Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,211
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?