Niionavyo google baada ya miaka 10

simu zinazopigiwa hapa mahesabu zilizo katika usage and market. Hizi nisimu. Zilizo nunuliwa not some manufactured data hapa.
Kama limezama zitazama simu ngapi kaka ku alter the whole market duniani. Hawa jamaa its nt like they make 100million units za simu, we are talking about billion units hapa.
Its true as for china Nokia ndo most popular brand in terms of usage bt still overall duniani Nokia imepitwa na samsung as No 1 phone maker. Nokia imepitwa hata na Apple in terms of Revenue and profits.

Hebu bishana na data za q2 latest zaidi (april, may, june)

unit zilizokua shifted ndio zilizodetermine market share na sio watu wanamiliki nini naomba katafute source yako yoyote duniani prove me wrong kua unit zilizokua shiped sio zilizodetermine basi na mimi ntajisuspend jf wiki nzima kama adhabu ya kuwadanganya wana jf

vendor2012 shipmentmarket share
samsung50.232.6%
apple26.016.9%
nokia10.26.6%
htc8.85.7%
zte8.05.2%
others50.732.9%
total153.9100%
 
Ofcoz inawezekana kapiwa sio sana but now samsung anaonekana is growing faster and faster nokia seems to be lagging behind. His symbian OS is not doing well at all nw he tried windows OS cheki anavyohangaika.

i dont think kama anahangaika. do you know that hata hao androids user kama motorola , samsung, sony na wengneoo walikua wanatumia symbian back in times? so na wao wamehangaikaaa? its just market ime change thats why wamka divert! same to nokia sema tu amechelewa kubadilika na utaona mabadiliko sooon ! androids n open source mpaka michina ina androids 4 now lazma kutakua na evolution tuu
 
Anha i see naongea na jumbe katumwa na mkoloni hapa hatupo kubishana elimu zote twende reality.

Leo nakutuma wewe kanifanyie research yenye kichwa cha habari ''ni kampuni gani ya cement tanzania inayotumiwa na watu wengi kujengea nyumba? then na wewe bila kufkiria eti unaenda viwandani unaanza tanga cement mnazalisha product ngap? Tunazalisha tani 50 unaenda twiga wanasema wanazalisha 25 then unaconclude ahaa tanga cement ana market share kubwa.

Ndo tunavopima? Je kama cement ya tanga ilitumika kujengea viwanja na majengo makubwa then watu wanaprefer twiga zaidi na idadi kubwa wanatumia twiga utajua kwa kuangaia wanazalisha nini tu?

Unajua ndgu yangu Chief mkwawa unachanganya mambo. I never said production kubwa ndo market share kubwa.

''Ila sales and Revenues kubwa ndo market share kubwa.

Tutumie mfano wako huo huo wa cement. Umesema kwamba Tanga wana produce 50 tonne na Twiga 25 tonne. Lets assume kwa mwaka Tanga wameuza 40tonne na twiga 20tonne bt the whole tanzania mwaka huo kulikuwa na 100tonne used au sold.
''So kupata market share ya Tanga unachukua 40 devide 100 times hundred (kwssbu Market share is alwys calculated in %) unapata 40% na Twiga 20/100 X 100 unapata 20%. So Tanga itakuwa na Market share kubwa kwenye soko la cement assumibg hakuna kampuni nyingine iliouza over 40tonne.

So hata kama tanga cement inanunuliwa na viwanda au watu wanaojenga maghorofa tu na Twiga cement inanunuliwa na wana uswahilini still market share kubwa ni Tanga cement bcoz ''Market share haisabiwi kwa kutumia criteria ulizozitaja wewe bt through SALES and REVENUE.
 
Hebu bishana na data za q2 latest zaidi (april, may, june)

unit zilizokua shifted ndio zilizodetermine market share na sio watu wanamiliki nini naomba katafute source yako yoyote duniani prove me wrong kua unit zilizokua shiped sio zilizodetermine basi na mimi ntajisuspend jf wiki nzima kama adhabu ya kuwadanganya wana jf

vendor2012 shipmentmarket share
samsung50.232.6%
apple26.016.9%
nokia10.26.6%
htc8.85.7%
zte8.05.2%
others50.732.9%
total153.9100%

[http://communities-dominate.blogs.com/brands/2012/08/smartphone-market-shares-q2-full-numbers-samsung-and-android-solidifying-their-leads/comments/page/2/]
i believe hapo juu is where u got your data from

TEN BIGGEST SMARTPHONE
MANUFACTURERS BY UNIT SALES IN Q2 2012 Rank . Maker . . . . . . Units . . . Market Share . . . .
Was in Q1 of 2012
1 . . . . Samsung . . . 50.4 M . . 32.9 % . . . . . . . .
( 30.6 %)
2 . . . . Apple . . . . . . 26.0 M . . 17.0 % . . . . . . . .
( 24.2 %) 3 . . . . Nokia . . . . . . 10.2 M . . . 6.7 % . . . . . . . .
( 8.2 %)
4 . . . . HTC . . . . . . . . 8.8 M . . . 5.8 % . . . . . . . .
( 5.4 %)
5 . . . . ZTE . . . . . . . . 8.0 M . . . 5.2 % . . . . . . . .
( 3.4 %) 6 . . . . RIM . . . . . . . . 7.8 M . . . 5.1 % . . . . . . . .
( 7.6 %)
7 . . . . Sony . . . . . . . 7.5 M . . . 4.9 % . . . . . . . .
( 5.0 %)
8 . . . . Huawei . . . . . 7.0 M . . . 4.6 % . . . . . . . .
( 4.8 %) 9 . . . . LG . . . . . . . . . 6.5 M . . . 4.2 % . . . . . . . .
( 3.8 %)
10 . . . Motorola . . . . . 6.0 M . . . 3.9 % . . . . . . . .
( 3.5 %)
Others . . . . . . . . . . . 10.8 M . . . 7.3 % . . . . . . . .
( 3.3 %) TOTAL . . . . . . . . . 153.0 M
Source: TomiAhonen Consulting Estimates August
15, 2012 from vendor data and other sources

Nadhani hapo kwenye heading umesoma vizuri
"TEN BIGGEST SMARTPHONE
MANUFACTURERS BY UNIT SALES IN Q2 2012
ts written sales bruh... Hizo shipment unazozungumzia whats the point exactly? Arent they sales? Au jus shipment from kiwandani to a warehouse?
 
i dont think kama anahangaika. do you know that hata hao androids user kama motorola , samsung, sony na wengneoo walikua wanatumia symbian back in times? so na wao wamehangaikaaa? its just market ime change thats why wamka divert! same to nokia sema tu amechelewa kubadilika na utaona mabadiliko sooon ! androids n open source mpaka michina ina androids 4 now lazma kutakua na evolution tuu

www.nojitter.com/post/240002085/hard-times-continue-at-nokia

http://www.telecomtv.com/comspace_newsDetail.aspx?n=48670&id=e9381817-0593-417a-8639-c4c53e2a2a10

http://www.bizcommunity.com/Article/196/574/83297.html

In short kwa kampuni kubwa kama Nokia kurecord €1b point ushee sio kitu kidogo. Plus they are cutting 10,000 jobs plus wanatak kuuza their headquarter offices na zile za Vertu UK na kufunga their research facilities Germany. 19% fall kwnye mauzo, plus market share imepoteza kwa samsung na iphone. Historia inaonesha ukiwashiwa headlights alaf ukapitwa ujue kurudi tena si kitoto.
Take example of GM MOTORS, IBM.
 
[http://communities-dominate.blogs.com/brands/2012/08/smartphone-market-shares-q2-full-numbers-samsung-and-android-solidifying-their-leads/comments/page/2/]
i believe hapo juu is where u got your data from

TEN BIGGEST SMARTPHONE
MANUFACTURERS BY UNIT SALES IN Q2 2012 Rank . Maker . . . . . . Units . . . Market Share . . . .
Was in Q1 of 2012
1 . . . . Samsung . . . 50.4 M . . 32.9 % . . . . . . . .
( 30.6 %)
2 . . . . Apple . . . . . . 26.0 M . . 17.0 % . . . . . . . .
( 24.2 %) 3 . . . . Nokia . . . . . . 10.2 M . . . 6.7 % . . . . . . . .
( 8.2 %)
4 . . . . HTC . . . . . . . . 8.8 M . . . 5.8 % . . . . . . . .
( 5.4 %)
5 . . . . ZTE . . . . . . . . 8.0 M . . . 5.2 % . . . . . . . .
( 3.4 %) 6 . . . . RIM . . . . . . . . 7.8 M . . . 5.1 % . . . . . . . .
( 7.6 %)
7 . . . . Sony . . . . . . . 7.5 M . . . 4.9 % . . . . . . . .
( 5.0 %)
8 . . . . Huawei . . . . . 7.0 M . . . 4.6 % . . . . . . . .
( 4.8 %) 9 . . . . LG . . . . . . . . . 6.5 M . . . 4.2 % . . . . . . . .
( 3.8 %)
10 . . . Motorola . . . . . 6.0 M . . . 3.9 % . . . . . . . .
( 3.5 %)
Others . . . . . . . . . . . 10.8 M . . . 7.3 % . . . . . . . .
( 3.3 %) TOTAL . . . . . . . . . 153.0 M
Source: TomiAhonen Consulting Estimates August
15, 2012 from vendor data and other sources

Nadhani hapo kwenye heading umesoma vizuri
"TEN BIGGEST SMARTPHONE
MANUFACTURERS BY UNIT SALES IN Q2 2012
ts written sales bruh... Hizo shipment unazozungumzia whats the point exactly? Arent they sales? Au jus shipment from kiwandani to a warehouse?

Yaaah exactly umekuja kwenye point hayo ni mauzo ya kutoka kiwandani kwenda kwa wholesalers mfano amazon, ebay, stores, na vifananiavyo na si kwa final consumer.

I like facebook wanavohesabu watu wao facebook hawaangalii watu wanavoregister ni wangap na kukurupuka kusema tuna watu wangap bali wanaangalia active user (wanaolike, kushare, kucoment) ndani ya mwezi wanapata acurate data.

Same kwenye simu angalia nokia je ni soft gan ipo kwenye 99% ya nokia? Jibu ni moja ni operamini. Kuna version za symbian, java, meego so ilikua easy just kuangalia active user wa opera ya kila version then tunapata idadi (kwa njia hii nokia ana watu 1.3 billion)

So sometime tufkirie kidogo si kila kinachosemwa ndicho.
 
So unaniambia the 50.4M units za samsung ktk Q2 ni products zilizo kwenye shelves???? ( ni mauzo from manufacture to vendor???? ) kweli???

What about 26M za Iphone je?? Pia kwenye shelves??

Facebook kweli unaringanisha na product kama simu? Facebook does not have middle man, supply chain. They dont ship their products and we dont pay to use it. I dnt think ni mfano mzuri hapa.

Mimi i have tried my best kukuelezea what i understand kuhusu Market share and even gave you links kusoma na kuelewa. I gess either hutaki kuelewa au hatujaelewana what we arguing abt....
 
Exactly 100% trust me bro maisha yangu yote ni simu idadi wanayojua kua wameuza ni zile simu za contract tu lakini unlocked wakiuza tu kwa wholesaler wanahesabu tumeuza haijalishi imemfikia final consumer.au la.

Na fb nimekupa mfano kuregister = kuuza na active user = imemfikia mtu sasa anaitumia simu
 
Nahisi kwa mbali napata picha unacho argue, Ila tu i wanted kujua unakubali kwamba samsung ina market share kubwa kuliko iphone?
Na android ina market share doublr that of iphone?

Alaf nataka kujua unahisi iphone inatumiwa na watu wengi Despite Samsung kuwa na Market share kubwa kuliko iphone from statistics point of view? ( i believe this was argument yako kubwa)
 
Yah statistically samsung ana market share kubwa. Ila kiriality si kweli na sababu nlimekupa (fashion, durability,)

Ngoja nkupe tip moja mwaka 2007 muanguko wa nokia ulianza kwa makampuni makubwa mawili kufanya revolution ya kutoa smartphone zaukweli.

apple alitoa iphone 3 na samsung katoa f700

Samsung f700
samsung-f700.jpg

Iphone 3
apple-iphone3g.jpg

Sasa angalia leo f700 ziko wapi? Unazijua? Angalia iphone 3 zinavozunguka mikononi mwa watu so kuuza sio ishu. Inaweza mwaka huu ukauza kingi then mwakani ukauza kingi lakini kile kilichopita ukauza kimepitwa na wakati watu washatupa kwenye dust bin
 
What is the reality you are talking about? Fashion sijui, design, durability etc does not determine the market share ya kitu hizo zina influence tu sales ambayo ndo nguvu yenyewe ya product kwenye market.

Market share maana yake streangth (nguvu) ya entity ktk industry ilokuwepo.

Inawezekana iphone sold simu tangu mwaka 2008 na zipo nyingi tu mpka sasa hivi bt Market share haingalii product zilizopita mda. Market share is for every given period of time. Mostly quartely au yearly.

Samsunga sasa hivi wameuza 50.4 million units zake, maana yake wao sasa hivi simu zao ndo nyingi madukani na watu wengi ndo wanazo. Huwezi kuniambia amazon wanaenda kununua units labda 10,000 alaf eti zibakie kwenye shelves na za iphone 5000 amabzo zinatoka. Noooooooo. 50 million units zinatoka compared to 26 million za iphone kwasababu ndo inademand kubwa. Means watu wanaikubali zaidi samsung kuliko iphone products. Hata kama iphone simu zake zinadumu milele, na samsung simu zake replacement rate ni miezi 3. The industry does not look at that. They consider the sales, products Zilizouzwa kipindi hiko.

Alaf point of education watu wanaotoa stats hizi sio samsung au iphone bali ni International Research firms( IDC, NIELSEN, GOOGLE STUDY ) ambao(credibilty yao is not in question) wanaangalia criteria nyingi kujaribu kupata as accurate data as possible. Kama hazingekuwa zinaendana na reality trust me Iphone wange protest so would Nokia na kurefute the data na kusema hazina ukweli.

We angalia tangu iphone watoe hizo Iphone 3g mpka leo iphone 5 ni matoleo mangapi? Matano.

Samsung on the other hand, ame flood the market with his smartphone targeting different segments on differnts bases ( class, price- mpka samsung pocket, age, gender etc) sasa hivi ana samsung inayotumia window OS guess who is this for? Hao ndo samsung and that is business.
 
Nafkiri hapo kwenye market share ndio tunatofautiana (naongelea kwenye idadi ambayo watu wanaimiliki kwa sasa)
 
nimefaidika sana na hii post kwa hiyo samsung yupo juu kimauzo ooh pia kuna mahali nimeona nokia inaongoza china sasa ina maana hawa china hawatumii simu zao huko nchini mwao maana hawajamaa nijuavyo ni conservative sana kutumia bidhaa za nje maana najua wana zte,sijui huawei na kampuni nyingine
 
Nahisi kwa mbali napata picha unacho argue, Ila tu i wanted kujua unakubali kwamba samsung ina market share kubwa kuliko iphone?
Na android ina market share doublr that of iphone?

Alaf nataka kujua unahisi iphone inatumiwa na watu wengi Despite Samsung kuwa na Market share kubwa kuliko iphone from statistics point of view? ( i believe this was argument yako kubwa)
Najaribu tuu kukusahihisha frikra zako unaposema sumsung wana market share kubwa kuliko iphone yani umeiweke iphone juu sana kupindukia manake iphone inashindana na kila zagazaga sumsung wanatengeneza kuanzi fridge,tvs,computer,mashine za kufulia nk. To be fare linganisha apple na sumsung kwenye smart phone market lakini hapa bado si fare kimtazamo wangu apple wana iphone tuu na sumsung wana kuanzia vigalax pocket,mini,s1,s2 s2 galax note na mazaga zagamengine mengi im sure hata CEO hakumbuki zote na anashindana na iphone moja tuuu.... mimi ningekuwa bosi hapo sijui ningejifikiriaje.
To be fare mimi nazani uchague line moja jambe la sumsung hata 3 kama galaxy s1,s2,s3 alafu ndo tulinganishe mauzo na iphone 4,4s, na 5 tuone.
 
nimefaidika sana na hii post kwa hiyo samsung yupo juu kimauzo ooh pia kuna mahali nimeona nokia inaongoza china sasa ina maana hawa china hawatumii simu zao huko nchini mwao maana hawajamaa nijuavyo ni conservative sana kutumia bidhaa za nje maana najua wana zte,sijui huawei na kampuni nyingine

Leo hii watu wanatumia symbian na meego (operating system za nokia) sababu ya wachina. Kuna maelfu ya app wanatengeneza kila siku na kumod kwao hizi ndio os wanazozipenda. Sio china tu bali nchi kama ufilipino na india ni same

Kama ushawahi kusikia nokia zinakua hacked kwa certificate waliofanya hii kitu ni shoujizu ni wachina(sawa android kuroot na iphone kujail break), ni hao hao wachina ndio waloanza kueka android kwenye n9 (meego device)

Hata wafanyakazi wa nokia wale wa meego waliofukuzwa na kuunda kampuni yao ya jolla wameenda china na hongkong kuomba msaada mpaka wakapata euro 200 million za kutengeneza sailfish

So kuna bond kubwa sana ya nokia na china na india na phillipines (nusu ya dunia)
 
Najaribu tuu kukusahihisha frikra zako unaposema sumsung wana market share kubwa kuliko iphone yani umeiweke iphone juu sana kupindukia manake iphone inashindana na kila zagazaga sumsung wanatengeneza kuanzi fridge,tvs,computer,mashine za kufulia nk. To be fare linganisha apple na sumsung kwenye smart phone market lakini hapa bado si fare kimtazamo wangu apple wana iphone tuu na sumsung wana kuanzia vigalax pocket,mini,s1,s2 s2 galax note na mazaga zagamengine mengi im sure hata CEO hakumbuki zote na anashindana na iphone moja tuuu.... mimi ningekuwa bosi hapo sijui ningejifikiriaje.
To be fare mimi nazani uchague line moja jambe la sumsung hata 3 kama galaxy s1,s2,s3 alafu ndo tulinganishe mauzo na iphone 4,4s, na 5 tuone.

Mkuu hizi sio fikra zangu, hizi ni Research Findings zilizo fanywa na makapuni makubwa huko Marekani, na mimi nimeziwasilisha tu hapa. Kama ufuatilia vizuri this post utaona huko nyuma nimeweka hadi link kama reference incase you want kusoma zaidi kilichoandikwa kuhusu hizo researches.

Ila point ya kuelimishana tu. Ts true samsung wana product Range kubwa sana compared to iphone bt humu kwenye this post we only talk about one product line ya samsung Mobile phones and specifically smart phone.

Hizi data zimetumika kuonesha kampuni gani inanguvu kubwa kwa sasa kwenye soko la smartphone.(nguvu hiyo inatokana na mauzo mengi)
Iphone hakatazwi kuwa na model
Nyingi katika soko no yy mwenyewe kaamua hivyo. Galaxy ace, S1, S2, S3 , Note 1, Note 2 kwenye soko zote zinahesabiwa kama one entity(one product ya samsung) samsung smartphone.

So ni strategy tu ya kibiashara.
 
Nafkiri hapo kwenye market share ndio tunatofautiana (naongelea kwenye idadi ambayo watu wanaimiliki kwa sasa)

Mkuu chief mkwawa, market share iko hivo. Huwezi kubishana na statistical data watu wamefanyia research na zimewekwa kwa ajili ya dunia nzima ione na kutumia kama reference point.

Tunachotofautiana mimi na ww ni uelewaji wa hizi data. You are trying kuzibishia hizi data kwmba hazionesho reality ya watu simu wanazomiliki. Wewe reality hiyo umeifanyia research?? Umeijuaje kama watu wengi wanamiliki simu fulani( i think you were impling Iphone)?? Because umewaona what some 50people maybe au 100 poeple basi wewe uka conclude kwmb ahhh hizo data hazipokweli watu wengi wanamiliki iphone.

Au kwasababu iphone 3g ipo mpka sasa hivi wakati samsung f7000 haipo???
 
Back
Top Bottom