Nihaki kuzaa na mume wa mtu tena watoto wawili au watatu?

hafikirii huyo, usijichoshe. Muache atengeneze hatchery tu ya mwenzie. Siku mwanaume ataacha kujali watoto aanze drama za.kwenda kutakana getini kwakwe daily

King'asti umeongea point. Unajuwa mara nyingi dada zetu matatizo mnajitakia wenyewe. We fikiria mtu keshapenda na kuoa na pengine ana watoto nyumbani na huyo mke wake. Wewe kama kimada tu, unajisikiaje kumzalia watoto mume wa mtu? Unajuwa kuna tofauti kati ya matamanio na mapenzi. Mtu atakutamani tu kama mimi ninavyo kumaindi wewe King'asti (hiyo avatar yako), maana nakufikiria uzuri wako na siku nikikuona ama ukinikubalia kitandani na vitu nitakavyokufanyia mbona balaa, yaani hata wewe mwenyewe utashindwa kuamka kitandani kwa mapigo nitakayokupa. Haya ni matamanio tu ila kama kupenda nina wangu wa moyoni hapa nyumbani na siko tayari kumwacha kwa lolote lile. Sasa leo hii uje unizalie we dada yangu King'asti, inakuja kichwani mwako kweli? Nikikusaliti mara baada ya kunizalia, si utajiua kweli? Hapa nimetumia mfano tu kufafanua hili jambo, na sikusemi wewe King'asti! Je, umenikasirikia maana bado nakumaindi.
 
Last edited by a moderator:

mie namind hizo bhange unazovuta, huwa unasasambua mbegu? Lol!
Hebu nipishe mie mtoto wa mwanaume mwenzio! Hayo mambo ya kushindwa kutembea na ukimwi huu! Koma kabisa, ntakusemea kwa Paw ama babangu Mtambuzi!
 
Uzuri ni kwamba hata raha ya uvutaji bangi siijuwi ila najuwa kupenda tu na ku imagine how people look through their avatars.
 
King'asti umeongea point. Unajuwa mara nyingi dada zetu matatizo mnajitakia wenyewe. We fikiria mtu keshapenda na kuoa na pengine ana watoto nyumbani na huyo mke wake. Wewe kama kimada tu, unajisikiaje kumzalia watoto mume wa mtu? Unajuwa kuna tofauti kati ya matamanio na mapenzi. Mtu atakutamani tu kama mimi ninavyo kumaindi wewe King'asti (hiyo avatar yako), maana nakufikiria uzuri wako na siku nikikuona ama ukinikubalia kitandani na vitu nitakavyokufanyia mbona balaa, yaani hata wewe mwenyewe utashindwa kuamka kitandani kwa mapigo nitakayokupa. Haya ni matamanio tu ila kama kupenda nina wangu wa moyoni hapa nyumbani na siko tayari kumwacha kwa lolote lile. Sasa leo hii uje unizalie we dada yangu King'asti, inakuja kichwani mwako kweli? Nikikusaliti mara baada ya kunizalia, si utajiua kweli? Hapa nimetumia mfano tu kufafanua hili jambo, na sikusemi wewe King'asti! Je, umenikasirikia maana bado nakumaindi.

Naona umetumia post ya watu kuweka mambo yako hadharani kwa king'asti, si umtafute umpasulie ukweli, hebu jiamini.
 
Last edited by a moderator:
Naona umetumia post ya watu kuweka mambo yako hadharani kwa king'asti, si umtafute umpasulie ukweli, hebu jiamini.

Kama nilivyosema, nimetumia mfano tu na mengine yote hayo juu ya King'asti ni mipasho tu. Si umesoma kuwa nimesema hapa nyumbani nina wangu wa moyoni na siko tayari kumwacha kwa lolote lile? Au uliruka huu mstari? Rudia tena kusoma post yangu utanielewa tu.
 
you are so so so so ... selfish,sina uhakika kama uko ok ,kwa jinsi unavyoendesha maisha yako,du sikuelewi kabisa,
 
bado ananisogelea tuu huwa nampa nafasi kwaajili ya mwanae niliezaa nae

dada kwani sasa hivi unampa nafasi gani
 
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa aoe mimi nahitaji mtoto tuu,
sasa baada ya muda alikuja kuoa na mkewe sasahivi ni mjamzito chakushangaza pamoja na hiyo ndoa yake mpya bado ananisogelea tuu huwa nampa nafasi kwaajili ya mwanae niliezaa nae eti sasa hivi ananiambia tufanye utaratibu wakuongeza nae mtoto wa 2 na watatu ni haki jamani?
sasa hivi yeye ni mume wa mtu namuogopa nanapenda kuiheshimu hiyo ndoa yake huyu mtoto tuliozaa anamtunza vyema na anampenda sana natamani kuwa na watoto wawili ambao babayao ni mmoja lakini naogopa sijawahi sikia mtu kazaa na mume wa mtu watoto zaidi ya mmoja.

naombeni mawazo yenu na mitazamo

Nimejitahidi kuacha kupost humu lakini kwa hili dada imebidi nilog in,

Hakuna cha ajabu hap zaidi ya hali ya kawaida sasa kwa ulimwengu
- simple minds,
- selfishness

hatuwezi kuwa na maamuzi magumu
- woga wa responsibility za utu uzima
- uvivu wa kuwajibika
- ubinafsi
- kutokujengewa uwezo, nia, sababu za kufuata maadili
- kufikiri watoto ni starehe yetu bila kujua ni viumbe wa dunia na wajibu wa ujumla kwa wazazi

Hakuna wa kuptupia lawama, ila tu mama, jitahidi uwe na uwezo wa kufanya maamuzi
jitahidi ujiwekee principles ambazo hazina msingi wa kibinafsi zaidi, ila kama kiumbe mwenye wajibu kwa binadamu wote including huyo kaka, mtoto, mke wa huyo kaka, jamii inayokuzunguka ambayo najua wanatafuta jinsi ya kuelezea matendo yako bila aibu.

God bess

nina mdogo wangu naye alisema hivyo akazaa na mtu hatumjui, wala mtoto hamjui baba kwa sababu mama ni tajiri na anaweza kumtunza vizuri mtoto pia hataki kuolewa eti amezaa tu ili tusiseme hawezi kuzaa, imagine how twisted us women can be when we have money!!

Sitaki kuhisi ila nadhani una kazi nzuri na uwezo mzuri wa fedha unadhani ni solution, na unaweza kudharau responsibilies zako kama mama unaetakiwa kulea kizazi kitakachotegemewa kijamii na offcourse kiauchumi
 
Niko likizo nachunga mbuzi wangu.......kuna dume moja (beberu) na majike manane na ndama zao....life goes on for them
 
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa aoe mimi nahitaji mtoto tuu,
sasa baada ya muda alikuja kuoa na mkewe sasahivi ni mjamzito chakushangaza pamoja na hiyo ndoa yake mpya bado ananisogelea tuu huwa nampa nafasi kwaajili ya mwanae niliezaa nae eti sasa hivi ananiambia tufanye utaratibu wakuongeza nae mtoto wa 2 na watatu ni haki jamani?
sasa hivi yeye ni mume wa mtu namuogopa nanapenda kuiheshimu hiyo ndoa yake huyu mtoto tuliozaa anamtunza vyema na anampenda sana natamani kuwa na watoto wawili ambao babayao ni mmoja lakini naogopa sijawahi sikia mtu kazaa na mume wa mtu watoto zaidi ya mmoja.

naombeni mawazo yenu na mitazamo

Wewe ni mhuni na huyo mwanume ni mhuni!
Ila mje maisha haya yana mwisho, Kwako - Heshimu ndoa kama unataka mtoto mwingine tafuta kwingine maana wewe basi tena! Ila achana na doa za watu!! Utapata laana ujute baadaye bure.
LAkini wanawake wote mloolewa walindeni wanaume wenu ili wasitoke kutafuta nje. Mkshazaa tu mnaona tendo la ndoa ni utoto! Uwongoooo??
Ndo maana wanatafuta Easy goer ambaye ndo huyu hapa mwanathread hii. CLICK AND GO KAMA BUBLISH!
 
Wewe na huyo mwanaume hamnazo kabisa,hivi ni kweli ulimruhusu aoe mwanamke mwingine? au unatuzuga hapa, kwamba huna shida na mume?
 
Shosti kwani wewe sio mwanamke amabe unaweza kua na mumeo na nyumba yako mpaka ujichanganye na mwenzio?
shosti mwanamke kujiamini,na kwa muelekeo wako bado umetota kwa huyoo bwana na inaonyesha wazi kua huwezi kusema hapana uko chordooooo! kwake...
 
Nihaki kuzaa na mume wa mtu tena watoto wawili au watatu? inamaana wewe ni mtu wa namna gani hadi uulize wakati kitu kinafahamika kabisa
 
Back
Top Bottom