Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,255
- 113,669

hakuna ukweli wowote.
Ngoja nianze na wewe

hakuna ukweli wowote.

Acha kututisha bana!!!
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?
Labda, lakini naona kama kila mtu na akiri yake maana wengine wanamisimamo ya ukweli.
Hapo kwenye red, hiyo ni kipimo upimacho, or u lzima ulipie kwa yale uloyatenda, so usiumie sana kama ulkuwa ukiwatesa mabinti wa wenzio.
na swali lako, naweza kukubaliana nawe maana huwa nawaona warembo au msichana mzuri ni nadra sana kumkuta ametulia, may be wanashindwa kuhimili vishindo vya kutongozwa.
Kuna ka ukweli flani lakini..
mke mkeo bwana, humegewi ukumridhisha.
Sometimes inabidi tu kupita kama hukupita....
Things just dont add up..! So its more likely to be untrue!
Jamani kama mmeshindwa kuoa acheni tu manake naona mnakuja na vidodoso dodoso viiiingiiiiiiiiii ilimradi mpate tu visingizio!
Hautishwi mkuu,ww kama ulikula vya wenzako nawe jiandae na uwe mvumilivu kupigiwa

point..................kwa wastani mwanamke anatongozwa na watu wawili kwa siku,kila mwezi watu 60 ko unajaribu kutwambia huwa anapata mabwana 6 kila mwezi.toa upuuzi wako apa jf angalia thread reality kabla ya kupostmke mkeo bwana, humegewi ukumridhisha.
Umeona hehehe>>>>>>>>>>Kama kuna kaukweli vile...
Sometimes inabidi tu kupita kama hukupita....

point..................kwa wastani mwanamke anatongozwa na watu wawili kwa siku,kila mwezi watu 60 ko unajaribu kutwambia huwa anapata mabwana 6 kila mwezi.toa upuuzi wako apa jf angalia thread reality kabla ya kupost
E bwana mimi ninachojua ni kwamba mwanamke kama wa kumegwa nje hata mmoja hawezi kukatalia licha mpaka wafike kumi no wa kukataa hata wakifika 99 wa mia hawezi kukubalika kama kweli anajua nini maana ya ndoa na ana msimamo kweli kwamba mimi nimke wamtu.Hao wanaokubali wa kumi ina maana hat wa kwanza anaweza kukubalika.