Ni uoga au tabia kwa manawake?

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa ukutani yeye amelifanya kuwa kama ni jambo linalomuhusu.

Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.

Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?

ni kama ka_ulinzi fulani nadhani wanakafeel wanapokua wamellala ukutani,....by the way ntafanya ka utafiti leo ntajilaza mapema ukutan ili nione respond

Kwa kawaida,mwanamke anategemea ulinzi kwa mwanaume,wengi kweli wanapenda kulala ukutani kwasababu anahisi kama vile yuko salama,protected and secured!!!!!!!Thus haina haja kumhoji,ndivyo ilivyo,kubali majukum ya kumlinda mkeo,usiikimbie

hakuna chochote!!!! Huyo mwanamke wako anasababu zake binafsi, usimfananishe na wanawake wengine mana wa kwangu huwa hana shida

Kuna mahali nilisoma kuwa hata kama kitanda hakipo ukutani kidume unatakiwa kulala upande wa mlangoni.. Sasa sijui watetezi wa usawa wanasemaje kuhusu hili.

kama hajawa mkeo bado ni mtarajiwa imekuwaje mkalala kitandani. Tena unathubu kusema ni mara nyingi... Lo!

weka kitanda centre ya chumba halafu uone kama ataingia uvunguni kufata hiyo protection mnayodai anaifata ukutani. Kwa nini kila anachofanya mwanamke hata kama ni cha kawaida kinakuwa topic of discussion?

In fact kama rafiki yangu 2.kwani mbaya?(achana na mapokeo).

hakuna chochote!!!! Huyo mwanamke wako anasababu zake binafsi, usimfananishe na wanawake wengine mana wa kwangu huwa hana shida

Basi kama c yeye ww ndo unapenda kulala ukutani!sasa kwa nn ndo hoja ya msingi.

Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa ukutani yeye amelifanya kuwa kama ni jambo linalomuhusu.

Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.

Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?

Yaani wewe mke mtarajiwa unalala nae kitanda kimoja halafu bado unamwita mke mtarajiwa!!!! Yaani hii dunia ni full vurugu, kila eneo kuna ufisadi hadi kwenye ndoa. Sasa si ungesubiri umwoe ndo uanze kuishi nae kama mke. Una haraka ya nini?? wavulana wa siku hizi taabu tupu

weka kitanda centre ya chumba halafu uone kama ataingia uvunguni kufata hiyo protection mnayodai anaifata ukutani. Kwa nini kila anachofanya mwanamke hata kama ni cha kawaida kinakuwa topic of discussion?

ukiweka kitanda centre atalala upande ulio away from the door otherwise wewe hujawahi lala na mwanamke usiku kuchja ili ku-notice ki2 kama hicho then siyo vizuri wewe mwanaume ulale ukutani wakati yewe i.e mwanamke anakutegemea for security reasons

Yaani wewe mke mtarajiwa unalala nae kitanda kimoja halafu bado unamwita mke mtarajiwa!!!! Yaani hii dunia ni full vurugu, kila eneo kuna ufisadi hadi kwenye ndoa. Sasa si ungesubiri umwoe ndo uanze kuishi nae kama mke. Una haraka ya nini?? wavulana wa siku hizi taabu tupu

kwa hiyo we ulitaka walale vitanda tofauti? Isitoshe siyo kulala kitanda kimoja ndo ku-do upo? Maana ndo unachofikiria

Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa ukutani yeye amelifanya kuwa kama ni jambo linalomuhusu.

Inapotokea nikamtania kulala upande anaoupenda basi huwa anamaind, naamini hii ni tabia ya wanawake wengi.

Hivi ni uoga, mazoea au wasiwasi?

What!!!!!!? wife to be or wife, sasa ushachoshwa na tabia yake wakati umesema she is yo 2b, its so early to be tied of her? Nani alikuambia ulale na yo 2b the some house and bed? why?!!!!. If you want to jig her, when you finish let her go home, sawa. Do not do this next time. Ask this again next time after you merry her, if she will still be doing the some.

Back
Top Bottom