Nihaki kuzaa na mume wa mtu tena watoto wawili au watatu?

Latifaa

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
501
257
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa aoe mimi nahitaji mtoto tuu,
sasa baada ya muda alikuja kuoa na mkewe sasahivi ni mjamzito chakushangaza pamoja na hiyo ndoa yake mpya bado ananisogelea tuu huwa nampa nafasi kwaajili ya mwanae niliezaa nae eti sasa hivi ananiambia tufanye utaratibu wakuongeza nae mtoto wa 2 na watatu ni haki jamani?
sasa hivi yeye ni mume wa mtu namuogopa nanapenda kuiheshimu hiyo ndoa yake huyu mtoto tuliozaa anamtunza vyema na anampenda sana natamani kuwa na watoto wawili ambao babayao ni mmoja lakini naogopa sijawahi sikia mtu kazaa na mume wa mtu watoto zaidi ya mmoja.

naombeni mawazo yenu na mitazamo
 
Kubali tu uwe mke wa pili mbona siyo shida ili uwe halali na mke mwenzio ajue kuwa upo ajue mnashare na ni mwanafamilia
 
Heshimu ndoa ya mwenzako. You had your chance ukamwambia aoe tu, si ungezaa nae kabla hajaoa? Kwanini unataka kuzaa na mtu usiyekuwa na plan nae? Sikushauri uzae nae, mheshimu hata huyo mke wake. Kama hutaki ndoa usizae na mtu aliye kwenye ndoa, nakusihi tafadhali.
 
Nenda barabarani siku ambazo unajua unaweza kushika mimba na yeyote atakayekutongoza mpe ili mimba itunge, lakini kuzaa na mume wa mtu ni kosa kubwa wewe si ulikataa kuolewa sasa kwa nini unataka kuvuruga ndoa ya mwenzio kwa kisingizio cha mtoto. Hivi kama ukiamua usku ukatoka ukaenda kusimama ambapo wasichana wanajiuza si utapata wa kukutunga mimba?
 
some people ni so selfish!
haya mamii usiishiie kwenye wawili tu endeleza mpango wafike hata 6
kwani nini bana ,si unasikia raha/
na baba wa mtoto anampenda mtoto wake,KWELI!
sasa kwanini usiendelee kuzaa nae!
KAZANA mamii!
AKISHAZALIWA HUYO ULIYEKWISHA BEBA NJOO TENA ULIZA HIVI NI HAKI NIKIONGEZA MTOTO WA TATU?
 
Wewe shida yako ni dushilele au watoto??? Achana nae huyo mwanaume anza maishavmengine na siyo lazima uzae tena kama mtoto si unae tayari??
 
Heshimu ndoa ya mwenzako. You had your chance ukamwambia aoe tu, si ungezaa nae kabla hajaoa? Kwanini unataka kuzaa na mtu usiyekuwa na plan nae? Sikushauri uzae nae, mheshimu hata huyo mke wake. Kama hutaki ndoa usizae na mtu aliye kwenye ndoa, nakusihi tafadhali.
HoneyBee muache akazae!muache aproove how sub standard she is!
HUWEZI KUMILIKI KILICHO CHAKO UNAKATAA YA NIN WENZIO WAKITAKA KUMILIKI KWA UWEZO WANAOAMINI WANAO! Latifaa
hujui tu vile umeniharibia usiku wangu!
 
Last edited by a moderator:
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa aoe mimi nahitaji mtoto tuu,
sasa baada ya muda alikuja kuoa na mkewe sasahivi ni mjamzito chakushangaza pamoja na hiyo ndoa yake mpya bado ananisogelea tuu huwa nampa nafasi kwaajili ya mwanae niliezaa nae eti sasa hivi ananiambia tufanye utaratibu wakuongeza nae mtoto wa 2 na watatu ni haki jamani?
sasa hivi yeye ni mume wa mtu namuogopa nanapenda kuiheshimu hiyo ndoa yake huyu mtoto tuliozaa anamtunza vyema na anampenda sana natamani kuwa na watoto wawili ambao babayao ni mmoja lakini naogopa sijawahi sikia mtu kazaa na mume wa mtu watoto zaidi ya mmoja.

naombeni mawazo yenu na mitazamo

nimeshindwa kukuelewa ulikataa nini na umekubali nini, umekataa ndoa ambayo ungelea watoto wako na mume wako wa pekee unakubali kuzaa na kutunzwa akiwa mail mia...kama ndoa imekukalia kushoto usizae nae tena...
 
h:confused2::confused2:Hmm kwann hakukuoa wwewe...sasa hapo anakupenda wewe au mbegu zako!! hapo mwenye uamuzi ni wewe.
i hope ur not pregnant yet!!:confused2:

umenikumbusha kuna mmoja alikuja na gia ohh najuta kuoa mapema ila kama vipi nikubali af tuzae wote...napenda mbegu yako...mtoto atakuwa balah..nikamwambia siku nikikuona karibu namimi nakujazia watu..nakuita mwizi!! wee amekomaje..akiniona ana spidi af naiv mtu mzima sana sina mbavu!!

darling mimi nisingekubali coz huyo anaonekana si mpango wako...sugua goti utapata wakwako mpenzi!!
 
watu wanapenda sana kitonga kwenye mahusiano!sana!
 
He is a dog that you should fear more than leprosy. Kama alikuwa anakupenda kwanini alioa wakati ulikuwep? Nadhani huyo anasumbuliwa na tamaa wala hajitambui. Muulize simpo question: Kama ulikuwa mali kwake hivyo kwanini alioa wakati akijua una what it takes? Jaribu kumpa hard time umwambie kuwa now you are tired na sasa achukue watoto wake akalee na huyo mkewe nawe unataka kuolewa uone atakavyotaabika mshenzi huyu. Ni ushauri tu. Ila fanya hivyo kama jamba toto maana ukiachia watoto wako walelewe na mtu mwingine utaumia wewe ingawa si wote wabaya. Nataka umtie adabu mpuuuuzi huyu anayetumia dick yake kufikiri badala ya ubongo akitaka awatumie wenzake baada ya kukuta alichotegemea sicho.
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa aoe mimi nahitaji mtoto tuu,
sasa baada ya muda alikuja kuoa na mkewe sasahivi ni mjamzito chakushangaza pamoja na hiyo ndoa yake mpya bado ananisogelea tuu huwa nampa nafasi kwaajili ya mwanae niliezaa nae eti sasa hivi ananiambia tufanye utaratibu wakuongeza nae mtoto wa 2 na watatu ni haki jamani?
sasa hivi yeye ni mume wa mtu namuogopa nanapenda kuiheshimu hiyo ndoa yake huyu mtoto tuliozaa anamtunza vyema na anampenda sana natamani kuwa na watoto wawili ambao babayao ni mmoja lakini naogopa sijawahi sikia mtu kazaa na mume wa mtu watoto zaidi ya mmoja.

naombeni mawazo yenu na mitazamo
 
Haya mengine hayahitaji ushauri

Ni black and white baina ya haki na batili
 
nimeshindwa kukuelewa ulikataa nini na umekubali nini, umekataa ndoa ambayo ungelea watoto wako na mume wako wa pekee unakubali kuzaa na kutunzwa akiwa mail mia...kama ndoa imekukalia kushoto usizae nae tena...
mi naona kama mfanya biashara vile,
 
Kama bado unandoto za kuolewa, nakushauri usiongeze matatizo mengine zaidi ya haya uliyonayo.
Na kama hauna mpango wa kuolewa, usizae na huyo jamaa kwa kuheshimu ndoa yake na heshima kwake pia.

Laiti ungejua yaliyo mioyoni mwa watu walioolewa/kuoa huku wakiwa na watoto wa watu wengine kabla ya ndoa, nadhani usingeuliza ushauri.
 
Jaribu kujiwelka kwenye upande wj mwanamke mwenzako aliye kwenye ndoa. Alfu uckie mumeo anawatoto nje ya ndoa wawili au mmoja?.Think twice before you act.
 
Back
Top Bottom