Hey Marry, nakupa pole sababu jamaa hana time na ww tena ila anataka amege tunda kwanza then athaminishe na muda uliomsumbua. Mimi binafsi kuna binti nilimpenda sana toka 2006 hivi akanizingua lkn 2011 akaja nitafuta, kwa kuwa nilikuwa nishamtamkia nampenda nilijiachia kwake. Lakini nasikitika kwamba nimemwacha baada ya kula mwaka mzima, so take care.