Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi.

Matongee

JF-Expert Member
Jun 17, 2023
665
1,638
Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili.
============================
Mhe. Jenista Mhagama; I’ve got too much love and respect for this big siste. Nilipokuaga Mbunge kijana machachari huyu dada alikuwa Katibu wa Wabunge wote wa CCM, kwa Kipindi hicho kanuni zilikuwa zinampa mamlaka ya kuwa ‘mnadhimu’ (chief whip) wa Wabunge wote wa CCM. Ilikuwa nafasi nyeti na nzito sana hapa Bungeni. Ni mdada mwenye roho nzuri sana, nyeupe isiyo na chembe ya chuki wala kinyongo.

Kipindi hicho Wabunge wa CCM tulikuwa wakorofi sana na tuliwasumbua sana serikali, kiukweli tulienjoy mamlaka ya kuwa Wabunge!

Dada huyu, Mhe. Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, kwa nafasi yake alikuwa busy kutudhibiti tusiwasurubu serikali bungeni. Basi akiona jina langu tu kwenye list ya wachangiaji anakuja kutaka kujua ntachangia nini na kushauri tuwe fair kwa serikali yetu! The way she was humble, basi atakuomba mpaka anataka kupiga magoti. Kwa mamlaka yake angeweza kukuita maadili ama kukupa vitisho, lakini yeye alijenga urafiki kwa ku-negotiate na kushauri zaidi.

Nimekutana na kufanya kazi na watu wengi na nimewaona wachache sana walio fair na understanding kama huyu dada. Kuna wengine walituita maadili kwa vitu vidogo sana mpaka unashangaa! Siyo Jenista. Huyu alitujenga kwenye mitazamo na misimamo yetu ya kisiasa, alitusogeza kirafiki akatujua na baadaye akatutumia kuisaidia serikali na chama chetu bungeni.

TAKE HOME: Ukipata madaraka makubwa sana juu ya wenzako, wajenge, waelewe, usiwasababishie ajali! Watu watakukumbuka kwa namna ulivyowafanya kujisikia.

Mimi wa enzi hizi za Jenista sikuwa na chembe ya uoga wala understanding, nilikuwa na energy kubwa sana ya kufanya siasa, misimamo mikali na ambitions kubwa mno; Hakuna ambaye angeweza kunitishia kwa lolote lile, maana nilikuwa tayari tayari. Busara za Jenista na upendo wake contained my energy and transformed the younger me.

Nakumbuka siku moja nilikuwa napiga Waziri Ngeleja wamama Mhe. Jenista, Mhe. Mariam Kisanji na wengine wakaja kwa kuinama kwa chini chini na kuniomba basi inatosha baba! Inatosha baba! 😀 Nikaamua kukatisha hotuba yangu nikakaa. #HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
 
Eti wakaja chinichini hehehehe anataka kura tu huyu wamnyime ajue machungu ya uananchi
 
Bunge la wachumia matumbo tupu, halina msaada kwa watanzania.
 
Wanalinda ugari wao! Nenda kinyume, wakufukuze kwenye chama! Ndio maana shetani wa ccm hawapendi mabadiriko ya katiba kuruhusu mgombea binafsi! Mgombea binafsi hafungwi na li chama.
 
Una umri gani?
 
Bado kuna mitahira bado inaendelea kuwaunga mkono hao wendawazimu ccm
 
Back
Top Bottom