Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,808
- 59,358
Na nani?
Kama unayetaka atukane!Kwenye kesi yako sijui atakua ex wa kike au wa kiume!
Na nani?
Kutaka kuongea nae kunaweza kukamkasirisha zaidi dada wa watu!Binafsi sidhani kama ningeelewa labda kama angekua anaondoa hisia za kwamba wako pamoja..akae mbali nao tu aise...asije akamuumiza zaidi mwenzake!Mi nipo nipo dearet!Vipi wewe?Umemiss vituko humu maana siku hizi kunatisha!
mimi kidogo nina kazi nyingi,nachoka sana ila siku nikipata nafasi kama leo lazima nipite kuwasalimu marafiki na maadui zangu....kuna vituko gani tena JF? kunatisha nini niambie dearest......!!!:smash:
khaaaa! :tape2:mimi kidogo nina kazi nyingi,nachoka sana ila siku nikipata nafasi kama leo lazima nipite kuwasalimu marafiki na maadui zangu....kuna vituko gani tena JF? kunatisha nini niambie dearest......!!!:smash:
ukishakumsalim dada michelle namimi naomba nikusalim halaf tunaomba mchango wako kuhusiana na kesi ya fanta face na ex wake.Mimi naomba tu nikusalimu dada Michelle...nimekumiss kwelikweli! Hope everthing is fine with you!
Pole kwa kazi dearest!Kweli hata maadui wanadeserve salamu!Lolz!Ah huku tena...kila siku watu wanakuja na mapya!mimi kidogo nina kazi nyingi,nachoka sana ila siku nikipata nafasi kama leo lazima nipite kuwasalimu marafiki na maadui zangu....kuna vituko gani tena JF? kunatisha nini niambie dearest......!!!:smash:
Mimi naomba tu nikusalimu dada Michelle...nimekumiss kwelikweli! Hope everthing is fine with you!
Pole kwa kazi dearest!Kweli hata maadui wanadeserve salamu!Lolz!Ah huku tena...kila siku watu wanakuja na mapya!
kama ninao wote wakike na wakiume???!!!Kama unayetaka atukane!Kwenye kesi yako sijui atakua ex wa kike au wa kiume!
ukishakumsalim dada michelle namimi naomba nikusalim halaf tunaomba mchango wako kuhusiana na kesi ya fanta face na ex wake.
Nashukuru dada Keren,wajua navyopenda kuona hilo tabasamu la malaika kwenye hiyo avatar yako.....nimekumiss pia sana tu....everything is fine with me,nashukuru Mungu........i hope you are well tooo.....!!!
Muulize kwani Fanta Face uko peke yako ktk dunia hii?Niliwahi kuwa na BF miaka kama mitano hivi imepita tulipendana sana lakini ikaja swala la dini tukashindwa kuoana yeye alioa dini yake, baada ya kutaka kuoa nilimwambia sina jinsi wazazi hawataki kusikia hiyo habari, nikamruhusu bila kinyongo hata harusi nilihudhuria, tulikuwa na mawasiliano ya kawaida tu bila kufanya chochote maana sipendi kumkosea mwanamke mwenzangu yaani mkewe, sasa limekuja swala kwamba mkewe kajifungua mtoto wa kike yapata miezi kama minne hivi mimi sikujua kumbe yule mwanaume kampa jina langu yule mtoto na mkewe ananifahamu, sasa yaani nimekaa katika mateso makubwa sana ni msg, simu za matusi kutoka kwa mkewe eti iweje mumewe ampe jina langu mtoto wake, niko njia panda mwenzenu, huyo mwanaume nimemuuliza anasema mimi ndio baba mwenye nyumba nimesema mtoto jina lake ni Fanta Face nimemaliza, nisaidieni ushauri wakubwa nifanyeje
Good to hear that my dear sister....I am doing fine thank God!
Leo ilikuwa siku ya Klorokwin...sijui umeiona sredi yake???
Heshima yako Klorokwin....hivi ile sherehe ya kushehekea siku yako imeisha??!! Maana nilikuwa huko nasubiri angalau soda...lakini wapi sijakuona mwenye sherehe...!!!
dah ! kumbe ile sredi bado ipo? mbona haionekani. soda lako nimekuwekea PM huku.Good to hear that my dear sister....I am doing fine thank God!
Leo ilikuwa siku ya Klorokwin...sijui umeiona sredi yake???
siku ya Kloro ya kuzaliwa?mbona sijajua jamani kipenzi changu atanionaje?hiyo thread iko jukwaa gani?:smash:
dah ! kumbe ile sredi bado ipo? mbona haionekani. soda lako nimekuwekea PM huku.
aisee turudini kwenye mada. fantaface ana hasira za kuchakachuliwa jina lake na ex wake asije akaturipoti abyuzi
ile issue nambie kama utashuka all the way u-cross au mimi ni-cross? but naona nitakuwa tight mpaka jioni.
Huyo mwanamke akili ipo kweli?mwambie ajinuse kwanza.KUKU KUKU TU JOGOO JINA.Niliwahi kuwa na BF miaka kama mitano hivi imepita tulipendana sana lakini ikaja swala la dini tukashindwa kuoana yeye alioa dini yake, baada ya kutaka kuoa nilimwambia sina jinsi wazazi hawataki kusikia hiyo habari, nikamruhusu bila kinyongo hata harusi nilihudhuria, tulikuwa na mawasiliano ya kawaida tu bila kufanya chochote maana sipendi kumkosea mwanamke mwenzangu yaani mkewe, sasa limekuja swala kwamba mkewe kajifungua mtoto wa kike yapata miezi kama minne hivi mimi sikujua kumbe yule mwanaume kampa jina langu yule mtoto na mkewe ananifahamu, sasa yaani nimekaa katika mateso makubwa sana ni msg, simu za matusi kutoka kwa mkewe eti iweje mumewe ampe jina langu mtoto wake, niko njia panda mwenzenu, huyo mwanaume nimemuuliza anasema mimi ndio baba mwenye nyumba nimesema mtoto jina lake ni Fanta Face nimemaliza, nisaidieni ushauri wakubwa nifanyeje
dah ! kumbe ile sredi bado ipo? mbona haionekani. soda lako nimekuwekea PM huku.
aisee turudini kwenye mada. fantaface ana hasira za kuchakachuliwa jina lake na ex wake asije akaturipoti abyuzi
Muulize kwani Fanta Face uko peke yako ktk dunia hii?