Wakati mwingne wanachaguliwa baadh ya wagonjwa wanahusishwa kwny research mbalimbali.. Hvyo huenda na huyo unayemzungumzia yupo kwny research either kwa kujijua au kutokujua lkn ukweli uhalisia ni kwamba wakishaanza dawa huwa ni non stop hata kama cd4 zitapanda mpka 1000+ na viral load ishuke lower to almost zerokisebengo nilishaambiwa kuna mdada alikuwa anatumia arv na baada ya muda cd4 zake zikafika 800 continuous for six month akashauriwa kuacha dawa. je kuna ukweli hapomaana nasikia bado anamonitor cd4 lakini amestabilizi. wataalam watujuze
Nasubiri akujibuVipimo vinaonyesha ni HIV+ wewe unahisi hana ngoma how comes?
Sahihi kabisa!Pole sana dawa ni kwenda kwa Yesu na kumpa maisha yako
Nahc umejibu kitaalamu km sio kitaaluma,Ushauri wako uwe kam reference kwakeKwanza kabisa naomba tukubaliane kama vipimo vilisoma postv inamaanisha anamaambukiz ya VVU!
Mtu akishaanza kutumia ARV haruhusiw kuacha kwa namna yoyte ile namaanisha ataendelea kutumia kwa maisha yake yote. Na hiz dawa zmegawanyika kimistari kuna mstari wa kwanza na mstari wa pili ambapo kila mstari unadawa kadhaa ambapo mgonjwa akipata madhari ya dawa moja wapo bas anahamishiwa kwny dawa mbadala ktk mstari huo huo anaotumia..
Kwa kawaida wanaanzishiwa mstari wa kwanza kama ikishindkana ndio anahamishiwa kwny dawa za mstari wa pili na ukishndkana mstari wa pili ndio bas tena..
Sasa hawa wadudu wanapata usugu kwa haraka sana tofaut na wadudu wa magonjwa mengne na ndio maana mtu akishaanza kutumia dawa hatakiw kuacha na kama akiacha atakapoanza tena upya atabadilishiwa kwnda kwny mstari wa pili kitu ambacho kinamuweka kwny hatar ya kumaliza dawa zote na kama akishndwa kurespond vzr kwny mstari wa pili tutakosa dawa ya kumpa.. Naomba umshaur asiache dawa kama amereact vbaya kwny hyo anayotumia aongee na daktari wake atabadilishiwa kulingana na mwongozo uliopo.
Kuhusu dawa za TB.. Hizo waathirika wote hupewa kama kinga kutokana na wao kuwa kwny hatar kubwa ya kupata maaambkiz ya tb hvyo ataztumia hzo kwa miez6 baada ya hapo atakuja kurudia tena baada ya miaka3 kama itahitajika. Kama na hiz zinamletea madhara mrudshe kwny clinic yake atapewa pyridoxine vit B6 kuzuia hayo madhara ya dawa za TB haswa isoniazide
Yes, AIDS is a demon!Kuna H.I.V za kutengeneza kishirikina, hizi ndizo zile watu wanazoponywa makanisani.
Hembu chukua hatua sasa.
Wana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Ataacha kutumia aki RIPVipimo vinaonyesha ni HIV+ wewe unahisi hana ngoma how comes?
Nilitaka kuhoji hili.Vipimo vinaonyesha ni HIV+ wewe unahisi hana ngoma how comes?
Kwamba afe au??Pole sana dawa ni kwenda kwa Yesu na kumpa maisha yako
Mkuu pole sana kwa hayo yaliyo mkuta kaka nione mimi nipate kumuachisha hiyo sumu ya dawa za ARV anazo tumia nita mtibia kw amuda wa miezi 8 n atapona na kurudi hali yake kama ya zamani na hiyo HIV+ itamuondokea kabisa. Ukihitaji matibabu toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Wana JF!!
Samahani sana, naomba msaada wenu, najua mpo wengi wenye uelewa wa mambo.
Sasa naomba kuelimishwa, pia kwa faida ya wengine wenye matatizo kama yangu.
Nipo hapa kwa niaba ya kaka yangu ambaye alipima na kuonekana ana '' HIV" mwaka 2011 mara moja wakamuanzishia matibabu ya ARV. Hakuwa na shida nyingine, zaidi ya kuwa na constipation..hakuwa anakula vizuri baada ya kufilisika duka lake, akawa anafanya kazi ngumu bila kula vizuri zaidi ya chapati tena zilizokobolewa unga. Kutokana na kudhoofika afya nilimpeleka hospitali na alipopima HIV alionekana HIV+ , lakini cha ajabu mke wake ni HIV- ni muda mrefu sasa.
Sasa huyu kaka yangu pamoja na kuwa anakunywa hizo dawa, naona sasa zinamdhuru hasa ngozi yake inakuwa na spots, ambapo juzi tu wakampa madawa ya TB wakati hana hiyo TB, dawa zikamdhuru hadi mdomo unababuka ngozi. Bado anaendelea na kazi yake ya kilimo cha bustani na pia boda boda, physically hayupo vibaya sana.
Kutokana na elimu niliyoipata humu hasa ile thread ya V.V.U na Upimaji wake, nimegundua huyu bro hana ngoma, ila labda ni lishe bora tu na life style mbovu.
Kwa vile ameshakuwa mhanga wa ARV nifanyeje ili nimuachishe dawa hizo bila kumletea madhara, aweze kurudia hali yake ya kawaida. Naogopa nisije kumshawishi aache akaanza kuumwa nikalaumiwa mimi.
Naomba ushauri kama akiacha ARV atumie nini, ambacho kitamfanya awe Normal?
CC: Kaveli, Deception
Ndugu tafuta uzi WA deception usome vizuri kuanzia page ya 1 mpaka ya mwisho. Usiwe mvivu kusoma. Nahis kuna mawasiliano yake kuna watu wali mp utachukua huko. Hakuna Ushauri wowote utakao pewa Hospital tofauti zaidi ya kukusisitiza Aendelee kutumia ARV. Tambuwa kuwa kitakacho muua siyo HIV Yale madhara yatokanayo na ARV. Tafuta vitu vitakavyo weza kuongeza kinga ya mwili Matatizo ya ngozi yataanza kuondoka yenyewe, hakuna kuogopa Ndugu maana wewe ndo mwenye elimu. Ni vizuri kutafuta uzi na mwenyewe asome kujilidhisha, matumaini yanaanzia Kwa mgonjwa mwenyewe.
Mkuu mpatie unga wa mlonge atarudia afya yake upesi na kinga yake itakuwa juusku zote...NI PM kama huwezi kuupataNi uzi upi mkuu, kama ni ule wa kaveli vvu na upimaji wake nimesoma wote