Nia Yangu ya Kumfungulia Mashtaka Pius Msekwa hapa Nebraska

The difference between defaming a member supported entity such as CCM or JF and defaming its individual members such as Kichuguu or Msekwa for that matter.

And what might be the difference? Mind explaining?

That said, it would be interesting to learn exactly how your pending defamation lawsuit squares up to the following established standards in the US legal system:

Defamation and the First Amendment

Basic requirements of a defamation case
A defamation plaintiff must usually establish the following elements to recover:
· Identification: The plaintiff must show that the publication was "of and concerning" himself or herself.​
· Publication: The plaintiff must show that the defamatory statements were disseminated to a third party.​
· Defamatory meaning: The plaintiff must establish that the statements in question were defamatory. For example, the language must do more than simply annoy a person or hurt a person's feelings.​
· Falsity: The statements must be false; truth is a defense to a defamation claim. Generally, the plaintiff bears the burden of proof of establishing falsity.​
· Statements of fact: The statements in question must be objectively verifiable as false statements of fact. In other words, the statements must be provable as false.​
· Damages: The false and defamatory statements must cause actual injury or special damages.​
 
And what might be the difference? Mind explaining?

However, on the other hand, it would be interesting to learn exactly how your pending defamation lawsuit squares up to the following established standards in the US legal system:

Defamation and the First Amendment

Basic requirements of a defamation case
A defamation plaintiff must usually establish the following elements to recover:
· Identification: The plaintiff must show that the publication was "of and concerning" himself or herself.​
· Publication: The plaintiff must show that the defamatory statements were disseminated to a third party.​
· Defamatory meaning: The plaintiff must establish that the statements in question were defamatory. For example, the language must do more than simply annoy a person or hurt a person's feelings.​
· Falsity: The statements must be false; truth is a defense to a defamation claim. Generally, the plaintiff bears the burden of proof of establishing falsity.​
· Statements of fact: The statements in question must be objectively verifiable as false statements of fact. In other words, the statements must be provable as false.​
· Damages: The false and defamatory statements must cause actual injury or special damages.​

Lawyer anayashughulikia yote hayo, na tayari tuna ushahidi wa kutosha ila bado tunataka kwenda mbele zaidi kuongeza strength ya kesi.
 
I'm inclined to OnemanOneArmyman's idea. For me, it would be meaningful if the case could be raised by Jamii Forums' Administration rather than just a single member. Msekwa's statement was targetted to Jamii Forums as an entity and not an individual like Kichuguu. But all in all, I salute Kichuguu for his courage. This is a lesson to the JF Administration that sometimes they should think of taking legal steps against people like Pius Msekwa.

By the way, is Pius Msekwa aware that his boss and many many ccm leaders are JF members?
 
Kama kweli "tayari [unao] wa ushahidi kutosha", sioni kwa nini ushindwe kujibu maswali ya msingi niliyouliza.

Those were very elementary questions (e.g., who will be suing whom) that you should be able to provide answers to here and today; if only in order to convince us that all your claims are real and serious, and without you necessarily having to compromise the merits of your pending lawsuit.
 
I am a senior JF member and I didn't find anything particularly offensive with what Msekwa allegedly said. But since some folks seem to be lawsuit-happy with anything and everything CCM, I am contemplating counter-suing anybody and everybody who will sue Msekwa.
 
Siyo rahisi kwangu kupitia kila swali lilioandikwa hapa na kulipa jibu lake; ila baadhi ya maswali yamenisaidia ku-reshape kesi yangu. Vile vile singependa kuweka habari zaidi ya niliyokwisha weka hapa kwa sababu za kimsingi za kutotaka "kumwaga mpunga kwenye kuku wengi."
 
I am a senior JF member and I didn't find anything particularly offensive with what Msekwa allegedly said. But since some folks seem to be lawsuit-happy with anything and everything CCM, I am contemplating counter-suing anybody and everybody who will sue Msekwa.

(1) It depends on many parameters; some can be offended and others may not be offended.

(2) Counter-suing along the same case is fully welcome.
 
I'm inclined to OnemanOneArmyman's idea. For me, it would be meaningful if the case could be raised by Jamii Forums' Administration rather than just a single member. Msekwa's statement was targetted to Jamii Forums as an entity and not an individual like Kichuguu. But all in all, I salute Kichuguu for his courage. This is a lesson to the JF Administration that sometimes they should think of taking legal steps against people like Pius Msekwa.

By the way, is Pius Msekwa aware that his boss and many many ccm leaders are JF members?

Tatizo kubwa lililokuwapo mbele yangu ni la jurisdiction; yaani kama kweli mahakama za Nebraska zinaweza kusikiliza kesi ya namna hii kwa kosa lilifanywa na mtu ambaye siyo mkazi wa Nebraska na kosa lilifanywa akiwa nje ya Nebraska. Ila mimi kama member kushitaki mtu anayetukana society ambayo mimi ni mwanachama wake ni ruksa kabisa na sheria zinaruhusu.
 
Siyo rahisi kwangu kupitia kila swali lilioandikwa hapa na kulipa jibu lake; ila baadhi ya maswali yamenisaidia ku-reshape kesi yangu. Vile vile singependa kuweka habari zaidi ya niliyokwisha weka hapa kwa sabau za kimsingi za kutotaka kumwaga mpunga kwenye kuku wengi.

Sawa bro. Ila ukweli ni kwamba hayo unayodai kuwa ni "habari zaidi ya [ulizokwisha] weka hapa" tokea pale awali yameonekana kuwa na mapungufu makubwa na upotofu sana kiasi kwamba watu tumeishia kuuliza maswali mengi kwa nia njema tu ya kujaribu kuelewa nia haswa na undani wa madai yako. Lakini kwa bahati nzuri au mbaya, imedhihirisha kwamba madai yako kama ulivyoweka wazi pale awali, hayana msingi, na umeishia tu kukwepa maswali na kutoa majibu ya mkato.
 
Kichuguu,I support ur iniatiative to sue the old man,i have no problem with u doing that!!

What bothers me ni jinsi unavyoi-adress Chadema kama entity ya kuionea Aibu,U feel embarrassed kuhusishwa na Chadema!

Katika Post yako kuu Umeonyesha hivyo,na wakati unamjibu someone called OneManArmy kwamba JamiiForum siyo Kijiwe Cha Chadema Makao Makuu Kinondoni!!
Haya ni Matusi ya RejaReja kwa Chadema umeyaweka smartly kiasi kwamba mtu asipojibidiisha kufikiri anaweza hasione!
Iwe umeandika kwa hila au bahati mbaya bado ni TUSI!
Binafsi kama Mwanachama wa Chadema najisikia-Offended na kwa sehemu umeniharibia Pasaka yangu!!!
Hesabu maneno yako kabla haujaandika,thats how great thinkers are expected to behave,Vigillance!!!!
 
Asante sana kwa support yako.

Singependa kujibu kwa kina hayo niliyowekea rangi ila ningependa ufahamu kuwa msimamo wangu huo ni katika kuweka merits katika kesi hii. Somo kubwa la kesi hii halitakuwa lile kuhusisha JF na CHADEMA bali kuzuia uropoakaji wa kisiasa, na somo hilo litahusu wanasiasa wote bila kujali vyama vyao.
 
What bothers me ni jinsi unavyoi-adress Chadema kama entity ya kuionea Aibu,U feel embarrassed kuhusishwa na Chadema!

Katika Post yako kuu Umeonyesha hivyo,na wakati unamjibu someone called OneManArmy kwamba JamiiForum siyo Kijiwe Cha Chadema Makao Makuu Kinondoni!!
Haya ni Matusi ya RejaReja kwa Chadema umeyaweka smartly kiasi kwamba mtu asipojibidiisha kufikiri anaweza hasione!
Iwe umeandika kwa hila au bahati mbaya bado ni TUSI!!!!!

Na mimi siwaelewi kabisa, yaani kuitwa chadema liwe tusi?
 
Mimi kama mmoja wa wanachama waandamizi wa Jamii Forums ambapo nimekuwa mwanchama kwa karibu miaka mitano sasa tangu ikiwa Jambo Forums kabla ya kubadili jina na kuwa Jamiiforums nimekerwa sana na matamshi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa forums hii ni ya vijana wa CHADEMA. Naona kuwa amenivunjia sana heshima yangu mbele ya wenzangu kwa kunipa image ya kuwa mimi ni mpiga propaganda wa CHADEMA.

Baada ya kutafakari kwa kina matamshi ya Pius Msekwa na jinsi yalivyoathiri image yangu kama mwanachama wa JamiiForums, nimeamua kumfungulia mashtaka ya defamation kwenye mahakama ya Douglas County hapa Omaha Nebraska nchini Marekani. Nimejadiliana na mwanasheria wangu ambaye amenipatia kifungu cha sheria kinachoniruhusu kumshitaki raia wa nchi ya nje kwenye mahakama hii, iwapo marekani ina uhusiano wa kibalozi na nchi ya mshitakiwa. Sasa hivi tuko katika hatua za mwisho mwisho za kukusanya ushahidi imara.

Nimeshapata nakala za magazeti ya kiswahili na kiingereza ila nimekuwa natafuta video clip yenye kumwonyesha Msekwa akiwa anasema maneno hayo. Vile vile bado tunashauriana kiwango cha malipo ya Punitive Damages na Compensatory Damages; mwanasheria anashauri kuwa viwango hivyo vipimiwe zaidi kwa kuangalia jinsi gani Msekwa binafsi na chama chake walivyofaidika au watakavyofaidika kutokana na matamshi yake hayo, na kwa kiasi kidogo jinsi gani yalivyoathiri image yangu binafsi kama mwanachama mwanadamizi ambaye hujitambulisha kwa wenzagu wote kuwa mimi ni Premium Member wa JamiiForums.

Tukikamailisha taratibu zote, nitawaarifuni au mtasikia kwenye vyombo vya habari Msekwa akiwa subpoenaed kwenye kesi hii ambayo pamoja na mambo mengine ninataka kuwadhibiti wanasiasa wasiwe wanaropoka mambo bila kuwa na uhakika nayo.

Kichuguu ulikuwa unapasha moto jukwaa ama vipi? Kesi imefikia wapi?
 
Brother maendeleo ya kesi vipi?
 
Ww si mzima lazima kuna watu wanakufanyia mchezo mbaya ! na nina wasiwasi na huyo mwanasheria wako kama kweli ni mweledi , utawezaje kumfungulia mtu mashitaka ili hali ww mwenyewe humu unatumia jina bandia? nadhani jitayarishe kushindwa hiyo kesi kabla hata hujaanza
 
Back
Top Bottom