professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 352
Toka primary, secondary, advance na hivi sasa chuo kikuu. Sijawi kuwa na mpenzi na hata marafiki wa kike na kutana na tu kwenye academic field only.
Napata changamoto sana mana Kila binti nae mu approach anakataa na Wengine Wanasema wapo kwenye mahusiano Tayari.
Nimejaribu kumuuliza moja ya rafiki yangu wa kike na wakaribu zaidi Kuwa huwa ananiona vipi, kasema Kuwa mm ni mtu wa philosophy, mtu hatari na mwenye maisha ya pekee sana.
Jamani nataman kuwa na mahusiano Lakini ma binti wanakataa kabisa.