Google wameleta feature ya kuokoa maisha yako kwenye ajali

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Kama unatumia android basi Leo nakuletea makala nzuri kwa Ajili yako, ndugu ,jamaa na rafiki ili kuwa Salama zaidi.

View attachment 2802435

Kampuni ya Google wana feature Kwenye simu za android ambayo itakusaidia kutoa taarifa ya dharura pale unapopatwq na shida au unapopata Ajali Kwenye gari.

Kama unatumia pixel Kuna kitu Kinaitwa Pixel car detection inaokoa maisha Yako ikitokea umepata ajali Kwenye gari kwa kuweza kutoa taarifa ya dharura kwa watu wengine au polisi.


View attachment 2802436
Mara ya kwanza iliachiwa mwaka 2014 ambapo ilikua inafanya kazi Kwenye nchi ya marekani pekee.

lakini sasa wameongeza nchi kadhaa Kama vile India, Australia, Belgium, Portugal na Switzerland nk kuanzia simu ya Google pixel 4a, 4xl, 6a,pixel 7 series pamoja na 8 series.

Lugha zinazo support huo mfumo ni English,Danish, Dutch , Italian , japanese nk.

Pixelaccident%20%E2%80%93%204.jpg


Ikitokea ajali imetokea yenyewe inatoa mlio wa vibrate au sauti kukuliza kama uko salama wakiona kimya ndani ya sekunde 35 basi itatoa taarifa kitengo Cha dharura.

Kupitia sensor ya motion, locations na Sauti itaweza kutoa taarifa ya eneo uliopo na kuweza kupatq msaada ila hii feature haitaweza kufanya kazi ikiwa umeweka battery save au Airplane mode.

View attachment 2802437

View attachment 2802438

Unafanyaje
  • tafuta app ya personal safety Kwenye simu Yako
  • fungua sehemu ya feature option
  • tafuta neno Car crash Detection hakikisha ume allow permission zote.
Utajaza taarifa zako muhimu hivyo ikitokea umepata ajali simu Yako yenyewe inaweza kutuma taarifa ya msaada.

Usisahau kutembelea channel zetu za Whatsapp na telegram kujifunza mengi zaidi nasi

t.me/bongoTechs255

Whatsapp
whatsapp.com/channel/0029Va…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom