Nikisomea Laboratory Technology katika chuo cha Arusha Technical College nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?

Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?

ATC hawatoi Medical laboratory science ambayo ni moja ya allied science courses so ukisoma laboratory technology ya ATC huwez fanya kazi kwenye hospital labs,zaid utafanya sehem kama viwandan nk
 
Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
Kama unatokea familia ya walala hoi, soma taaluma itakayokuwezesha ujiajiri.

Ajira zipo kwa ajili ya watoto wa kishua tu na wenye connections zao hapa Tanzania.

Utanikumbuka....!!
 
Kama unatokea familia ya walala hoi, soma taaluma itakayokuwezesha ujiajiri.

Ajira zipo kwa ajili ya watoto wa kishua tu na wenye connections zao hapa Tanzania.

Utanikumbuka....!!
Nakusapoti tuwakumbushe wadogo zetu wasome kozi ambazo unaweza hata kufikiri kujiajiri pindi ukipata kimtaji kuliko kusoma kozi kwa sifa ya kozi ya jina aisee utakuja kuumia mtaani na kama una roho ndogo utajiua huko mbelen
 
Yaan kwa ss hata makozi ka ualim haswa wa arts mtt wa maskin asisome kabisa kuna watu mtaan naanza kuwaona kama wanawehuka yaan nakwambia bora wasome makozi ya kilimo mifugo uvuvi huko huwez juta sn ka utakuwa serious na maisha
......and bad enough, politicians don't care for so long as it doesn't negativity affect their children.
 
Back
Top Bottom