ufuta wilayani Chunya nasema faida niliyoipata ni zaidi yako ya mshahara wako wewe uliyepo kwenye ajira haunifikii hata ukifanya kazi kwa miaka 10
Karibuni sana haters kwa makasiriko na wale wanaotaka kufanukiwa kwenye kalimo
Yaani inashangaza lijitu limemaliza SUA yupo barabarani kutwa kutembeza bahasha za kaki aiseee! Karibuni mpanda, chunya, Lindi na morogoro where my money is there