Nia Yangu ya Kumfungulia Mashtaka Pius Msekwa hapa Nebraska

Msekwa is the ignominious face of official grand graft within the ruling clergy...............hiki kiburi chake ni dhahiri kinatokana na kulewa madaraka na kutudharau raia........ninakumbuka huko nyuma wakati Malecela akiwa waziri wa ujenzi alipoulizwa kuhusu kero za usafiri wa TRC alidiriki kusema..........."they can go to hell"................na Cleopa Msuya aliwahi kutubeza kwa kusema kila mmoja wetu abebe msalaba wake wakati wa kwake sote tumeubeba kwa kumpa madaraka kemukemu...................naye Pesambili Mramba aliwahi kusema..........................."kuliko Raisi akose ndege yake ni bora watanzania wale majani..........."
 
Sasa mtu kabla ya uhuru mpaka leo ni kiongozi hata mimi ningekuwa na kibri bse hajawai khaa upande wa pili wa shilingi!
 
And what might be the difference? Mind explaining?

That said, it would be interesting to learn exactly how your pending defamation lawsuit squares up to the following established standards in the US legal system:

Defamation and the First Amendment

Basic requirements of a defamation case
A defamation plaintiff must usually establish the following elements to recover:
· Identification: The plaintiff must show that the publication was "of and concerning" himself or herself.​
· Publication: The plaintiff must show that the defamatory statements were disseminated to a third party.​
· Defamatory meaning: The plaintiff must establish that the statements in question were defamatory. For example, the language must do more than simply annoy a person or hurt a person's feelings.​
· Falsity: The statements must be false; truth is a defense to a defamation claim. Generally, the plaintiff bears the burden of proof of establishing falsity.​
· Statements of fact: The statements in question must be objectively verifiable as false statements of fact. In other words, the statements must be provable as false.​
· Damages: The false and defamatory statements must cause actual injury or special damages.​
Mie Mkweche mmeniacha na Vingeleza vyenu!Au mwataka tujue mupo kwa O-bama!Pamoja na yote Bwana Kichuguu Msamehe Bure Mzee Msekwa!Sijajua kama ndio njia ya Kirudisha Taswira ya Chama ktk Jamii au Ulimi kuteleza!Kama Mchwa na Nguchiro wamewezaishi pamoja kwa wewe Kichuguu,Iweje sisi Binadamu tusiishi Pamoja juu ya Udongo!
Ni mawazo ya Mkweche na majira haya Ulanzi wa Shida!
 
Uwe na Mungu maana wazee hawa wanatumia nguvu za giza utakuta kesi yako inatupiliwa pembeni bila kuamini kama ndoto au kweli.

Ulitangaza humu mapema kwa nini? Kesi yako ilishaanza?
 
Msekwa is the ignominious face of official grand graft within the ruling clergy...............hiki kiburi chake ni dhahiri kinatokana na kulewa madaraka na kutudharau raia........ninakumbuka huko nyuma wakati Malecela akiwa waziri wa ujenzi alipoulizwa kuhusu kero za usafiri wa TRC alidiriki kusema..........."they can go to hell"................na Cleopa Msuya aliwahi kutubeza kwa kusema kila mmoja wetu abebe msalaba wake wakati wa kwake sote tumeubeba kwa kumpa madaraka kemukemu...................naye Pesambili Mramba aliwahi kusema..........................."kuliko Raisi akose ndege yake ni bora watanzania wale majani..........."

......JK, naye akaongeza " serikali yangu haina uwezo wa kuleta mvua na kujaza mabwawa maji ili kuondoa tatizo la umeme"
 
Msekwa is the ignominious face of official grand graft within the ruling clergy...............hiki kiburi chake ni dhahiri kinatokana na kulewa madaraka na kutudharau raia........ninakumbuka huko nyuma wakati Malecela akiwa waziri wa ujenzi alipoulizwa kuhusu kero za usafiri wa TRC alidiriki kusema..........."they can go to hell"................na Cleopa Msuya aliwahi kutubeza kwa kusema kila mmoja wetu abebe msalaba wake wakati wa kwake sote tumeubeba kwa kumpa madaraka kemukemu...................naye Pesambili Mramba aliwahi kusema..........................."kuliko Raisi akose ndege yake ni bora watanzania wale majani..........."
<br />
<br />
hapo ni masilingi sio mramba aliyesema watanzania bora wale majani. i watched it live ilikuwa itv kama sio tvt enzi hizo.
 
Wewe ni mtanzania unayeishi marekani au ni raia wa Marekani mwenye asili yaTanzania.Hili nimeuliza kwa kutaka kujua.Pili kama wewe ni Mtanzania kwa nini usimfungulie kesi kwenye courts za Tanzania?Frankly uwezekano wa kumfungulia Mtanzania kesi kwenye court ya Kimarekani kwa kosa alilofanya Tanzania na kesi hiyo ikaendeshwa huko Marekani na ikafanikiwa ni mdogo sana.There are just too many logistical problems which makes your wish impossible.Huyo mwanasheria anataka tu kutafuna pesa yako!
Mimi kama mmoja wa wanachama waandamizi wa Jamii Forums ambapo nimekuwa mwanchama kwa karibu miaka mitano sasa tangu ikiwa Jambo Forums kabla ya kubadili jina na kuwa Jamiiforums nimekerwa sana na matamshi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa forums hii ni ya vijana wa CHADEMA. Naona kuwa amenivunjia sana heshima yangu mbele ya wenzangu kwa kunipa image ya kuwa mimi ni mpiga propaganda wa CHADEMA.

Baada ya kutafakari kwa kina matamshi ya Pius Msekwa na jinsi yalivyoathiri image yangu kama mwanachama wa JamiiForums, nimeamua kumfungulia mashtaka ya defamation kwenye mahakama ya Douglas County hapa Omaha Nebraska nchini Marekani. Nimejadiliana na mwanasheria wangu ambaye amenipatia kifungu cha sheria kinachoniruhusu kumshitaki raia wa nchi ya nje kwenye mahakama hii, iwapo marekani ina uhusiano wa kibalozi na nchi ya mshitakiwa. Sasa hivi tuko katika hatua za mwisho mwisho za kukusanya ushahidi imara.

Nimeshapata nakala za magazeti ya kiswahili na kiingereza ila nimekuwa natafuta video clip yenye kumwonyesha Msekwa akiwa anasema maneno hayo. Vile vile bado tunashauriana kiwango cha malipo ya Punitive Damages na Compensatory Damages; mwanasheria anashauri kuwa viwango hivyo vipimiwe zaidi kwa kuangalia jinsi gani Msekwa binafsi na chama chake walivyofaidika au watakavyofaidika kutokana na matamshi yake hayo, na kwa kiasi kidogo jinsi gani yalivyoathiri image yangu binafsi kama mwanachama mwanadamizi ambaye hujitambulisha kwa wenzagu wote kuwa mimi ni Premium Member wa JamiiForums.

Tukikamailisha taratibu zote, nitawaarifuni au mtasikia kwenye vyombo vya habari Msekwa akiwa subpoenaed kwenye kesi hii ambayo pamoja na mambo mengine ninataka kuwadhibiti wanasiasa wasiwe wanaropoka mambo bila kuwa na uhakika nayo.
 
Kaka nadhani watambua vyema fitiza zifanyazo na chama chake pamoja na serikali ya chama chake. Nadhani angalia wasije kukutibulia mambo yako huko, isije ikawa ya ze utamu! Hili jukumu ni vyema km ingefanywa na sisi huku tz. Kifupi ni wazo zuri, na imeonyesha ni kwa kiasi gani umekereka, realy ur thinker and patriot. Tupo pamoja!

Wewe kama ni muoga acha watu majasiri na makini wafanye mambo siyo kuleta sera zao za kuogopaogopa hapa
 
Ok ngoja tuone! Mambo hayo!

Back
Top Bottom