Nigeria: PHD at 25 years of age?

They are not running too fast, we are moving too slow.

Kuna prodigies wengi washaingia chuo kikuu at 14, wana graduate baccalaureate degree by 17, by 20 wana a graduate degree, 25 mtu ana Ph.D.

Kuna dogo mmoja katoka Projects za NYC yuko anafundisha Harvard miaka kadhaa sasa, nafikiri ndio kwanza atakuwa early thirties. Naye ilikuwa style hii hii.
 
katika nchi yoyote ile haya ni maajabu si jambo linalotokea kila mara
 
They are not running too fast, we are moving too slow.

Kuna prodigies wengi washaingia chuo kikuu at 14, wana graduate baccalaureate degree by 17, by 20 wana a graduate degree, 25 mtu ana Ph.D.

Kuna dogo mmoja katoka Projects za NYC yuko anafundisha Harvard miaka kadhaa sasa, nafikiri ndio kwanza atakuwa early thirties. Naye ilikuwa style hii hii.

kweli hili uliolianzisha jipya. ndio nasikia kwako.

Kwa utaratibu wa bongo ni imposible. maana mtu anahitaji 13 years mfululizo kuanzia primary hadi form 6. sasa labda awe ameanza darasa la kwanza na mwaka 1
 
Umeelewa maana ya maneno haya niliyoandika hapo juu?

They are not running too fast, we are moving too slow.
 
PhD. wala si hoja sana. Kuna ma-geniuses na ma-savants ambayo hayana time kabisa na formal education.
 
Kibongobongo: Darasa la kwanza unaanza na miaka 8-10, ukimaliza la saba una miaka 14-16, olevel miaka 4, 'geshi' mwaka 1 unapotea, alevel miaka 2, gap year mwaka 1, undergraduate miaka 3 - 4 (hata 5!), masters miaka 2, PhD miaka 3. Kama ukiunganisha, ina maana unapata PhD ukiwa na miaka 31 hivi!
 
Ah TZ kuna elimu au mashaka tu! Unaota mvi chuoni! Wenzetu mambo fasta fasta no time to waste!
 
Back
Top Bottom