Niko kwenye mood ya malavedavi

popote utakapo kuwa panda daladala ya sinza mwambie konda unashukia kwa bi nyau
ukifika utakuta watoto wa kike wanacheza mdako...wapite usiongee nao sababu usiniulize
rudi nyuma....utakuta wazee wanacheza bao....sema asalam aleykum salamu nyingine yoyote hawaitikii
na ukiwapita bila salamu utajuta kuzaliwa...kulia kwako kuna makaburi hesabu la tatu jipya jipya hivi...
pinda kushoto utakuta daraja la kamba..tafadhali usivae hai hili vaa flati shuzi...ukimaliza daraja tu...ntakuwa
nakusubiri...diskripshen yangu....sina shati,,,suruwalirangi ya ugolo...chini peku....we utakuwaje?

Mashallah
 
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi

 
Last edited by a moderator:
Maneno yako ni matamu sana but ungeyafanyia kazi kwa yule aliyekupiga kibuti walahi yasingetokea hayo, tatizo huwa hukuyaweka kwenye vitendo.
 
hata mie nilipigwa kibuti ila sasa ........... nna mawazo ka yako lol, tumeendana!
:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom