Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

Kutukana hadharani ni kosa la JINAI
Afunguliwe kwanza kesi polisi then na haya mengini yanafuata
Asiachiwe hata sehemu moja
 
Ndo natoka kuskiliza naona hakuwa normal kabisa...........alipanda jukwaani akiwa na tatizo kichwani mtu kamili hawezi ku floo vile kwenye jukwaa.....alijua wanashindwa na hapo ndo hasira zilipo.......wanasheria wanatumiaga sana ujanja wa kumkasilisha wanayemuoji..................anyway siasa za maji taka zina advance katika namna ya aibu!
 
Wanaofundisha watoto kutukana wamejaa kila mahali. Acheni unafiki wa kumuangalia mtu mmoja tu. Hili ndio tatizo la chad-emwa.
Hatukatai kwamba matusi yapo na yanatumiwa lakini hili la kiongozi kupanda jukwaani na kuanza kutoa matusi kama yale kusema kweli ni KOSA KUBWA sana la Uongozi na dhaman aalopewa na wananchi. Hivi kweli ofisa wako wa kazi anaweza yasema haya akiwa kazini?..Mwalimu akitukana matusi kama haya hata kwa uchache wake huachishwa kazi inakuwaje mbunge kusimama mbele ya hadhara ya watu kama wale na kutoa matuzi mazito mazito iwe jambo la kawaida..Tunaanda mazingira gani ya Kisiasa nchini?.
 
hii video ya matusi ya LIVINGSTONE Lusinde nimeicheki inatia hasira
 
Though i am coming late into this news, but at least i want to know the whereabouts of Livingstone Lusinde. With all the insults, i cant imagine they have lost the game. You made people to think twice whether the honorables are really honorable. For you i must say i can not address you as such.
mkuu andika kiswahili, Lusinde Mitusi mbona hata ngeli haikwei ujumbe huu atashindwa kuuelewa!
 
Yule bwana darasa la tatu so pale ndio mwisho wa akili yake! Alikimbia umande na kwenda kutega ndege vichakani huko mtera!

Mkuu nakuunga mkono bahati nzuri namfahamu personally, the guy is empty-headed yaani hana upeo wowote wa siasa, CCM kweli imeishiwa hivi, No aibu. Nape mbona sijasikia sauti yako kwa hili? au hijabu ya Igunga ndio uliiona hahahaha kwangu mimi mtu akiniita Lusinde ni tusi kama Kihiyo vile!
 
Hongera CDM kwa ushindi wa Arumeru Mashariki. Nafirikiri imefika mahali wazee na viongozi wa dini wapige marufuku matusi ya waziwazi kama haya ya Lusinde kwenye chaguzi. Nimebahatika kuona hii clip kwenye youtube Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube kwa kweli hata JK mwenyewe asingependa hili lifanyike hata kama ni kwa viongozi wa upinzani.

Sidhani kama CDM walitukana kama anavyosema ila matusi makubwa ya nguoni hayafai kwenye jamii yetu kabisa na watoto ni miongoni wa watu waliosikiliza hili, sijui mtoto wa Lusinde (kama ana mtoto) anamwona vipi baba yake. Nafikiri Lusinde anatakiwa kufunguliwa mashitaka huu ni uzalilishaji na kuna vitisho vya kuwa JK, Komba walikuwa wanajeshi maana wanataka kutishia wananchi kuwa ni wanajeshi... amani inavunjika taratibu kwa njia hizi.
 
Mimi nakubaliana na wazo hili na nipo tayari kutoa hata mchango wa fedha. amenikera sana na kwa ukweli wanasheria msipolipeleka hili suala mahakamani mimi nitawalaumu sana na ntaona hamuitendei haki taaluma hii muhimu...
akikosekana wakuipeleka suala hili mahakamani basi mheshimiwa Lema please nenda mahakamani,umedhalilishwa sana na makamanda wengine watatokeza kukusupport.
This guy deserves to be in jail and pay for his un acceptable behaviour.

HONGERA SANA CHADEMA.HONGERA MH.NASSARI...
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Yani hapo ndo CCM imekodi mnadi sera kutoka Jimboni kwa Tingatinga
 
Nyinyi mngeuchuna tu kwa sababu CCM wanajimaliza wenyewe kwa kuendelea kumkumbatia. Sasa kama huyu jamaa hatakuwepo kwenye majukwaa ya kisiasa 2015 mimi nadhani hiyo itapunguza kasi ya CCM kujimaliza.

Hivyo nasema muachieni aendelee kuwepo na uwepo wake ndiyo itakuwa tiketi ya CHADEMA kwenye ushindi. Ukiona adui yako anajumaliza mwenyewe usifanye chochote kumpunguzia hiyo kasi.

So don't give them any ideas. Let them self-destruct.
 
halafu ni makao makuu ya hospitali ya vichaa Milembe. Lakini huenda wanaweza kujitetea kuwa Lusinde katoroka kutoka Milembe ha ha ha

Nimeipenda hii Lusinde ni kichaa tena katoroka Mirembe. Ningepeta namba yake nami nimtukane kwa niaba ya chadema mpuuzi huyu ndio maana hospitali ya vichaa ipo jirani na nyumbani kwake
 
Mtoa thread tunakushukuru kwa ushauri wako kwa huyo anayeitwa Mheshimiwa na wasiojua hata maana ya uheshimiwa (maana kumwita Lusinde mheshimiwa ni kupotosha maana ya neno Mheshimiwa). Please mtoa mada,itafsiri thread yako iwe kwa Kiswahili. Huyo bwabwa Lusinde hajui hata neno moja la Kiingereza.
 
Wanaofundisha watoto kutukana wamejaa kila mahali. Acheni unafiki wa kumuangalia mtu mmoja tu. Hili ndio tatizo la chad-emwa.

Kwa akili yako hili jambo liachwe tu kwa sababu watukanaji wamejaa kila mahali
Lini unata lichukuliwe hatua?
Au ndio kusema unataka liachwe tu?
Anza kuchukua hatua sasa
Acha ukichaa!
 
kwa yale matusi aliyo yaporomosha Lusinde, kwetu madaktari tunasema ni abnormal behaviour which is associated with overtalkativenee and abusuve language, then tunampa ugonjwa unoitwa Mania(ugojwa wa akili), kwahiyo yule mwenzetu tunaweza kudhani nisiasa kumbe ni mgonjwa, nashauri ndugu zake wamkamate kwa nguvu na kumpeleka psychiatric ward(wodi ya wagojwa wa akili) Muhimbili au Mirembe, na hakika atakataa kuwa haumwi, ambayo ni kawaida ya wagojwa wa akili!
 
kwa yale matusi aliyo yaporomosha Lusinde, kwetu madaktari tunasema ni abnormal behaviour which is associated with overtalkativenee and abusuve language, then tunampa ugonjwa unoitwa Mania(ugojwa wa akili), kwahiyo yule mwenzetu tunaweza kudhani nisiasa kumbe ni mgonjwa, nashauri ndugu zake wamkamate kwa nguvu na kumpeleka psychiatric ward(wodi ya wagojwa wa akili) Muhimbili au Mirembe, na hakika atakataa kuwa haumwi, ambayo ni kawaida ya wagojwa wa akili! Jamani wanajukwaa Lusinde ni mgonjwa tumsaidie!
 
Back
Top Bottom