Nichukue hatua gani hapa?

Soo simpo!! mwambie GF wako abadilishe lyn! am so geneuss i do knw y!!
 
Kaka binam yako hawezi kukurupuka "from no where" akaongea topic za ajabu kama hizo, huyo GF wako ndiyo alientertain mazungumzo mpaka jamaa kafika huko, kingine jifunze kuwa na MOYO WA CHUJIO vinginevyo akienda chuo utalia, hakuna sehemu rahisi kuwanasa mabinti kama huku chuo, sijui huwa wanakumbwa na shetani gani, so jifunze kuvumilia, kama GF wako ni kisu(mzuri) tegemea mitihani mingi zaidi, leo kaanzia audio kesho itakuletea video kabisa.. Halafu kuhusu binam unatakiwa ujue kuwa mtoto siyo pete ya ndoa so huyo nduguyo yupo huru kufanya lolote... Mwisho kabisa USIMWAMINI MWANAMKE hata siku1.
 
Mwambie gf wako ajifunze kukabiliana na mitongozo. Huko chuo anapoenda atakuwa anakushtakia kila anapotongozwa?

Kweli kutongozwa ukakimbikia kushtaki ni ulimbukeni tu, kwani ukikataa bila kuleta uchonganishi kuna ubaya gani- ningemuelewa kama jamaa alitaka kumbaka, lakini kubembelezwa tu!!!! aaaarrrhhhhh!!!!
 
Pole mdogo wangu,ila kwa mimi nisingeona kuwa la kwanza,tatu na la nne si uamuzi mzuli cha msingi ni kumcha wewe mwenyewe ili kuweka eshima yako kama mwanamme kwa gf wako na jamii nzima akiwemo binam na shangazi yako,ila akiludia ni wazi kabisa uwaambie wote.UWA YANATOKEA
 
mkuu sio kwamba GF wangu hatongozwi lakini elewa kwamba kitendo cha kutongozwa na ndugu yangu kimemkera sana mpaka akaamua kuniambia

Namsikitikia Manyanza mpaka huyo binti anamaliza chuo anaweza kupata ugonjwa wa moyo,vitu vingine amalize mwenyewe bana-huo muda wa kurekodi mpaka maongezi duh!
 
Kudos! mkuu

Kaka binam yako hawezi kukurupuka "from no where" akaongea topic za ajabu kama hizo, huyo GF wako ndiyo alientertain mazungumzo mpaka jamaa kafika huko, kingine jifunze kuwa na MOYO WA CHUJIO vinginevyo akienda chuo utalia, hakuna sehemu rahisi kuwanasa mabinti kama huku chuo, sijui huwa wanakumbwa na shetani gani, so jifunze kuvumilia, kama GF wako ni kisu(mzuri) tegemea mitihani mingi zaidi, leo kaanzia audio kesho itakuletea video kabisa.. Halafu kuhusu binam unatakiwa ujue kuwa mtoto siyo pete ya ndoa so huyo nduguyo yupo huru kufanya lolote... Mwisho kabisa USIMWAMINI MWANAMKE hata siku1.
 
Mkuu kwanza pole sana ila kitu ambacho ningependa kusema ni vizuri watu tukawa na limits nafikiri GF asiwe na mazoea sana na cousin wako kwasababu mazoea yamezidi mipaka to the extent kwamba sasa hali imekuwa tofauti na since cousin wako ameona kuna kama kaupenyo fulani ka maongezi na GF wako ndio anaona atumie kama weakness yake ili ampate.

Thou ningependa um-face cousin wako na umwambie whatever his doing is not right lakini still sioni umuhimu kwa kuwa tayari umeishajua jinsi alivyo basi ni vizuri ukakaa naye kwa akili ya ziada kuna vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wako you can deal with them hata your GF can deal with them, kama ndio tabia ya cousin wako sidhani kama ataacha if someone his a player ataendelea tu no matter you tell him the truth or not kitu cha msingi hapa ni kwa huyu GF wako kuwa ni vitu vifuatavyo towards you; FAITHFUL, TRUST and RESPECT and the same applies kwako.
 
Pole sana kaka, mchane live cousin yako, mwambie kwamba hujapenda alivyofanya. Sioni haja ya kum involve sijui mkewe au mama yake, mface yeye kama yeye. Pia mimi sijui ni kwa sababu gani unatoa number ya gfriend yako kwa mtu mwingine bila sababu? she is urs na sio wa familia so learn to keep your life private bana! wengi wamenyan'ganywa wapenzi kwa style hiyo, grow up bana!
 
Ndugu ni ndugu huwezi gombana nae. Lakini kumbuka kuwa hata mwanamke ukishamuoa anakuwa na thamani kama ndugu au zaidi ya ndugu.

Ushauri wangu ni kuwa wala usimface huyo ndugu yako ila cha msingi kuwa nae makini saaana. Nasema hivyo kwa kuwa huyu mdada amemtolea nje na yawezekana mdada asiwe girlfriend wako wa mwisho; ila kukupa taharifa imekusaidia kujua what your cousin is capable of. Kuna ma player wana ethics na wanajua limits. Kuna wasio na limits. Jamaa atakuwa na katabia ka kuwinda wasichana wa wenzie ndio hao wanaozaa na wake za ndugu zao.

Keep a big distance from your so called cousin other wise akikwaa maugonjwa yake mnaondoka familia nzima. Who knows kama atakuwa anatolewa nje na wasichana wako wote? Who knows kama hajawahi kukumegea wasichana wako walopita??? Shukuru kwa taharifa kwani imekupa tahadhari no matter whether alichofanya mdada ni right au ange keep it as secret. Kwangu mimi si kila kitu ni worth to be called siri. Ikifichuka usingeamini kuwa alimtolea nje jamaa.

Ni kweli maana mbwa ukimjua jina hakupi tabu. Tafakari!
 
pole sana, kwa ujana haya ni ya kawaida! akimaliza chuo wakat anatafuta kaz Boss wake atamwambia wakutane hotelin!! du hapo si ndo utazimia?cha muhimu ww mwambie gf wako awe strong kukabiliana na mitego! du lakin ipo mingi kweli mingine hata haijulikan ila mtu anaujua akinasa.Mi nafikir huyo ndugu yako mlie batu tu!!
 
huyo g/f wako mnafiki sana ... je kila anapotongozwa hukwambia ?????? haa sababu ya kusema kwako kumbuka yule ni ndugu yako na unatakiwa ukae kimya huna hata sababu ya kumweleza mtu ila unatakiwa uelewe nduguyo ni wa aina gani
 
huyo GF wako kukuletea taarifa za kutongozwa utagombana na wangapi......... kikubwa ajitahidi kukabiliana nazo...........ongea na GF awe mbali na binamu yako couse ameshajua tabia yake apunguze ule ukaribu utakaosababisha kutamaniana
 
Mh Manyanza pole sana. Hivi ni vitu ambavyo mimi huwa ninasema vya kutulia kwanza kabla ya kufanya lolote. Hebu jiulize siku ikitokea huyo huyo galfriend wako akakusaliti kwa mwingine, afu we umeshamtapikia huyo ndugu yako huyo vipepeo!! utauweka wapi uso wako?? Naungana na nyumba kubwa kuwa mpotezee but kaa nae chonjo!
 
Mh Manyanza pole sana. Hivi ni vitu ambavyo mimi huwa ninasema vya kutulia kwanza kabla ya kufanya lolote. Hebu jiulize siku ikitokea huyo huyo galfriend wako akakusaliti kwa mwingine, afu we umeshamtapikia huyo ndugu yako huyo vipepeo!! utauweka wapi uso wako?? Naungana na nyumba kubwa kuwa mpotezee but kaa nae chonjo!
<br />
<br />
kaka ulichongea upo sahihi kabisa jamaa asiwe mwepesi wa kufanya mamuzi maana hawa akina dada si wakuwekea gurantee
 
Nilichokuwa nimepanga:-
  1. Nimemwambia shangazi ambaye ni mama yake au dada yake
  2. Nimchane live
  3. Nimwambie mke wake ambae amezaa nae na ikiwezekana nimpelekee na ile Sound clip asikilize
  4. Au niwambie washikaji zake ili wampe live.
Lakini kabla sijachukua haya maamuzi nikakumbuka kuna wadau wa MMU naomba ushuri wenu wadugu kabla sijaamua kuchukua hayo maamuzi n iliyotaja hapo juu, ingawa najua yatasababisha mahusiano yetu kuwa mabaya...
Please advice wakuu:
Note: my cousin- 27 years. Me 24(kesho) and my GF is 21

mkuu nakuonea huruma sana..anyway woote bado ni madogo tu..

sio wewe wala cousini wako wala huyo demu wako..hapo nachokiona ni kuwa demu wako akienda chuo ndio keshakumwaga naanza kukuchapia..yap..mie si pesa ipo na sie si ndio wanatupenda vibabu na tushaoa hatuwasumbui kiviille....

huyo cousin wako ni kicheche mtoto ila akikua ataacha...wewe naona unahitaji ku-concentrate na shule unayosoma ili uandae maisha yako ya baadae.
naomba nitoe comments kwenye maamuzi yako...kwanza kbisa hakuna jibu sahihi kati ya hayo ma-4 unayofikiria..

1- kumwambia shangazi ni upuuzi "thats not ganster babyyy"...hii issue ni ya kihuni na inatakiwa kuwa handled kihuni.
2- kumchana live "at least u r tokin now ila hii ni approach ya kike sana..sounds like una-beg for his mercy akuachie demu wako
3- nimwambie mke wake...sounds a lil smart ila kama una-declare kushindwa vita n u take it to the family level..be a man enough to handle mens things
4- au niwaambie washkaji zake wampe live..another bullshit..be a man kid

MY TAKE
mie ningekuwa wewe ningemtongoza mkewe na ningehakikisha nachapa na anajua kuwa nimechapa..sasa atapokuja kuniuliza mbona namto..m#$bea mkewe ningemwambia alete ushahidi wa siku na tarehe niliyofanya hivyo..akiweza kuleta na mie napeleka wa yeye kumtongoza demu wangu...pia ni vizuri kama atapeleka malalamiko kwa wazazi na watu wazima..AKUANZAE MMALIZE...THATS SOUND GANGSTER KID..AIIIGHT?

Bwana mdogo asikuambie mtu....mshkaji mpaka kaamua kuoa anampenda mkeweeee..mchapia umtie hasira...lazma avunje ndoa..na wewe kihuni zaidi unamwaga huyo demu maana anaweza kutia hasira akulipize kisasi....na akizidi kukuzingua nione nikupe kitu cha babu chaitwa "mvuaza" ukikitavuna ukamtongoza cousin wako huku ukikitafuna lazma ugonge mzigo..hachomoiiii.
 
Usione haya sema na wote wawili,kwanza huyo nduguyako mpe live then kuwa mbali naye! Pili mwambie huyo gf wako kuwa hali hiyo ni ya kawaida kwa mwanamke na atapata kila aina ya mwanaume awe kijana, baba au babu, watamfuata kumrubuni! kikubwa na cha msingi ni ninyi wawili kusimama thabiti kwa hayo mnayoyasimamia ktk uhusiano wenu!
 
Muulize jamaa kwa nini anafanya hivo hali yeye ni ndugu wako wa damu, then mkiongea na kuyamaliza usiyabebe tena yaishie hapohapo, na huyo msichana asikuache sasa maana utaumbuka
 
Kitu ambacho nilishaapa ni kutosema nimetongozwa na nani na lini UNLESS huyo mtongozaji awe msumbufu. Na hapo wala sitamshtaki mie bali atajishtaki mwenyewe baada ya mie kumpa stahili yake.
 
Back
Top Bottom