Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

Nimeshituka unauliza swali kijanja upate wazo alichukue liwe la kwako? Ukifanya hivyo hutafanikiwa tafuta ushauri wamo humu washauri wa biashara kama uko serious nipigie simu 0755394701 nikupe ushauri.
khaa! utapeli huanza poolepoole! wenzio wauza sura ww muuza namba!!
 
KAMA KWELI&nbsp; UNAHITAJI KUFANYA BIASHARA NITAFUTE USHAURI NI BURE 0787139327 <A href="mailto:jamahashi2002@yahoo.com">jamahashi2002@yahoo.com</A>&nbsp; NIN FAHAMU BIASHARA ZINAZOLIPA SANA&nbsp; AMBAZO NI HALALI.
 
Kama utanipa ml 20,000,000 nitafungua kiwanda cha kufanya recycling ya makopo ya plastiki.
Mashine yake itanigharimu almost 8,000,000 inclussive gharama za instalation.Na pesa itakayobaki nitaitumia kwaajili ya kulipa pango ya jengo la kuweka mashine pamoja na mtaji wakununulia makopo.
Hii itanipa uwezekanao wakutengeneza faida si chini ya 2,000,000 kwa mwezi.
Hapa kutakua na faida kama tano:
(1)Kutoa mchongo kwenye usafi wa mazingira
(2)Nitatoa ajira kwa wafanyakazi ndani ya kiwanda na nje ya kiwanda namaanisha wanaookota makopo
(3)Nitachangia nchi yangu kwakulipa kodi
(4)Nitajiajiri mwenyewe
(5)Nitalipa deni langu la mkopo kwa HESLB.
 
hujafafanua mkuu kwa vipi utaipa hiyo m2 hujaongerea market,changamoto,biashara hyo inalenga soko lipi umeongelea kupata mega profit tu per month but hongera kwa kuwa mzalendo kwa kukumbuka kulipa kodi
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?

Acha utapeli!
Unatafuta idea kwa mtaji wa 20ml zako za kukopa!.Ni Benki gani hiyo imekupa masharti magumu kama hizo!
Au mchepuko umekuahidi kiasi hicho na unataka kumiliki 25% baadaye?.

12x3=36months.
20.000.000/36= 555.555.5tsh @Monthx
20.000.000x25%= 5.000.000tsh ya mtaji tu hujaongeza faidi ndani ya miaka mitatu.

Niishie hapo kwanza!
 
hiyo pesa anatakiwa apewe mtu ambaye teyari anabiashara ila kwa kuanza from zero itakuwa shida kuirudisha japo inawezekana
 
na hakuna mtu mwenye biashara inayompa faida.. anayopenda partnership maana anajua itamvuruga tu...

na.mtu yeyote mwenye idea nzuri huwa hamwelezi mwenzake ukweli... anaficha siri za ndani......

so hata ukiwa na m20 yako kumpata mtu wa kumpa ni ngumu sana.. zaidi ya kuiwekeza mwenyewe
 
Asante kwa pongezi,
I have no doubt ya nilichokiandika hapo,
Naamini ni mwanzo wa mwanga kwa aliye na pesa lakini hana wazo,thnx.@for life.
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
Whole sale ya bidhaa zenye asili ya Chakula kama unga(wa aina zote), Sukari, Mafuta ya kupikia nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom