ni vyakula vipi vinampa mwanaume pumzi ktk uwanja wa 6 kw 6?

Zingatia zaidi vyakula asilia na achana na vyakula artificial ambavyo tunavifagilia kwa kuwa ni vitamu vitamu

Zingatia maelezo haya ya amigooo kumbuka zamani babu zetu walikula vyakula asilia na "chukuchuku" walikuwa wanahudumia wake zao woote hata wakiwa nane husikii manung'uniko wala kutafuta power nzagamba au viagra aka "umkuyati umwinula mgosi agona"
 
kitimoto iliyokuwa deep fried gonga na pepsi baridi

Asali mbichi kila asubuhi nayo si mbaya

Usijibane na Pichu acha kiwanda kipumue, msuli ndo mpango mzima
 
Zingatia haya!1,jitahidi mzoezi mepesi! kama kukimbia,kuluka kamba,pushapu kidogo.2,Na aina za vyakula jitahidi kula vyakula kama,Ugali si lazima iwe dona! hata sembe na mboga za majani kwa wingi,matunda kama unauwezo,maji kwa wingi ni vizuri zaidi na kumbuka unapopata huo ugali na mboga za majani unaweza kuwa na nyama choma pembeni!karanga mbichi kwa ajiri ya kubolesha mbegu ili ziwe nzito! uji wa ulezi mara kwa mara! zingatia mazoezi!
 
-supu ya pweza/ngisi
-Juice ya tikiti maji iliyosagwa na mbegu zake
-vinywaji vya tangawizi na kahawa ile chungu.
-Fanya mazoezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom