Niionavyo google baada ya miaka 10

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
habari za asubuhi wan jf leo nimeona tuidiscuss google kwa
undani wake kwa maana ya kampuni kwa ujumla nionanvyo mimi baada ya miaka
10 ijayo kama sio mingi
oogle watakuwa hawana mpinzani ktk teknolojia hasa za kisoftware maana naona hawa jamaa wana kila kitu kuazia google
search,drive,books,google play store,google music google calendar,gmail,blogger,wamenununua simu ya motorola,google tab(nexeus)
wana google ideos pia wakataka kununua yahoo yote hii inaonyesha
kwamba wana uwezo mkubwa wakifedha operating sytem kwenye simu ambayo ni android na hapa naona ndipo atakapo piga bao maana os yake ni ya ukweli
na simu nyingi tu ameingi anazo mkataba wa kuwauzia hiyo kitu mf samsung,sony kwa uchache na kwenye tablet na sababu kubwa ni kutokana na yy kuwa na access kubwa ya goole features kama nilizozitaja kama
nimessahu mnaweza kuongeze ukiwa ana simu za android kila kitu utakachofanya wana kudirect ktk google playstore
baada ya miaka 5 tutarajie naye atakuja kutoa os yake ya computer maanA hashindwi kitu naomba kuwasilisha
 
Kwani hana os ya computer? Upo nyuma kaka mwez wa nane ka releas chrome os! Pamoja na pia chrome note book. Then pia ana linux ubuntu na mint hzo zote n os za pc na pia chrome browser anaimiliki na kwenye social newtwork katuletea google+!
 
Duh ckujua ati. Cyo mbaya lakini ndio kujifunza huko I guess cpo nyuma kutokujua tu cz kuna weng ambao hawajui ninavyovijua
 
Hawa jamaa wapo serious na wanachofanya! Mpaka sasa hawashikiki, wanakamata ulimwengu wa technologia!
 
Naombeni munieleweshe hili neno android naisikia ila sijui ni kitu gani namba wenye kukijua hicho wanielimishe ni nini na kinafanyaje kazi na kina faida gani na mapungufu gani
 
Naombeni munieleweshe hili neno android naisikia ila sijui ni kitu gani namba wenye kukijua hicho wanielimishe ni nini na kinafanyaje kazi na kina faida gani na mapungufu gani

hiyo ni oparating system(OS) ya simu yaan kama vile Pc zilivyo na oparating system kama windows, ubuntu linux na nynginezo. google upate maelezo zaidi
 
Kwani hana os ya computer? Upo nyuma kaka mwez wa nane ka releas chrome os! Pamoja na pia chrome note book. Then pia ana linux ubuntu na mint hzo zote n os za pc na pia chrome browser anaimiliki na kwenye social newtwork katuletea google+!

Mndengereko

 
Last edited by a moderator:
mtoa mada ideos ni huawei sio google na nexus ni jina hatengenezi yeye mfano nexus 7 imetengenezwa na asus kampun ya wachina na hii nexus inayokuja yaani nexus 5 tablet ya nchi 5 aka phablet itatengenezwa na htc

Then google ni msaliti kwa microsoft ila nafkiri kachezea maji asiyojua kina chake guys vitu vingi google anavomiliki microsoft nae ameanza kutoa alternative.

Kama we umekula chumvi kidogo utakumbuka miaka ya mwishoni tisini hadi ya 2000 mwanzoni google ilikua si kitu bila windows walidepend kila kitu kwao ila sasa google kila kitu anajitegemea.

Microsoft nae kila anachotoa google nae anatoa
-android vs windows phone
-google map vs nokia map
-windows vs chrome os
-google search vs bing search
-android tablet vs surface tablet
-smartphone ecosystem wote wapo

Kila mmoja ana uniqueness zake lakini nauona mwisho wa google uleeeeee
 
Android ni bure, google halipwi kitu kwa ajili ya Android. Pia faida ya android play store ni ndogo sana kwa Google. Google wanapata faida yao karibia yote kwa kutuonyesha matangazo mtandaoni, ndo maana wanagawa software na services za bure ili wajue ni matangazo gani watuonyeshe kwa kufuatilia tunachofanya mtandaoni. Pia ubuntu na mint sio za google.
 
Tru that I have to try using chrome is

chrome os mkuu ni ngumu sana kwa mwafrika kuitumia.

ni operating system inayotegemea internet kwenye kila kitu.
hata izo notebook zao walizozitoa hazina hard disk so unakuwa una store data zako kwenye mtandao.
hata softwarees pia haziwi installed kwenye computer..
 
USEMACHO NI KWELI. NA NI KITU CHA KUJIVUNIA KWA HIYO KAMPUNI NA MWANZILISHI WAKE PAMOJA NA WAFANYAKAZI WAKE. JE SISI TUNA KIPI CHA KUJIVUNIA? APO WATU AMBAO WAMEJITAHIDI KUBUNI VITU VYA KUITANGza tanzania yetu lakini hakuna ushirikiano kutoka kwa watu wenye uwezo wa kusaidia hilo.:A S-heart-2:
 
Google inatisha mpaka inaboa. Haishikiki, hakuna cha microsoft wala nini, itawakimbiza wote. Google pia inapartner na jamii inayojihusisha na open source/free software ambao nao ni wakali, kama ubuntu linux. Google ina mpango wa kuifanya fb ireside ndani yake.
 
Naombeni munieleweshe hili neno android naisikia ila sijui ni kitu gani namba wenye kukijua hicho wanielimishe ni nini na kinafanyaje kazi na kina faida gani na mapungufu gani

Hyo n operating system ya kwenye baadhi ya simu na tablets! Kama vle samsung,lg,huawei, zte nk
 
Back
Top Bottom