Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Wadau naomba tuziweke pembeni siasa katika kujadili mada hii, tuweke michango yetu kwa nia ya kulitimiza hili....maneno aliyoongea Mbunge Lusinde yametugusa sana sisi wanaharakati wa haki za watoto, ukizingatia kwamba kulikua na watoto wadogo pale ambao waliyasikia..technically, he did abuse those children..kwa hilo basi, tuna nia ya kulifikisha shauri hili katika vyombo vya sheria ili wanasiasa au watu wenye tabia ya kuongea offensive and abusive words mbele ya watoto wafahamu kwamba watawajibika kwa matamshi yao kisheria!

1. tunaomba weledi wa sheria za kitaifa na za kimataifa; hasa katika Child Rights' watoe mwongozo katika hili...

2. tunaomba wakazi wa Arumeru, waandishi wa habari, au yeyote aliyehudhuria mkutano ule awe tayari kutoa ushahidi, ikibidi mahakamani...

3. tutashirikishana katika kila hatua itakayoendelea katika hili..

3. ikibidi tuwe tayari kwa michango ya hali na mali ili kufanikisha jamobo hili....

Mwisho; tukumbuke kwamba mtoto wa mwenzio ni wako........nakaribisha michango na ushauri...
 
Angekuwa CDM mngefanikiwa lakini kwa kuwa yuko CCM mtapoteza muda. Mie ushauri wangu msibishane na mwehu watu wa Arumeru wameshatupa zawadi nzuri kwa kutosikiliza maneno ya mwehu hiyo ni adhabu kubwa na inamtosha.
 
Niunga mkono hoja hiii ili iwe fundisho kwa wanasiasa uchwara ambao hawajui kulitumia jukwaaa vyema kimaadili

Hoja nimeikubali,maana ieleweke tusi nitusi tu.Liwe limetolewa wakati wa kampeni au mahala popote.Kamata Lusinde peleka vyombo vya sheria.
 
Naunga mkono hoja hyu bwana lusinde amedharirisha utu wa mtanzania ni muhimu afikishwe katika vyombo vya sheria hili iwe fundisho kwa wanasiasa wa aina yake.
 
Angekuwa CDM mngefanikiwa lakini kwa kuwa yuko CCM mtapoteza muda. Mie ushauri wangu msibishane na mwehu watu wa Arumeru wameshatupa zawadi nzuri kwa kutosikiliza maneno ya mwehu hiyo ni adhabu kubwa na inamtosha.

Upo sahihi, in a political perspective...lakini kumbuka vijana ni taifa la leo na watoto ni taifa la kesho....hawa watoto pia wanastahili zawadi, unadhani ni ipi ndugu? Angekuwepo mtoto wako pale na akarudi nyumbani akiimba aliyoyasikia, ungemchapa??
 
I am telling you ... "Muheshimiwa" Mbunge L Lusinde ... has a lot more to answer on this, not child abuse alone! He should be brought to the Justice and the rest will be taken care ... !!CCM should have taken this measure to clear its image ... if at all there is anything good left with them!!CCM would you in anyway take my advice ...???!!!
 
matusi aliyotoa Lusinde hayavumiliki katika kadamnasi ya watu wastaarabu na hakika hata hao wahenga aliowataja kwa kejeli akiwemo baba wa muasisi wa nchi hii watampatiliza. haijakaa vizuri , nadhani maamuzi ya kumpa ubunge Lusinde hayakuwa sahihi . watu wa Mtera wanajisikiaje mtu wao anapoporomosha matusi ya nguoni bila break? nadhani kama sikosei huyu ana kanisa analosali na ana mkubwa wake wa ukoo. bila shaka taasisi hizo 2 ziwajibike kumshughulikia ipasavyo vinginevyo hawawakilishi vizuri waumini wenzie wa kanisa na wanaukoo. imebidi tumshitaki kwenye hizo taasisi kwanini ccm ndiyo wamfundisha (wanamsonga) vibaya. halii hii ikiendelea tz itapoteza ustaarabu na weredi mbele ya macho ya kimataifa. chonde chonde mzee Lusinde na mzee Mlekela mkalisheni mwanenu anaenda kubaya. he is forging an unpleasant atmosphere. infact he is deroding the credibility you founder had made headways earlier.
 
kwanza huyu lusinde anapata wapi jeuri ya kuongea mambo machafu wakati tunamjua vizuri tangu akiwa kawe dsm pale akishinda kucheza bao tu leo anakuwa jeuri sio
 
Naunga mkono mh. naomba Mh. Tindu lissu, Mdee, Mnyika , na wanasheria wengine wa chadema mtupe mwelekeo.
Asante
 
Wakuu wengine tupo interia kabisa, kwani alisemaje? But bravo to CHEDEMA, bravo Arumeru, Kirumba and Kiwila Mbeya, Bravo wapenda mageuzi wote nchi nzima.
 
Ili la kumfikisha mahakamani ni muhimu mno.....hakutenda haki hata kidogo,amezalilisha siyo watoto tu bali hata wakina mama,wazee na watz kwa ujumla wao.Hata kama kichaa ni cha kuzaliwa hakiwezi lipuka kwa style ile,...Ni fedheha kwa wananchi wa mtera,ccm na haswa kwa successor wake mzee John M.
 
kwaili naona kama tukienda mahakamani itakuwa fundisho tosha kwani alifikiri watu wa arumeru ni wajinga kama kwao inamanisha ata alipopata ubunge alitumia matusi so tusimulaum sana inapaswa kuangalia chanzo chake cha akili pia anapotoka
 
Alikuwa anaongea kama aina ya shetani fulani hivi. Hili wazo ni zuri, akina Lema wamekashifiwa waende kumweka lupango ili adhibitishe matusi yake. Na hata kaka Slaa wewe ni msomi kama mtendaji na kamanda kiongozi basi chukua hatua kwa hili ni mazoea ya waliopungukiwa na sera huko CCM. Ningeshauri Mh. Kikwete achukue hatua kwa huyo mtu aliyeabisha mno. Tuwe na busara amenitenda sana
 
Naomba tuorodheshe matusi yote aliyoyatoa ili hata ikishindikana kumshtaki basi yachapishwe na wapelekewe wapiga kura wake ambao watakuwa na jukumu la kumchukulia hatua za kinidhamu kwa kuwadhalilisha!
 
Kwa lugha yake chafu inaonyesha ndio picha halisi ya viongozi wa CCM kuwa wako hivyo japokuwa hawajapewa nafasi ya kusimama kwenye majukwaa.
 
fano wa matusi;- NIWALAMBE NISIWALAMBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
hatua stahiki lazima, child abuse, deformation kwa wabunge na viongozi wa Chadema nk
watu wa LHRC na wengineo mchakato uanze mapema.
inabidi iwe fundisho kwa kweli.
 
Back
Top Bottom