Nina uelewa mdogo sana kuhusu laptopSema lolote mkuu kesho nisije enda kuitia petrol pesa yangu
huo ndio uchi mkuuHakuna ninachojua yaani ni mweupe
Mficha uchi hazai.Nimependa hiyo title 😅😅
"Niko uchi kwenye masuala ya laptop 😆😆
Mkuu moja ya jambo linalotengeneza mazingira ya kupigwa ni hilo mtu anakuambia i3 na Nvidia,HABARI
Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia nigeni niokoeni nisiende kupigwa na kitu kizito View attachment 2702411View attachment 2702412
Intel i3-2310M na Nvidia GeForce gt 630m 1GBMkuu moja ya jambo linalotengeneza mazingira ya kupigwa ni hilo mtu anakuambia i3 na Nvidia,
Muulize ni i3 ipi na nvidia ipi ila kwa kuiangalia tu possibility kubwa ni kimeo. Win 7 laptop nyingi zimetoka between 2009-2012.
Sio mbaya mkuu ila kuna better alternative, Machine yoyote ya Gen ya 4 kupanda itakua na cpu na gpu nzuri zaidi hata kama sio Nvidia.Intel i3-2310M na Nvidia GeForce gt 630m 1GB
Sio mbaya mkuu ila kuna better alternative, Machine yoyote ya Gen ya 4 kupanda itakua na cpu na gpu nzuri zaidi hata kama sio Nvidia.
Siku hizi unapata i5 gen ya 7 kwa laki 4 tu.
Not worth it unless unaangalia uzuri wa nje kuliko ufanisi wa Ndani.Hiyo link niliyoweka hapo juu ni review ya Microsoft Surface Laptop 2.Microsoft Surface Laptop 2 Review
Much the same as the original, Microsoft's Surface Laptop 2 remains a sleek ultraportable with a top-notch build, a stellar screen, and a very long-lasting battery. Add a port or two, and it would be a superstar.www.pcmag.com
Swali langu ni kwamba, hiyo laptop kwenye review ndio hii ya hapa chini au ni laptop mbili tofauti?
Pia kwa bei hii ya hapa chini (milioni 1) ni worth it au sio worth it?
View attachment 2706842View attachment 2706843
Mkuu vipi kama nahitaji laptop ya Windows 10 au 11, slim na portable, inayotunza chaji, yenye screen nzuri itakayonifaa kwa matumizi kama web browsing, typing documents, na movie watching (kuangalia movie ndio kipaumbele namba moja) kwa bei ya milioni 1?Not worth it unless unaangalia uzuri wa nje kuliko ufanisi wa Ndani.
Laptop za kawaida gen ya 8 zinarange laki 5 mpaka 8, tena unapata nyengine ultrabook za maana tu kama unapenda laptop nyembamba.
Ukiangalia hio review ni laptop ya 2019 wakati huo ilikua nzuri ila sio sasa kwa hio bei.
I3 gen ya 12 ni bora zaidi unapata mpya kwa bei chini ya hapo.
Tafuta machine za Ryzen, cpu kama Ryzen 5 5000 series yenye ssd itakufaa sana matumizi yako.Mkuu vipi kama nahitaji laptop ya Windows 10 au 11, slim na portable, inayotunza chaji, yenye screen nzuri itakayonifaa kwa matumizi kama web browsing, typing documents, na movie watching (kuangalia movie ndio kipaumbele namba moja) kwa bei ya milioni 1?
Assume performance ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwa sababu mimi sio gamer wala sio graphics engineer