Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

Jamani wagogo, hivi mmepungukiwa na hekima kiasi cha kutuletea wagonjwa wa akili bungeni? Pamoja na kuwapa heshima ya mji wenu kuwa makao makuu ya nchi bado, hamjapata hekima? Sasa mna chuo kikuu kikubwa sana hapo Dodoma, jikomboeni kutoka katika utumwa wa kiakili. Someni mpate maarifa na si kuwa watu wa kusimama barabarani na makopo. Lusinde ni reflection ya busara zenu? Tafakari ewe mgogo.

This insane Lusinde should be judged individually.He is not a representative of a tribe as you claim.Was this crazy voted by all wagogo?What if any individual mistake will be viewed with the "eyes of tribe" as you do?So please and please mr/madam lets talk about Lusinde.His tribe has nothing to do with the case at hand.
 
Mh. Lusinde kwa kweli hajajidhalilisha yeye mwenyewe tu. Amekidhalilisha chama cha mapinduzi, amemdhalilisha mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mh. Dk Jakaya M. Kikwete, ama kwa hakika mtu huyu hafai kabisa. Jamani naunga mkono hoja sheria ichukue mkondo wake, ama la! hata chama cha mapinduzi chini ya mwenyekiti wamchukulie hatua huyu jamaa ambaye amejipambanua kuwa yeye ni kichaa wa kuzaliwa, wananchi wa jimbo la Mtera wanaongozwa na kichaa kweli, hii si haki hata kwa mwenyezi Mungu.
 
Wadau naomba tuziweke pembeni siasa katika kujadili mada hii, tuweke michango yetu kwa nia ya kulitimiza hili....maneno aliyoongea Mbunge Lusinde yametugusa sana sisi wanaharakati wa haki za watoto, ukizingatia kwamba kulikua na watoto wadogo pale ambao waliyasikia..technically, he did abuse those children..kwa hilo basi, tuna nia ya kulifikisha shauri hili katika vyombo vya sheria ili wanasiasa au watu wenye tabia ya kuongea offensive and abusive words mbele ya watoto wafahamu kwamba watawajibika kwa matamshi yao kisheria!

1. tunaomba weledi wa sheria za kitaifa na za kimataifa; hasa katika Child Rights' watoe mwongozo katika hili...

2. tunaomba wakazi wa Arumeru, waandishi wa habari, au yeyote aliyehudhuria mkutano ule awe tayari kutoa ushahidi, ikibidi mahakamani...

3. tutashirikishana katika kila hatua itakayoendelea katika hili..

3. ikibidi tuwe tayari kwa michango ya hali na mali ili kufanikisha jamobo hili....

Mwisho; tukumbuke kwamba mtoto wa mwenzio ni wako........nakaribisha michango na ushauri...

Sina imani kama kweli umwanaharakati ila ni wazo nzuri sana la kiuana harakati.Ingekua vyema tupate kwanza coalition ambayo tungeweza kupeleka vielelezo na primary audience wote wafahamu hatua ya kuanzia baada ya coalition hiyo kutoa tamko....ila ni wazo nzuri
 
Tumetoka kidedea furaha niliyonayo haina mfano,hivi fikiri kidogo tu kama CDM ingeshindwa na matusi ya nguoni viongozi na wana CDM tumetukanwa hali ingekuaje????nilishasema toka mwanzo ubovu haufugwi akiachwa huyu lusinde bila kuchukuliwa hatua yoyote tutazalisha akina lusinde wengi sana kwenye chaguzi zijazo jimbo la segerea hiloooooo linakuja very soon kaeni mkao wa kula.
 
Apelekwe mahakamani kisha atupwe lupango ili akawaone wale aliowasingizia kwa Mh.Lema
 
Wadau naomba tuziweke pembeni siasa katika kujadili mada hii, tuweke michango yetu kwa nia ya kulitimiza hili....maneno aliyoongea Mbunge Lusinde yametugusa sana sisi wanaharakati wa haki za watoto, ukizingatia kwamba kulikua na watoto wadogo pale ambao waliyasikia..technically, he did abuse those children..kwa hilo basi, tuna nia ya kulifikisha shauri hili katika vyombo vya sheria ili wanasiasa au watu wenye tabia ya kuongea offensive and abusive words mbele ya watoto wafahamu kwamba watawajibika kwa matamshi yao kisheria!

1. tunaomba weledi wa sheria za kitaifa na za kimataifa; hasa katika Child Rights' watoe mwongozo katika hili...

2. tunaomba wakazi wa Arumeru, waandishi wa habari, au yeyote aliyehudhuria mkutano ule awe tayari kutoa ushahidi, ikibidi mahakamani...

3. tutashirikishana katika kila hatua itakayoendelea katika hili..

3. ikibidi tuwe tayari kwa michango ya hali na mali ili kufanikisha jamobo hili....

Mwisho; tukumbuke kwamba mtoto wa mwenzio ni wako........nakaribisha michango na ushauri...

ZAIDI
ya yote aachie ubunge. kwa sababu arikiri mwenyewe mbele ya kadamnasi kuwa yeye ni kichaa wa kuzaliwa. Hatuwezi tukawa na mtunga sheria ambaye ni kichaa. katiba hairuhusu kiongozi taahira.thereafter it seems as if hata medical checkup hakufanya. apelekwe milembe asap
 
naunga mkono hoja....hii itakuwa fundisho mwisho wa kupeleka mipasho majukwaani badala ya hoja! hivi, na che nkapa hawezi unganishwa katika hii kesi kwa kutumia nafasi yake vibaya kushambulia personalities za wagombea wengine na kupelekea kuchafua hali ya hewa arumeru?? ---- sheria inasemaje tunaposikiliza utumbo kutoka kwa mtu mwenye status na elimu kama ya kwake ?
 
Mimi nina mtazamo tofauti. Lusinde aachwe tu kama alivyo na asishitakiwe wala kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu.

Na nataka 2015 awe na role kubwa zaidi kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
 
Mimi nina mtazamo tofauti. Lusinde aachwe tu kama alivyo na asishitakiwe wala kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu.

Na nataka 2015 awe na role kubwa zaidi kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.

Umebadilisha mtazamo wako mkuu kuhusu Lusinde? Manake hoja yako ilikua kama CCM isipomchukulia hatua utaishangaa sana CCM.
 
Naafikiana na wanaharakati na kusudio lao hilo. Lakini isiwe ni siasa tu,walifanyie kazi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine.
 
lakini Lusinde !!!! ni nani???? siku ya siku tusijekuta tunampandisha chati wakati w.anamtera wanajua walipokosea/tereza, na watanzania kwa ujumla wamesikia na hivyo wamemfahamu
 
the guy is hopeless ...huyu mtu ana historia ndefu ,tangu alipokua house boy wa komba pale Mbezi..Akijiendeleza kidogo kidogo...akaoa house girl hapohapo kwa komba..SO anamwita komba baba mkwe ,kwa kumuolea house gal wake....Alisha join CDM wakati flani..Pia alishakua mwanachama wa chama cha Bwana mmoja anaitwa Makaidi...Akashauriwa na na komba arejee CCM amfanyie mpango MTERA...
 
huyu Muhishiwa Lusinde, amesaidia sana kuwamaliza magamba Arumeru, maana matusi yake yaliwangua macho hata akina mama waliokuwa wanainga mkono kujua kuwa CCM siku hizi ni chama cha matusi! ashukuriwe kwa hilo
 
Wazazi naunga mkono Lusinde apande kizimbani kosa liko wazi chni ya kifungu cha 89 Cha sheria ya makosa ya Jinai ila Saidi Mwema na jeshi lake wataishia kulalamika tu

89. Abusive language, brawling and threatening violence Ords. Nos. 48 of 1948 s. 2; 14 of 1950 s. 9; 49 of 1955 s. 7; Act No 12 of 1962 s. 2
(1) Any person who–
(a) uses obscene, abusive or insulting language to any other person in such a manner as is likely to cause a breach of the peace; or
(b) brawls or, in any other manner, creates a disturbance in such a manner as is likely to cause a breach of the peace,
is guilty of an offence and liable to imprisonment for six months.
 
Umebadilisha mtazamo wako mkuu kuhusu Lusinde? Manake hoja yako ilikua kama CCM isipomchukulia hatua utaishangaa sana CCM.

Nimebadili aisee. Lusinde is a gift and he has a lot of potential to be a gift that keeps on giving, if you get my drift.
 
Baadhi ya Sera za CCM kutoka kwa Lusinde.
Nataka niwaambie, kipindi hiki ni kipindi cha lala salama, ukiona mtu anasikia kichefufu, ukiona mtu
anatema mate, ukimuona mtu anaichukia ccm ujue
tayari tumeshamtia mimba, ndio maana unawaona
saa hizi wanapiga kelele, unaona kina slaa
wanapiga kilele, wameshapigwa mimba, mbowe
pigwa mimba, nasari pigwa mimba....mayoweee Tarehe moja wanaenda kujifungua mtoto anaitwa
sioi, piga makofii. Kichefuchefu chote kitawaisha
utawaona ooh tulikua pamoja tulikua pamoja
kudadadeeki.
 
I am pleading with you people to hold off on suing him. This guy is just what we need in order to boot CCM in 2015.
 
Back
Top Bottom