Niko kwenye mood ya malavedavi

mi nipo tu mtu wangu..
tangu ubadilishe avatar yako ukanichunia
hahhahahhahah lol...
vipi maisha lakini??

maisha mukide tu....kwa bi nyau ka ulaya siku hizi! lile li jamaa lenye avatar ya muvi akta la marekani nililiogapa ati!
 
hahahahah lol uliogopa avatar yako mwenyewe hii kali ....lol
sasa ni yule bi nyau wa pale jirani yako ndo kahamia ulaya????
au kuna mwingine huko ulaya....lol
 
pana fanana fanana na ulaya si unajua krismasi hiii......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom