ni vyakula vipi vinampa mwanaume pumzi ktk uwanja wa 6 kw 6?

lukme

Senior Member
Apr 18, 2012
191
24
nawasalim woote wana jf. Naomba kujuzwa ni vyakula vp hasa mwana mume anaweza kuvila kuboresha ndoa yake badala ya kutumia dawa za kichina na zinginezo ambazo zina sadikika kuleta madhara. nawasilisha
 
Hapa ndipo naambini huu udhaifu wa wanaume katika chakula cha ndoa ni Janga la dunia
 
Mkuu, kazana kutafuna vitunguu swaumu, tumia asali mara kwa mara, kula dona usile sembe, punguza vilevi, fanya mazoezi, kunywa maji mengi zaidi mpaka lita 3 na nusu kwa siku.

www.maajabuyamaji.net
 
Vina uhusiano mkubwa ndugu yangu, vyakula vya mafuta, hasa yatokanayo na nyama vinaongeza cholesterol pia fats deposits kwenye kuta za mishipa ya damu na moyo. Damu ndiyo inayobeba oxygen kutoka kwenye mapafu kuipeleka sehemu mbalimbali za mwili na kurudisha Carbon dioxide. Shughuli yoyote nzitoau pevu (kama kwenye 6 kwa 6) inahitaji oxygen supply ya kutosha so kama damu haiwezi kuzunguka na kufika inapotakiwa ili ichome carbohydrates na kutoa nguvu lazima mtu atakosa pumzi. Hivyo vyakula visivyo na mafuta mengi (au seed/vegetable oil) ni vizuri kwani haviongezi cholesterol. Wachina na wajapani wako makini sana kwenye vyakula kwani wana vyakula ambavyo vinasaidia blood circulation ambayo ni muhimu sana. mwisho mazoezi pia ni muhimu.
pumzi na vyakula wapi na wapi!!!!
 
Na hivi vyakula vya GMO yani itafika siku wanaume ukifanikiwa kukaa juu ya kifua for 10 minutes unashangalia kama umeshinda jackport! Nawaonea huruma watoto wetu.
 
Na hivi vyakula vya GMO yani itafika siku wanaume ukifanikiwa kukaa juu ya kifua for 10 minutes unashangalia kama umeshinda jackport! Nawaonea huruma watoto wetu.

Hahahaaaaaaaaaaaa watu wanadanganyana sana vijiweni....Mwanamme wa kawaida umchukua dkk 1 hadi dkk 5 kufika mshindo sasa hizo dkk 10 zote za nini? Kama nungayembe unataka kulikomoa(kufaidi hela yako) hapo sawa.
 
nawasalim woote wana jf. Naomba kujuzwa ni vyakula vp hasa mwana mume anaweza kuvila kuboresha ndoa yake badala ya kutumia dawa za kichina na zinginezo ambazo zina sadikika kuleta madhara. nawasilisha

Kupata Pumzi unahitaji kufanya mazoezi hata kama ukila hvyo vyakula na hauna mazoezi utahema mbaya!
 
maziwa, samaki kwa wingi, mbogamboga-carrots, matango, salads,green stuff. generally protein stuff, epuka kula vyakula vyenye mafuta mafuta ukiweza.
 
Aisee kweli ndoa nyingi sana zinabomoka coz of wanaume wanashindwa kupiga game effectively,yaani wanawake kuridhika imekuwa kitendawili......ila wanaume wa mjini ndio wanamatatizo hayo sana

Vijana wengi siku hizi wana vitambi vya ajabu ajabu, mtu hajafika hata 30 kitambi kimeshaporomoka.

Wacha mafundi cherehani , wauza genge na wauza mkaa wajifaidie tu
 
Kula ngogwe zile za kijani na kitimoto kama haikukwai,shughuli mama atakuja jf mwenyewe kutoa ushuhuda
 
Pia piga glasi moja ya maziwa fresh kila siku maana itaondoa sumu zote zilizojengwa na chakula mwilini. Watu wanayadharau sana maziwa. Hebu fikiri, kama mtu akinywa sumu, akinywa maziwa anapona, sasa huoni kwamba maziwa yanaondoa uchafu mwingine wowote mwilini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom