Nifanyeje

wa simba na yanga au wa zanzibar taarabu na TOT?
mambo? halafu ile kitu hatujaimaliza ujue!

Nakushangaa unaleta tu usharobaro kwenye keyboard.

Hiiyo ni Zanzibar Star na Melody au Mzee Yusuf na bendi yake
 
Samahani kuuliza jamani, hivi dini inaweza kuwa chanzo cha mtu kumwacha uliyempenda? hiyo harusi ulienda kufanya nin kama siyo kiherehere? Kuna viitu ukishaamua kutoka toka kabisa usiwe vuguvugu. na huyo mwanamke ana haki ya kukutukana the way she wants. nakushauri utoke kwenye hilo sakata, usijibu message yoyote ya matusi kwa huyo mama, any message futa, ukipigiwa pokea kaa kimya akate simu mwenyewe. Nakwambia mara 2 unamfanyia hiyvo hatarudia, ukimya unamaanisha.
 
wanaume wengine wanapenda hovyohovyo........
sasa hapo atakuja kumwambia mwanae unajua nilikuwa nina girl friend nilimpenda sana dini ikatuzuia kuoana, nikaamua kukupa jina lake?
hee!!

And for you, hebu mu-ignore bana! au kama vipi mpe na yeye za usom kwani matusi huyajui? NikuPM namba ya DaSophy akupe shule.

Namba ya WADHIRI WA MABINTI, MADENTI NA NANILIUUUU . . .
 
Samahani kuuliza jamani, hivi dini inaweza kuwa chanzo cha mtu kumwacha uliyempenda? hiyo harusi ulienda kufanya nin kama siyo kiherehere? Kuna viitu ukishaamua kutoka toka kabisa usiwe vuguvugu. na huyo mwanamke ana haki ya kukutukana the way she wants. nakushauri utoke kwenye hilo sakata, usijibu message yoyote ya matusi kwa huyo mama, any message futa, ukipigiwa pokea kaa kimya akate simu mwenyewe. Nakwambia mara 2 unamfanyia hiyvo hatarudia, ukimya unamaanisha.

Swali hapa atokeje katika hilo sakata unavyoliita, sidhani kama anajibu sms za kutukanwa sababu ni wazi kuwa atashindwa. Kwenda harusi ya mtu si vibaya kwani mkiachana ni lazima muwe maadui??? Hapo tu ndo huwa tunakosea kuachana sio uadui kiasi cha kushindwa kusaidiana.

Anyway.......................
 
Pole sana na hongera kwa kuumia kuona umuhimu wa kutomkosea mwanamke mwenzio,si wanawake wengi wana roho hii hasa kama walimpenda mtu ila kukawa na vikwazo fulani wakashindwa kuwa pamoja.

Kuhusu huyo mke wa huyo kaka,kwanza muelewe tu,ni haki yake kukasirika na kweli inauma sana na kuleta maswali mengi......kubadili namba,wala kumu ignore kunaweza kusiwe suluhisho na pengine akafikiri vingine na hasira yake ikazidi.....zungumza na huyo dada kwa upole na kwa maneno machache sisitiza huna uhusiano na mumewe tena....usimjibu kwa hasira hata kama amekuudhi sana,baada ya muda atatulia na mwaweza kaa chini mkazungumza......nilishapata adha ya kutukanwa nikizaniwa natoka na mume wa mtu kisa mazoea ya utani utani.....nikakaa chini nikajiweka kwenye nafasi ya yule mwanamke nikamuelewa,nikamtafuta akanitukana wee baadaye nikamuomba mumewe atukutanishe mimi na yeye lunch.....akafanya hivyo,niliongea nae kwa masaa mawili......tangu siku hiyo mimi na yeye tu marafiki sana.....yaani wale wa kusikilizana kwenye mambo magumu sana na kusaidiana na bado tu marafiki na mumewe......

Itachukua muda yeye kukuelewa,ila naamini baada ya muda atakuelewa vizuri tu.....pengine haufahamu ukweli,sisitiza kwa maneno na matendo yako kuwa huna uhusiano na mumewe uliokuwa nao huko nyuma na kwamba una heshimu ndoa yake na Mungu....kama huu ndo ukweli,siku si nyingi utamuona tu kapoa na maisha yanaendelea.....mumewe hakufanya vizuri kwa maoni yangu,yaonekana ni mtu wa mabavu na hili laweza mgharimu sana......

all the best dear.....Mungu akuepushe na mabaya yote manake siku hizi watu wana hasira,akikuhisi tu hashundwi kukufanya baya....mshirikishe pia Mungu,yeye aujua ukweli na ana nguvu ya kutuliza yote haya!
 
Dearest hapo tatizo sio mahusiano bali ni mtoto kupewa jina la Ex!Unamwita mwanao jina hata furaha huna!
 
Dearest hapo tatizo sio mahusiano bali ni mtoto kupewa jina la Ex!Unamwita mwanao jina hata furaha huna!

dearest nimeelewa kuwa hicho ndo chanzo cha yeye kutukanwa,na yeye anachouliza ni afanyeje?kwa kujua kuwa hana uwezo wa kubadilisha jina la huyo mtoto.....na baba mtoto ashasema yeye ndo kichwa cha nyumba,mimi nikaona nimshauri yeye kuhusu shida yake ambayo kama nimemuelewa ni akabiliane vipi na huyo mke wa huyo kaka na mama mtoto anayemtukana?natumai u mzima dearest!
 
najarib kuinvestigate huyo mwanaume alikuwa na lengo gani kumuita mwanawe jina la ex wake lakini calculator inagoma kabisa yaani! nyambaaf! sana huyu baba watoto. amenipandisha hasira kweli. sjui kama nitalala home leo. (ofu topik: michelle umerudi salama loliondo?)
 
mimi nikaona nimshauri yeye kuhusu shida yake ambayo kama nimemuelewa ni akabiliane vipi na huyo mke wa huyo kaka na mama mtoto anayemtukana?natumai u mzima dearest!
Kutaka kuongea nae kunaweza kukamkasirisha zaidi dada wa watu!Binafsi sidhani kama ningeelewa labda kama angekua anaondoa hisia za kwamba wako pamoja..akae mbali nao tu aise...asije akamuumiza zaidi mwenzake!Mi nipo nipo dearet!Vipi wewe?Umemiss vituko humu maana siku hizi kunatisha!
 
najarib kuinvestigate huyo mwanaume alikuwa na lengo gani kumuita mwanawe jina la ex wake lakini calculator inagoma kabisa yaani! nyambaaf! sana huyu baba watoto. amenipandisha hasira kweli. sjui kama nitalala home leo

Hapo sasa!Nafurahi kuona busara za Kloro laivu bila chenga!
 
Hapo sasa!Nafurahi kuona busara za Kloro laivu bila chenga!
niko makini kweli leo, hakikisheni mnafatilia post zangu ili kuzoa mabusara zaidi. ukiangalia kigreat thinka hii njemba inaweza hata ikaja kufanya matusi na mwanawe siku za future. hivi memory ya ex wako inareflect vp kwa mtoto wako?, hasira zimeongezeka. naomba unitulize mzuka lizzy (nambie huwez kuishi bila mimi)
 
Hahahaha!Kloro ukimpa mwanao jina langu ntakupenda mpaka siku nagonga miaka 40!Naahidi!
 
kwani kuna ubawa huyo mtoto akawa wa jina wko? kingne shukuru huyo mchizi anakupenda na hataki kukusahau kbs upo kwa hyo mtoto anaitwa fanta face? its nice name
 
Back
Top Bottom