kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 811
Waache wale wali wale wali wao(WWWWWW) hawa jamaa wa znz muungano ukivunjika watasambaratika na hali yao itakuwa tete
wanaitaka nchi "yao" ya zanzibar; wanataka kurudia "utukufu wa zanzibar" kwa kuwa hapa walipo sasa hawaoni manufaa "yoyote" kwa zanzibar. Wanasema wanaitaka nchi yao waliyonyang'anywa na wadanganyika (ati watanganyika). Wanataka warudishiwe nchi yao waliyonyang'anywa na nyerere na watu wa bara.
Ni zanzibar ipi hiyo wanayoitaka?
- zanzibar ya historia ya kale (zenj - nchi ya weusi?) ambayo ni zaidi ya visiwa vya unguja na pemba bali na mwambao wa afrika ya mashariki
- zanzibar ya sultani(ambaye naye utawala wake ulizidi mipaka ya unguja na pemba)
- zanzibar ya sultani chini ya mwingereza
- zanzibar ya baada ya uhuru na sultani akiwa bado ni mkuu wa nchi na serikali ya mseto
- zanzibar ya mapinduzi kabla ya muungano
- zanzibar "mpya" ambayo haijawahi kuwepo yaani ya baada ya muungano
ni ipi hasa wanayoitaka? Ni ipi hasa zanzibar "proper". Isije kuwa ni kama nchi ya ahadi ambayo iko katika fikra za watu tu lakini haijawahi kuwepo; yaani ile nchi imiminikayo maziwa na asali na kwamba watu wa bara na dunia nzima wanataka kuwanyang'anya wazanzibari. Na labda hapa itabidi tulijibu swali pia kuwa mzanzibari ni nani hasa?
waache wale wali wale wali wao(wwwwww) hawa jamaa wa znz muungano ukivunjika watasambaratika na hali yao itakuwa tete
..sasa Maalim Seif kadai akichaguliwa ataimarisha muungano!!
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya katiba,na ulionishangaza ni ule uliohusishwa kuchanwa kwa muswada wa kukusanya maoni huko Zanzibar!Mimi ni mmoja kati ya watu ambao tuliupinga kwa nguvu zetu zote muswada huo,lakini tulijitahidi sana kuficha hisia za UTANGANYIKA wetu!Kinachonifanya niandike makala hii ni huu uzanzibari uliojitokeza,kwanza naomba niwaambie hawa kuwa hata sie tunaitaka Tanganyika yetu lakini tumefikiri kwa kina na tumegundua kuwa hakuna mtu anaeweza kujifanya ni mzawa wa zanzibar.Sio seif,wala Aboud jumbe,sio Hamad Rashid wala Dr. Omar!Hivi makabila ya zanzibar ni yapi na hawa wanaoitaka zanzibar ni wa makabila hayo?Zanzibar si mali ya waarabu wala wangoni, zanzibar si mali ya wanyamwezi wala wajaruo,zanzibar si mali ya wanyakyusa wala wahindi,basi zanzibar ni mali ya nani? Nakubaliana na kauli ya Mwalimu kuwa ni mtu mwendawazimu tu ndio anaeweza kuutaka uzanzibari, ni mroho wa madaraka tu tena kwa manufaa binafsi na ya ukoo wake ndie atakaeitaka Zanzibar.Nakubaliana na mwalimu kuwa wanasema Zanzibar ni nchi kwa sababu tu Kuna Tanzania nyuma yake!Historia inawahukumu "wazanzibar hawa" kuwa hukukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Zanzibar. Kwangu mimi huu ni Mkoa au wilaya ndani ya Tanzania.Hata mikiitaka kwa nguvu Zanzibar mtatakiwa kujiuliza hivi nyie kweli ni wazawa wa asili ya visiwa hivyo?au mlikuja babu zenu walipokuwa wakoloni ndani ya visiwa hivyo?hata huku bara wakoloni walikuwapo".Hivi nyie kweli ni wazawa wa zanzibar au ni wamakonde,na wanyamwezi mlioenda kam watumwa wa waarabu kulima mashamba!Nataka kabla ya kuanza madai yenu mjiulize kama kweli manastahili kuwepo hapo,vinginevyo tutawasihi kwa roho nyeupe asieitakia mema Zanzibar arudi nyumbani kwao asilia "mwarabu rudi Oman,Mchaga rudi Kilimanjaro, mnyakyusa nenda Mbeya,Mngoni rudi sonea na Mnyamwezi rudi Tabora ili tuone visiwa hivi vinabaki na kabila gani!Najua wengi watanikosoa kwa hili ingawa najua wengi mtaniunga mkono!Najaribu kuvitendea haki visiwa vya zanzibar ambavyo ni sehemu ya Tanzania!
The United Republic of Tanzania was formed out of the union of two sovereign states namely Tanganyika and Zanzibar. Tanganyika became a sovereign state on 9th December, 1961 and became a Republic the following year. Zanzibar became independent on 10th December, 1963 and the People's Republic of Zanzibar was established after the revolution of 12th January, 1964. The two sovereign republics formed the United Republic of Tanzania on 26th April, 1964. However, the Government of the United Republic of Tanzania is a unitary republic consisting of the Union Government and the Zanzibar Revolutionary Government.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya katiba,na ulionishangaza ni ule uliohusishwa kuchanwa kwa muswada wa kukusanya maoni huko Zanzibar!Mimi ni mmoja kati ya watu ambao tuliupinga kwa nguvu zetu zote muswada huo,lakini tulijitahidi sana kuficha hisia za UTANGANYIKA wetu!Kinachonifanya niandike makala hii ni huu uzanzibari uliojitokeza,kwanza naomba niwaambie hawa kuwa hata sie tunaitaka Tanganyika yetu lakini tumefikiri kwa kina na tumegundua kuwa hakuna mtu anaeweza kujifanya ni mzawa wa zanzibar.Sio seif,wala Aboud jumbe,sio Hamad Rashid wala Dr. Omar!Hivi makabila ya zanzibar ni yapi na hawa wanaoitaka zanzibar ni wa makabila hayo?Zanzibar si mali ya waarabu wala wangoni, zanzibar si mali ya wanyamwezi wala wajaruo,zanzibar si mali ya wanyakyusa wala wahindi,basi zanzibar ni mali ya nani? Nakubaliana na kauli ya Mwalimu kuwa ni mtu mwendawazimu tu ndio anaeweza kuutaka uzanzibari, ni mroho wa madaraka tu tena kwa manufaa binafsi na ya ukoo wake ndie atakaeitaka Zanzibar.Nakubaliana na mwalimu kuwa wanasema Zanzibar ni nchi kwa sababu tu Kuna Tanzania nyuma yake!Historia inawahukumu "wazanzibar hawa" kuwa hukukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Zanzibar. Kwangu mimi huu ni Mkoa au wilaya ndani ya Tanzania.Hata mikiitaka kwa nguvu Zanzibar mtatakiwa kujiuliza hivi nyie kweli ni wazawa wa asili ya visiwa hivyo?au mlikuja babu zenu walipokuwa wakoloni ndani ya visiwa hivyo?hata huku bara wakoloni walikuwapo".Hivi nyie kweli ni wazawa wa zanzibar au ni wamakonde,na wanyamwezi mlioenda kam watumwa wa waarabu kulima mashamba!Nataka kabla ya kuanza madai yenu mjiulize kama kweli manastahili kuwepo hapo,vinginevyo tutawasihi kwa roho nyeupe asieitakia mema Zanzibar arudi nyumbani kwao asilia "mwarabu rudi Oman,Mchaga rudi Kilimanjaro, mnyakyusa nenda Mbeya,Mngoni rudi sonea na Mnyamwezi rudi Tabora ili tuone visiwa hivi vinabaki na kabila gani!Najua wengi watanikosoa kwa hili ingawa najua wengi mtaniunga mkono!Najaribu kuvitendea haki visiwa vya zanzibar ambavyo ni sehemu ya Tanzania!
Niambie huyo "Mzanzibari" ni kabila gani?

Hii ndio Zanzibar tunayoitaka ambayo mliivamia na kuichakachua April 1964.
Jee katika hio old map of Africa, Tanganyika ipo?
Wacha kuchokonoa mambo Mkuu, Zanzibar ina wenyewe na wapo macho na fitna zenu.
Mtasema mchana usiku mtalala ngoma ya sikinde inaendeleaa ,wandugu haya mambo yeshakuwa makubwa kwa kingunge yeyote yule kutoka Dodoma kutokeza pua yake.
Yaani sasa mambo ya Zanzibar ni mbele kwa mbele tu ,machogo mmefuliya bwa ha ha ha :lol:
..sasa Maalim Seif kadai akichaguliwa ataimarisha muungano!!
..mimi nadhani wanasiasa wa Zenj wanawachezea akili wapiga kura wao.
..kwanini suala la kuwa na muungano, ama la, halikupigiwa kura ya maoni, sambamba na suala la kuundwa kwa serikali ya mseto?
..Muungano wa serikali tatu haufai kwasababu Tanganyika is too big compared to Zenj.
..muungano huu ni bora ukavunjwa na badala yake tushirikiane na wa-Zenj kupitia EAC.
NB:
..kila siku wanadai wanashughulikia kero, sasa kero ya Zenj kuwa ndogo mno, na Tanganyika kuwa kubwa kupita kiasi, wataishughulikia namna gani?
Mkuu na ujanja wooote wa kale umejikuta ukawa part of Tanzania,ama kweli ndege mjanja hunaswa tundu bovu.
Kwa taarifa yako omba kwa ustaarabu kutoka ndani ya muungano tukisema hutoki, hutoki.
Yap, Baada ya uhuru wa Zanzibar 1963, kulikuwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Unguja. Na hivyo ndivyo ilivyokuwa ikiandikwa katika nyaraka za serikali hiyo. Baada ya Mapinduzi ndio jina la Pemba likaanza kusikika na kuwa maarufu baada ya Muungano na Tanganyika.
Hivi Zanzibar wangependa kuwa na pasi zao za kusafiria kwenda ng'ambo kwa sababu wao ni nchi vile vile na hakuna sababu ya kutumia pasi ya Tanganyika?