Ni vigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza!

Jamani hizi habari zingine embu tuache, tuzungumzie uchaguzi wa Igunga!!!
Pole sana umepotea jukwaa, hizi habari hapa ndio nyumbani kwake.
Habari za Igunga nenda kwa wanasiasa wenzako kule jukwaa la siasa. Tuache hapa kwa raha zetu.
 
Hata kama hiyo siyo formula lakini ukweli ni kwamba:-1 Wanawake wamepewa moyo wa huruma sana hivyo kadili mwanaume anavyojishusha na kuzidi kubembeleza ndivyo mwanamke anavyozidi kuguswa na mwisho lazima atoe. 2 Wanawake ni watu wasiopenda usumbufu wa mara kwa mara. Hivyo mwanamme akikomaa na kumsumbua sana mwanamke lazima avue chupi. 3 Wanawake wengi ni dhaifu ktk kujenga na kupangua hoja pindi wanapokutana na jinsia tofauti. 4 Wanawake ni material focused,wanatanguliza mali,pesa n.k yuko tayari kusaliti
 
Wewe kweli GAGAGIGIKOKO
 
Hao watu 10 wanamtongoza kipindi kimoja au kwa muda gani? Mwanamke anayetongozwa hovyo hovyo regardless anakubali au anakataa mimi naona ana kasoro. Atakuwa anatoa invitation signals.
 
Kukataa au kukubali kwa mwanamke inategemea na hali yake kimapenzi kwa mumewe ikoje kwa kuwa mwanamke nature yake anahitaji kupendwa ,akikosa kwa mumewe ataelekeza kwa anayemsumbua kimahaba,kwa hivyo wanaume inapasa kutoa dozi ya ukweli ya upendo kwa wenzi wenu vinginevyo mtakachakachuliwa,ulevi,uvivu,kutojali,zina athali mbaya ktk ndoa /mapenzi
 
Kukataa au kukubali kwa mwanamke inategemea na hali yake kimapenzi kwa mumewe ikoje kwa kuwa mwanamke nature yake anahitaji kupendwa ,akikosa kwa mumewe ataelekeza kwa anayemsumbua kimahaba,kwa hivyo wanaume inapasa kutoa dozi ya ukweli ya upendo kwa wenzi wenu vinginevyo mtakachakachuliwa,ulevi,uvivu,kutojali,zina athali mbaya ktk ndoa /mapenzi<BR>
 
tuombe Mungu atusaidie hasa kwa wenza wetu kama hali ndio hii lakini shetani ananguvu sana kwa hiyo bila kuwa na imani ni bure kikubwa tushike sana tulichonacho asije mwovu akakichukua
<br />
<br />
Shetani hana nguvu kabisa badilisha kauli yako.
 
acheni uongo
if that was a case kila wiki tungetoka na wanaume tofauti as kwa wiki unawezwa tongozwa by more than 10 men
 
Back
Top Bottom