Niambie technology gani?

Nyamuleha jr

Senior Member
Feb 20, 2013
185
65
nambie technologia gani umeshindwa kuielewa kwa ufahamu wako wa binaadamu wa kawaida au inakushangazaa
kwa mfano mimi zamani nilikuwa nashangaa kanda ile na uzi wake unazunguka alafu muziki unaimba ndani yake, pia simu ya kuchaji wireless duu niambie na wewe?
 
kuna hii kitu ya chuma ulete na kutumia msukule kama robot
 
KUINGIZA VOCHA BILA KUKWANGUA.

Kuzima taa kwa teke.

Kukaanga samaki kwa maji.

Kuziba pancha za treni.

Uume na uke kung'ang'aniana kama umeiba mke wa mtu.

Ni hayo tu,ahasanteni.
 
Mchawi kuingia ndani wakati milango na madirisha yote imefungwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kodi ya simcard kwa kila mtanzania anae miliki na kutumia line na kumtonza hadi yule bibi yangu ambaye anajitahidi ile mbaya kuipata hiyo buku kwa siku huko kijijini
 
Back
Top Bottom