funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
kaka duniani kuna matatizo sana ila maji yakishamwagika hayazoleki mshauri huyo binti cha kufanya kisheria kwa kuwa amezalishwa hayo mengine yakukaa miaka 11 unamsubiri sio issue kabisa ktk dunia ya mapenzi watu wanaacha wake zao walioishi nao na kuzaa watoto kibao tena baada ya kulipwa mafao ya uzeeni sembuse huyo mwenye mtoto mmoja tuNi kweli funza dume. Iwish i manage to do what you advice. The problem is dogo is more than a brother to my aunt.
And you know what, jukumu lilikuwa mikononi mwangu la kufanikisha dogo kuoa huyu binti na mimi sina huruma na dogo kama nilivyosema awali ila kinachoniumiza ni binti wa watu!!!
Na hapa natafuta kitu sahihi cha kufanya ili kumsaidia. You know what, try to be in the shoes of this lady and you will know about it.
Hapa mke wangu mwenyewe kachanganyikiwa anajaribu kuhisi angekuwa yeye ingekuwaje baada ya kupata taarifa hizi hasa akizingatia kawa muaminifu na kumngoja mwenzio kwa kipindi cha zaidi ya kumi na moja (11 years waitning in vain))???
naendelea kukushauri achana nao hao watu utaumiza kichwa bure na hautasaidia kwa chochote kama vp mtunze huyo mtoto wa ndg yako kama unamwonea huruma ila sio unaanza kumtafuta huyo dogo wakati ameshaoa na anaendeleza maisha yake na mkewe. Husiingile sana mambo ya watu utakufa bure siku si zako kwa presha ya kujitakia