Nigeria: PHD at 25 years of age?

7-13: Primary School
14-17: Secondary school
18-19: Advanced Secondary School
20-23: Bachelor Degree
23-25: Masters
26-30: PhD

Kwa system ilivyo wenye PhD huanzia 30......

Yup that's true,wengine wanasoma mpaka wanakuwa vibogoyo ndio wanapata PhD!
 
mdogo wangu ana miaka 18, now yupo 1st year chuo, atamaliza chuo na miaka 20, ikitokea akaunganisha masters itamchukua miaka 2 mingine, phd mi 3, hapo itakuwa ni miaka 25. Ukimwona alivyo mdada huwezi jua kabisa ni teenager!

Anachukua kozi gani?
 
Anachukua kozi gani?

yupo kwa mangwini huyo. Kuna masters hata one year. Haya maendeleo yanahitajika sana. Ila inahitaji uwe na private sponsorship ndo unafanikiwa. Yale ya kuambiwa ufanye kazi miaka 3 yanachelewesha sana. Kwa wanaopita kozi zetu za sifa ie drs hii ni ndoto kwa muda huu.
 

inategemea mfumo wa elimu umekaaje. Condoleeza alipata phd at 26 miaka ya 80. Huku kwetu kipindi cha nyuma, primary 9-15,o level 16-20, 22 umemaliza pcb. Medicine unamaliza 27, internship 28. Masters 31, phd 35. Hapo bado hujaambiwa ufanye kazi miaka kadhaa. Hii pia inategemea na kozi unayosoma, hatuwezi kulinganisha kozi zote wakati kuna kozi masters ni miezi 10.
 
Sio kila mtu anapitia hizo levels. Binafsi nimeanza std one nikiwa na 5yrs nilipofika la nne nikahamia Kayumba skul nikarushwa la sita, nikafaulu std seven na kuendelea ingawa mpaka sasa sijapata Phd ila nategemea kupata Master degree ya pili. Na nimepata first degree 2009

kwa hiyo unaona umewahi ama umechelewa? sababu bachelor umepata 2009 na hii ni 2012 na bado hujaipata (bali unategemea kuipata) hiyo masters
 
Mkuu Utantambu, unajua sisi tunadhani sio kawaida kwa mifumo yetu ya elimu na wakati mwingine wahadhiri vyuoni huwakwamisha wanafunzi hasa wa PhD pasipo sababu.Wako watu wanasoma PhD ya miaka 3 inageuka kuwa miaka 7, au usimamizi unasuasua au mhadhiri anamwambia nenda rudi na wala hampatii mwongozo wa kutosha....na hii ndo hukatisha tamaa. It is only in Tanzania (and some few African countries) where PhD is known as Permanent Head Damage!

kiongozi suala la usumbufu/urasimu usiokuwa na sababu kwenye vyuo vyetu hilo linajulikana vyema...lakini kwa maoni yangu 25 kupata Ph D ni maajabu, ingawa pia suala hili kuonekana kama maajabu inategemea ni wapi ulipo, mfano Nyani Ngabu anasema kwa USA inatokea
 
Hebu tizama hii. Mwangu yupo formIV ana miaka 13 sasa, by the time anamaliza FVII atakuwa 16, degree ya kwanza 18 na yapili 21. Yeye anapenda kuwa rubani, mimi najaribu kum-orient kuwa flexible in case sitaweza kulipia gharama za mafunzo kwa rubani. Sasa, endapo anaunganisha baada ya first degree kwa nini asimalize na age 25! Suala la kukwamishwa kwenye vyuo vyetu si la kubeza, coz kuna baadhi wanachukua 5-7 years kwa PhD ya miaka 3! Changamoto ninayoiona hapa, ni rahisi kusoma PhD kama unatokea kazini kwa kuwa unaweza kutumia data za kazini kwako na kufanya phd isiyohitaji kuingia darasani! Pia PhD za jinsi hii mara nyingi unakuwa MTUPU kazani kwa kuwa vitu vingi ni theoretical kuliko reality. Matokeo yake employeers wengi hawapendi kuwaajiri watu ambao wamekwenda moja kwa moja tokea degree ya kwanza hadi PhD!
kiongozi suala la usumbufu/urasimu usiokuwa na sababu kwenye vyuo vyetu hilo linajulikana vyema...lakini kwa maoni yangu 25 kupata Ph D ni maajabu, ingawa pia suala hili kuonekana kama maajabu inategemea ni wapi ulipo, mfano Nyani Ngabu anasema kwa USA inatokea
 
Back
Top Bottom