Nielimisheni Kuhusu Hili.

Hizo zisizokuwa za moto hazina madhara??

Ndugu kaeso, kama upo serious sana kujua tofauti ya BLANKS na RISASI HALISI na upo Dar, PM me nitakufanyia mpango utaziona na ikiwezekana kuzitumia.
Kama u asked in all honest!
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu wanazielekeza juu hazina madhara kwa sababu uzito wa mabaki yake ni karibu sana na zero.

Madhara yapo, ingawa nikidogo. Maana kile ni chuma, kinaporudi chini kinaweza kukupiga jichoni kika kupofua.

Jamanie...blanks hazina mabaki...ganda la risasi linatoka pembeni ya bunduki upande wa kulia hakuna HAKUNA kinachoenda juu.
Blanks hazina kichwa cha risasi. Blanks ni kasha tu lenye baruti ambayo hutoa mlio tu inapolipuka.
Nothing more.
 
Back
Top Bottom