watu wanalipwa mishaara ya 45000 afu watu wengine mnafanya masiara eti pesa ndongo! acheni hizooo!
Mtoa maada unaweza kutuelimisha rationale ya joho na graduation kwenye taaluma au ndo nyie mnaolilia wazazi wenu kutowanunulia nguo za xmas,idd,pasaka na mwaka mpya? Teh wewe kweli umebaka elimu tena UDSM! Hapa ndo tunapoprove kwamba UD hamna kitu bora sisi wa Teoflo Kisanji University.
Acha ulimbuken wewe,45,000 ndo unaona ni kidogo. Watanzania maisha yao ni magumu kupita maelezo. Hata kama umepata kajikaz bt kumbuka wadogo na ndugu zako wanakutegemea kwa kila kitu. 45 siunamlipia dogo ada ya mwaka mzima shule ya kata bwana.. Huu ni wiz tena wa wazwaz. Watu weng wanashindwa kuaford hizo gharama dats y hawahudhurii hayo mahafali. UD NA VYUO VINGINE ACHENI WIZI
Hao hawaazimishi majoho, "wanauza"!
Mimi nd'o maana nilisepa nalo kwa thamani ya sh. 10,000.
Nimeliweka kwenye kabati maalumla vioo kwa ukumbusho.
Mtu akitaka kulishika tu anatoa pesa kwanza na hakuna anayejaribu kulivaa kwa sababu kufanya hivyo ni sawa na kujiita Dr. Ndodi au Professor Majimarefu. Teheteheteheeeeeeeeeeee!
Wewe na rafiki zako njooni niwaingilie kinyume na maumbile halafu niwalipie,maana ndipo mnapoelekea,tangu july hadi leo hamjapa 45K?
Wewe na rafiki zako njooni niwaingilie kinyume na maumbile halafu niwalipie,maana ndipo mnapoelekea,tangu july hadi leo hamjapa 45K?
Kiwango cha pesa kilichowekwa na chuo kikuu cha dar es salaam kwa ajili ya kukodi majoho kwa ajili ya mahafali ambacho ni zaidi ya 45000; kimeonekana kuwa tatizo miongoni mwa wahitimu wengi. mpaka sasa ni zaidi ya rafiki zangu kumi wamesema watashindwa kulipa pesa hiyo kwani ni nyingi mno na wengi ni masikini na mpaka sasa hawajapata kazi.
hivyo utofauti upo kati ya maskini na matajiri udsm
Yaani 45,000 tu? Aaaaah jamani
Hivi ni lazima kwenda?
Kama hakuna anayelazimishwa kwa nini ujipe taabu ya kuwaza yote hayo? Halafu shida nyingine ya wanaolalamika wanawasemea na wengine, hii ndo taabu! Wewe kama huwezi kuilipa jikalie nyumbani usubiri kufuata cheti chako bwana! Hebu msitusumbue sisi!
Kwa taarifa yenu hiyo (Majoho) huwa ni miradi ya watu. Hebu jaribuni kufuatilia mnaweza kukuta kikundi cha baadhi ya watumishi hapo chuoni ndo wanasimamia huo mradi. Hebu fikria mko wanafunzi 2,000 mnaomaliza X 45,000/= si 90M hiyo? Sasa watu hawajatoka hapo? Na hayo majoho siyo kila mwaka wanashona mapya unaweza yakuta yana miaka kibao. Sasa kila mwaka jamaa wanavuna 90M. Kikubwa ukiona unaibiwa unaacha kwenda full stop!!!!!!
Chuoni kwetu ulikuwa mradi wa kikundi cha akinamama wa hapo chuoni. Sijui hapo kwenu kukoje? Ila kama ni mradi wa Serikali yenu ya wanafunzi, wakuu naomba mlipe hiyo pesa.