Ni utaratibu gani wa kufanya nikitaka kubadili jina kisheria

Isimilo

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
217
6
Wadau
naomba kujua kama is possible kubadili jina ili hali document zangu kama certificates na passport ziko kwenye jina lingine. nataka kubadilisha first name na kutumia jina la ukoo kama Surname badala ya jina la Baba ambalo ni 'common name'. na- feel kama sionyeshi uasilia wangu kwenye majina yote mawili kwa kuwa yote ni ya kisasa. je inawezekana kuomba ceertificate zangu za elimu ya juu zingine zinazofuata pia ziwe ktk jina jipya ingawa kwa sasa natambulika kwa jina hili kitaaluma?

thanks
 
Inawezekana..........lakini hiyo reason ya kutumia surname ili kuonyesha uhalisia kwenye vyeti, naona ni week reason. Kama una birth certificate yenye jina la ukoo then you should have passport yenye jina lako, la kati na jina la ukoo....then thats it. uhitaji documents nyingine ziwe ka jina la ukoo.
 
Wadau
naomba kujua kama is possible kubadili jina ili hali document zangu kama certificates na passport ziko kwenye jina lingine. nataka kubadilisha first name na kutumia jina la ukoo kama Surname badala ya jina la Baba ambalo ni 'common name'. na- feel kama sionyeshi uasilia wangu kwenye majina yote mawili kwa kuwa yote ni ya kisasa. je inawezekana kuomba ceertificate zangu za elimu ya juu zingine zinazofuata pia ziwe ktk jina jipya ingawa kwa sasa natambulika kwa jina hili kitaaluma?

thanks

ukitaka kubadili jina ni rahisi ingawa ni hatua kidogo.Unajaza document inayoitwa deed poll,ambayo inashuhudiwa na Wakili.Baada ya hapo unapeleka kwa msajili wa nyaraka pale wizara ya ardhi kwa ajili ya usajili ukiambatanisha na ada kidogo.Deed poll ikishasajiliwa,unapeleka nakala moja kwenye ofisi ya mchapa magazeti wa serikali tayari kwa ajili ya kutangazwa kwenye gazeti la serikali.Hatua hizi zaweza kukugharimu si chini ya miezi miwili.
 
Jamani na mimi ninashida hiyo naomba msaada, ni kijana mwenye 31 yrs, nililelewa na baba wa kambo mama aliniandikisha kwa jina la baba wa kambo kwenye birth certificate, sasa nimekuwa yule baba alifariki na mama pia so najiona sibelong kabisa huko kwa baba wa kambo kwani wananitenga na mama yangu walikuwa hawampendi, kwa baba yangu mzazi(ambaye pia amefariki) hawana shida kabisa, nilioa kwa jina la baba mzazi na watoto wangu wanatumia jina la ukoo wa baba yangu mzazi kwani mke wangu alikataa katakata kutumia jina la baba wa kambo, sasa passport na vyeti vyangu vyote kasoro cha ndoa ni jina la baba wa kambo nifanyeje nibadili jina kwani naona vibaya wanangu kutumia jina tofauti na mimi.
 
ULIFANIKIWA KUBADILI JINA MKUU?
 
Utaratibu ukoje? Mwanangu anamiezi mi4 nataka kumbadilisha jina. Tayari anacho cheti cha kuzaliwa
 
Nenda mahakamani... Mahakama ya mwanzo.. Kutana na Hakimu... Kwenye Sheria huwa tunamuita Hakimu Kama "commissioner of oath'.... Atakuandalia kitu kinaitwa affidavit (Hati ya kiapo) cha kubadilisha jina...
Nadhani utachangia kidogo Mahakama... Usisahau kubeba vyeti vyako vyote na VITAMBULISHO vyenye jina la zamani.

Mengine utayajulia hapo hapo.

CCM oyeee!
 
Jamani na mimi ninashida hiyo naomba msaada, ni kijana mwenye 31 yrs, nililelewa na baba wa kambo mama aliniandikisha kwa jina la baba wa kambo kwenye birth certificate, sasa nimekuwa yule baba alifariki na mama pia so najiona sibelong kabisa huko kwa baba wa kambo kwani wananitenga na mama yangu walikuwa hawampendi, kwa baba yangu mzazi(ambaye pia amefariki) hawana shida kabisa, nilioa kwa jina la baba mzazi na watoto wangu wanatumia jina la ukoo wa baba yangu mzazi kwani mke wangu alikataa katakata kutumia jina la baba wa kambo, sasa passport na vyeti vyangu vyote kasoro cha ndoa ni jina la baba wa kambo nifanyeje nibadili jina kwani naona vibaya wanangu kutumia jina tofauti na mimi.
Dunia hii inamambo si mchezo, kisa penzi la maza ukabadilishiwa mpaka dingi. ...
 
Back
Top Bottom