Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
kweli hii ni hatari sana
kazi gani wanalipa pesa hiyo? Na mtu anayelipwa mshahara huo anakuwa na taaluma gani?
Labda shamba boy na house girl?
Hivi mtu wa kulipwa 45,000 kwa mwezi na taaluma yake yupo kweli? Hebu huyu bwana aache uzembe wa kufikiri. Haya ndo matatizo ya elimu ya TZ mtu unatoka chuo kikuu hata huwezi kuwaza cha kufanya mpaka usaidiwe na wazazi! Hii ni aibu! Yaani hapo utakuta mtu anawaza tu kuajiriwa.
Hivi wana muda gani tangu watoke chuoni? Yaani miezi yote ya kukaa nyumbani wamebweteka tu!! Unakuta jitu zima linabaki kuchora pembetatu tu yaani Chai asubuhi - Mitaani - chakula cha mchana, bila kuwaza kitu cha kumwingizia pesa japo kidogo. Sasa unaona matokeo yake 45,000 inakuwa shughuli kuipata.
Ukikosa ndugu yangu jikalie tu nyumbani maadamu cheti chako utapata wala isikusumbue sana!

asante saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana..! Biiiiig up, hebu waambie ukweli. Hata beki-tatu wetu halipwi hiyo, analipwa kubwa zaidi. Yaani unamaliza chuo kikuu 45000 unalalamika? Duh! Hii aibu, sijapata kuona, sasa umuhimu wa chuo ni nini. JOB K, thanx umeongea ukweli. Wanapiga pembe tatu tu kila siku.
Mpwa japo ni kubwa lakini sio hio uliotaja, ni sh.42,000 na nimelipia leo kwa Masters labda kama undergraduate ni zaidi ya hapo ila kwa Masters ni kiasi hicho, na sisi tulilalamika sana maana at the same time huwezi kupokea thesis-dissertation yako hadi uwe umemaliza ada! Ni maumivu japo ni investment ya maisha!
changeni tu,kwani pale hill park inatumika elfu ngapi kwa siku.
mbona unakuwa IPP wewe? Unajua maana ya taaluma au umekurupuka tu? Toka lini joho likawa taaluma? Shame on you.Umeona eeh kwenye taaluma kilio shame to them.
Ni 45000 tu?
changeni tu,kwani pale hill park inatumika elfu ngapi kwa siku.
Sidhani kama ni Mantiki kupandisha kiwango cha kuazimia hayo magauni kwa kiasi hicho??..Nadhani wanacholalamikia ndugu zetu ni Ukubwa wa Ongezeko mfano kama mwaka Jana walikodisha kwa shiling 30,000/ au 25,000/- inakuwa ngumu kumeza yaan ndani ya miezi kumi na mbili kuwe na ongezeko la elfu 15 au 10.
Na hii dhana ya kusema msomi wa Chuo Kikuu hawezi kukosa hiyo amount ni Uzembe wa Kufikiri tu..manake tusijifanye kwamba unapomaliza shule maisha yanachange 'overnight'..tuongee fact jamani
kwa hyo unataka kusema, mtu akimaliza chuo kikuu mazingira aliyokuwa akiishi kabla ghafla yanabadika? Consumption rate ya jamii inayomzunguka inabadika na shughuli/biashara yeyote atakayoifanya itakuwa kuwa affordable kwa hao watu ndan ya muda mfupi? Kama ni hivyo basi tusingekuwa tunazungumzia umaskin nchi hii. Fikir kwa upana hata kama housegal wenu analipwa zaid ya hicho kiasi. Shukuru Mungu kama hujapitia hali ya kushnda/kulala bila kula.
Sidhani kama ni Mantiki kupandisha kiwango cha kuazimia hayo magauni kwa kiasi hicho??..Nadhani wanacholalamikia ndugu zetu ni Ukubwa wa Ongezeko mfano kama mwaka Jana walikodisha kwa shiling 30,000/ au 25,000/- inakuwa ngumu kumeza yaan ndani ya miezi kumi na mbili kuwe na ongezeko la elfu 15 au 10.
Na hii dhana ya kusema msomi wa Chuo Kikuu hawezi kukosa hiyo amount ni Uzembe wa Kufikiri tu..manake tusijifanye kwamba unapomaliza shule maisha yanachange 'overnight'..tuongee fact jamani
mpaka sasa ni zaidi ya rafiki zangu kumi wamesema watashindwa kulipa pesa hiyo kwani ni nyingi mno na wengi ni masikini na mpaka sasa hawajapata kazi.
hivyo utofauti upo kati ya maskini na matajiri udsm
hebu tufikirie kwe undani, na sio kulalamika tu. 45000 kwa mtu mwenye mwenye taaluma yake anaweza kupata. Labda awe KULA KULALA ila kwa watoto wa mjini wanaoweza kuhustle na kuipata. Kwanza, kwani lazima ulipe? Utozi huo!
Tindikali mbona unalia ndugu yangu? Nawe mlengwa nini?