Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,105
- 4,635
Habari za j2 wana JF.
Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi?
Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu alikuwa anataka amlete mchumba wao kwao kujitambulisha, huyo jamaa anaishi USA so baada ya ndoa anamchukua na kwenda kuishi nae USA.
Wazee wakamuuliza wewe tayari unamtoto na jamaa anajui hilo akamwambia ndio. Vipi kuhusu na mtoto wako ukienda huko USA unaenda na mtoto, eti kasema anamuacha eti.
Daa alibadilikiwa na mzee wake na mama yake na kaka yake mkubwa nusu wampige Kofi. Hivi unakubalije mtoto unamuacha Huku na wewe kwenda USA , unataka mtoto wako akae na nani? Inavyoonyesha jamaa aligoma kwenda na mtoto USA. Baba wa mtoto alishakimbia na hataki hata watu wajue uwepo wa dogo.
Hivi kama wewe ni binti unaanzaje kumuacha mtoto kwa wazazi afu nani mlee? Tafuta mtu ambaye atakukubali wewe na mwanao usipopata basi endelee hivyo hivyo kukaa benchi.
Kuna jirani yetu hapa moro, binti alizalia home mtoto wa kike Jamaa aliyezaa nae kala kona mpk leo.
Baada ya yeye kuolewa kamuacha mtoto kwao kwa Baba yake na mama yake yeye yupo dsm kwa bwana wake anakula bata.
Daaaa.