Nifanyeje na yeye ameshaujua udhaifu wangu

Sijui kwanini mwanzoni nilifikiria wewe ni mwanaume.
Pole umeshauriwa tayari, na bahati nzuri ulichokuwa unatafuta ni jinsi ya kumuacha.

Hebu chukulia kiimani (najaribu kukuongezea sababu za kumuacha), kwamba unafanya uasherati, Mungu hapendi, kuteswa ni ishara kuwa uhusiano wenu haujakubaliwa mbele ya Mungu na unapaswa kutubu kwa kufunga, kuomba na kudhamiria kumuacha.

Maandalizi ya kutubu, futa no zake za simu, usiingie FB ambako waweza kutana baada ya kumwambia it is over. Then weka nia, piga goti chini mlilie muumba wako (hata pale sala hazina mpangilio usihofu Malaika atazisort), jiunge na fellowship, sikiliza gospel songs badala ya love songs. With time, utapata amani na nguvu ya kuendelea kumtoa moyoni na who knows, Mr Right anaweza jitokeza!
 
huyo mwanaume ulizaliwa nae au ulimkuta na meno 32 ?

Hakupendi,

hakuthamini...

Hivi nani alikuambia kumuacha mtu ni rahisi? Lakini bado piga moyo konde songa mbele, acha kuwa mtumwa wake...
 
pole sana, si ajabu coz wasukuma ndivyo mlivyo mnajua kupenda, kiukweli asiyekujua hakuthamini coz jamaa hajui kwamba wewe umeshaoza kwake ndiyo maana anaendelea kukutesa, kama vipi JIPANGE KUACHANA NAYE. NAJUA SIYO RAHISI BILA KUPATA MWINGINE WA KUKULIWAZA LAKINI INA KUBIDI, KWANI WANASEMA UKIONA UMETENDWA JUA KUNA ALIYEPENDWA NA UKIONA UMEPENDWA UJUE KUNA MWENZIO KATENDWA.
 
Inawezekana unachosema ni kweli, maana hata ikitokea siku nikaamua kumshtaki kwa watu wake wa karibu ambao yeye huwa anawaheshimu basi matokeo yake nitaambulia kipigo, nateseka mwenzenu na kinachoendelea kuniuma nimejitolea sana katika maisha yake tofauti na nilivyomkuta, maana nilimkuta wanawake aliokuwa anaishi nao walikuwa wamemfilisi na kumfanya aonekane kama kibabu kizee but me nilimbadilisha sana kuanzia ndani kwake mpaka mwilini kwake, alikuwa anafanya kazi nzur na mshahara wake mzur sema hakuwa na mtu wa kumsaidia jinsi gani ya kupangilia mpangilio wa matumiz ya pesa akawa anavaa vizur analala pazuri na wafanyakaz wenzie wakaanza kumsifia na kumwambia kwamba uliompata usimuache na wengine wakathubutu kuniambia hadi mimi mwenyewe kwamba nisimuache ndugu yao na niendelee kumtunza, jaman mpaka naamua kuilete hii mada humu kiukweli naumia na inaniuma sana nimekosa nini mpaka nastahili malipo haya ya aibu na fedhea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
lol!mbona sasa nashindwa nikwambie nini mamiie!manake mi naumia sana mimi mtu mapenzi yanapomtesa na kumuumiza kiasi hiki!
 
Inawezekana unachosema ni kweli, maana hata ikitokea siku nikaamua kumshtaki kwa watu wake wa karibu ambao yeye huwa anawaheshimu basi matokeo yake nitaambulia kipigo, nateseka mwenzenu na kinachoendelea kuniuma nimejitolea sana katika maisha yake tofauti na nilivyomkuta, maana nilimkuta wanawake aliokuwa anaishi nao walikuwa wamemfilisi na kumfanya aonekane kama kibabu kizee but me nilimbadilisha sana kuanzia ndani kwake mpaka mwilini kwake, alikuwa anafanya kazi nzur na mshahara wake mzur sema hakuwa na mtu wa kumsaidia jinsi gani ya kupangilia mpangilio wa matumiz ya pesa akawa anavaa vizur analala pazuri na wafanyakaz wenzie wakaanza kumsifia na kumwambia kwamba uliompata usimuache na wengine wakathubutu kuniambia hadi mimi mwenyewe kwamba nisimuache ndugu yao na niendelee kumtunza, jaman mpaka naamua kuilete hii mada humu kiukweli naumia na inaniuma sana nimekosa nini mpaka nastahili malipo haya ya aibu na fedhea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Pamoja na kwamba umekuwa mvumilivu kwake ulitakiwa pia kujiuliza ni kwa nini wanawake aliowahi kuishi nao wote walishindwa wakaondoka na wewe unadhani utaweza! Ni vigumu sana kwa mtu mzima kuacha hulka yake mfano mtu mgomvi, mchoyo, muongo n.k Maadam umeshajua tabia yake halisi ni juu yako kuamua kama unaweza kuendelea kuvumulia manyanyaso na kipigo na huenda siku moja akakufukuza au kujiweka pembeni mapema kabla makubwa hayajakukuta.
 
Mimi huwa nawashangaa sana wanawake kupenda gani huko ambako hakuangalii future yako?hivi unafikiri mwanaume kama huyo akikuoa maisha yatabadilika?utamlaumu nani?mnahitaji Rehema za Mungu tu ili mjue mnachopaswa kufanya wakati wa kuchagua mchumba au mume,mwingine utakuta kila mara anadundwa mingumi bado anajipa moyo kuwa akiolewa mume atabadilika are crazy?CHUKUA HATUA BADO MAPEMA
 
Sijui kwanini mwanzoni nilifikiria wewe ni mwanaume.
Pole umeshauriwa tayari, na bahati nzuri ulichokuwa unatafuta ni jinsi ya kumuacha.

Hebu chukulia kiimani (najaribu kuongeza sababu za kumuacha), kwamba unafanya uasherati, Mungu hapendi, kuteswa ni ishara kuwa uhusiano wenu haujakubaliwa mbele ya Mungu na unapaswa kutubu kwa kufunga, kuomba na kudhamiria kumuacha.

Maamdalizi ya kutubu, futa no zake za simu, usiingie FB ambako waweza kutana baada ya kumwambia it is over. Then weka nia, piga goti chini mlilie muumba wako (hata pale sala hazina mpangilio usihofu Malaika atazisort), jiunge na fellowship, sikulia gossip songs badala ya love songs. With time, utapata amani na nguvu ya kuendelea kumtoa moyoni na who knows, Mr Right anaweza jitokeza!

Nimependa ushauri wako
 
Inawezekana unachosema ni kweli, maana hata ikitokea siku nikaamua kumshtaki kwa watu wake wa karibu ambao yeye huwa anawaheshimu basi matokeo yake nitaambulia kipigo, nateseka mwenzenu na kinachoendelea kuniuma nimejitolea sana katika maisha yake tofauti na nilivyomkuta, maana nilimkuta wanawake aliokuwa anaishi nao walikuwa wamemfilisi na kumfanya aonekane kama kibabu kizee but me nilimbadilisha sana kuanzia ndani kwake mpaka mwilini kwake, alikuwa anafanya kazi nzur na mshahara wake mzur sema hakuwa na mtu wa kumsaidia jinsi gani ya kupangilia mpangilio wa matumiz ya pesa akawa anavaa vizur analala pazuri na wafanyakaz wenzie wakaanza kumsifia na kumwambia kwamba uliompata usimuache na wengine wakathubutu kuniambia hadi mimi mwenyewe kwamba nisimuache ndugu yao na niendelee kumtunza, jaman mpaka naamua kuilete hii mada humu kiukweli naumia na inaniuma sana nimekosa nini mpaka nastahili malipo haya ya aibu na fedhea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

pole sana Hashpower7113 katika maisha mambo hayo yapo wala usijione umekuwa mkosaji kiasi cha kuona unapata adhabu hiyo usione ni aibu au fedheha bali umekutana na mtu ambaye hastaili kupata kile unachompatia jipe moyo kuwa ipo siku utampa anayestahili msome Kaunga na endelea kumshirikisha muumba wako.......usiwe na mawasiliano naye ya aina yoyote utaumia sana lakini kwa muda mfupi tofauti na maumivu unayoyapata sasa
 
Jamani naomba mnishauri me ninampenz wangu na nampenda sana mpaka mwenyew anajua sasa amekuwa mtu wa kunifanyia visa kibao haswa pale alipogundua nampenda, anakunywa pombe sana na akilewa huwa mkorofi ananitukana matusi ya nguoni kama **** la mama angu, ****** malaya wa kisukuma, maana me kabila langu ni msukuma, kwa ufupi nampenda but matendo yake yamenichosha na kila nikijitahid kumuacha nashindwa wakati mwingine ninaamua hivyo but nikikumbuka mapenzi yake nashindwa na kujikuta naanza mwenyewe kumpigia simu or kumtumia sms kama za kumtania kama vile mimi ndio mwenye makosa wakati inatakiwa yeye ndio aniombe msamaha, na kibaya zaidi hata anaponikosea huwa hawezi kunipigia simu eti mpaka mimi nimuanze na nikimpigia simu hapokei au ananikatia kabisa basi mimi ntaendelea kumbembeleza mpaka atakapoamua kuzungumza na me na kunisamehe nisaidieni jamani nitumie njia gani niweze kumsahau na kuachana nae? Na je huyu ananipenda kweli?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Jamani mambo yote hayo bado unajiuliza. huyo mtu ndivyo alivyo mtu wa matusi, chapombe na pia ni jeuri kwahiyo wewe kama umeamua kuwa nae vumilia yote ila hapo hakuna love kabisa utabaki kuumia tu.
 
ishanitokea,angalia usije kua mume ***** unaendeshwa kama gari bovu,hio tabia ni endelevu...muache mapemaa kabla hakujaingia giza
 
wewe Msukuma gangamala unaona ni halali Mwanamme kukupiga umerithi toka wapi hizo mila?
PIGA CHINI HUYO MLEVI ATAKUUA!!!! KUNA DADA WA KINGONI ALIKUFA HIVIHIVI KUMPENDA MLEVI ANAYEKUJA USIKU NA KUMPOROMOSHEA MATUSI YA UKWELI YALIYOTOKEA LIVE
nina wasiwasi una limjamaa la mashariki mwa Ziwa Victoria
 
Back
Top Bottom