Nianzishe story gani.

Sikia Ndugu yangu,
Kama unataka ya kutunga iakayovutia watu, andika hata "Umerudi CCM", mi nakihakikishia post zitafika hata 500,
Kama unabisha jaribu!!!
 
Najitahidi kutafuta hata story ya kutunga tu ili nianzishie thread 'Cheat-Chat' lakini zote zinakataa. Huwa sina raha kabisa nikimaliza siku mbili bila kupost kitu.

Hahahahahaha lol! Pole sana

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom